Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

kila mtu anajitengeneza anavyopenda mwenyewe kulingana na fedha alizonazo. Wanataka perfection (ukamilifu).

Mara nyingine ukienda kutafuta kazi (hasa za acting) unaambiwa urekebishe vitu fulani (pua, macho......) ili uwe na muonekano fulani.
Chief ninakitafakari na kujiuliza ni madhara gani yatatokea miaka kadhaa baada ya kubadilisha mwili?hapo ndipo ilipo tafakari Chief
 
Sidhani kama nimepinga mkuu ninachojaribu kukifikiri ni nini kitatokea baadae?ni madhara yatatokea?
Sijadharau muda wao**
 
Hata wao wanajua madhara yapo Sema wamechagua kuishi. Wakikutana na madhara huko mbeleni herii.
Kuna mwanamuziki anaitwa K Michelle. Alifanya surgery ya kalio ilimtesa mpaka alarudisha body lake la awali na alisema anatamani wanawake wote wakajua mateso yaliyo kwenye surgery na angeweza kurudisha muda nyuma asingekaa afanye surgery

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Sawa Kennedy Karibu lakni mawazo yako pia ni muhimu
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Changamoto Hayo Ni Mambo Ya Cash
Watu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Level Yetu Kuweka Meno Bandia


Kwenye Wo~Wo ~Wo,Chu~Chu Konzi, Pua, Tumbo, Macho
Uchongaji Huo Wanaweza Hao Wenye Garage Nzuri Haa Teh
Majuu Huko,
 
Ndio kule kusema kwamba wanawake ni dhaifu kwa wanaume maana yake ndio hii.
Na kule kusema mwanamke anapaswa kuamuliwa au anapaswa kuwa chini ya mamlaka wakati wake wote ndio maana yake.

Toka chini ya mzazi ambaye ni baba hadi kuwa chini ya mume, hata watawa wakike huko makanisani wapo chini ya maamuzi ya kina baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi nikijua kama KE kaongeza matiti au makalio au kairemba K yake vile atakavyo kwa surgery nakaa naye mbali huyo lakini shida ni namna ya kuwajua wa hivyo. Na hii hali inazidi kushamiri wakati mwingine hata ukimuona mzuri wa kila kitu naturally unaanza kudhani visu vimempitia.

 
Kuna siku nilikutana na cheusi mangara aiseh rangi nyeusi ni nzuri..
Hahaha juzi Kuna mitaa nilikatiza nilikutna na wanawake wamejikoboa sawasawa, Mimi nina rangi ya kahawia ya asili ila nilionekana cheusi, nilitamani niwe black nisingehangaika na vipodozi vya kujichubua,Sasa na hizo sajari ndo itafikia huko
 
Body lake walirudisha vipi ina maana kuna mahali ina hifadhiwa Surgery ikizingua unarudishiwa?
 
Mungu atunusurua jamani..

Kuna video moja mdada kaoza makalio maji yanamtoka kila mahali sijui alikuwa anasubiria kufanyiwa viraka🥺🥺

Kama kuna mwenye hiyo v clip aipandishe.

Alitumia nini kuurudisha mwili wake wa zamani? Mzigua90 🎤
 
Kwahiyo hawa wabongo wanafanya isiyo na kiwango?
 
Kwamba hatuwezi kujisimamia wala kutoa maamuzi sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…