Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief ninakitafakari na kujiuliza ni madhara gani yatatokea miaka kadhaa baada ya kubadilisha mwili?hapo ndipo ilipo tafakari Chiefkila mtu anajitengeneza anavyopenda mwenyewe kulingana na fedha alizonazo. Wanataka perfection (ukamilifu).
Mara nyingine ukienda kutafuta kazi (hasa za acting) unaambiwa urekebishe vitu fulani (pua, macho......) ili uwe na muonekano fulani.
Sidhani kama nimepinga mkuu ninachojaribu kukifikiri ni nini kitatokea baadae?ni madhara yatatokea?Wengi wanaofanya surgery hawafanyi sababu ya wanaume bali hufanya kwa mapenzi yao mwenyewe mtu akijitazama kwenye kioo anajikuta hapendezwi na vitu kadhaa katika mwili wake hivyo huamua kurekebisha,
Binafsi sioni tatizo, mapendekezo ya watu wanaotumia pesa zao na muda yaheshimiwe, mie na wewe tubaki watazamaji tu.
Tumechelewa Sana Ndugu ZanguSawa Kennedy Karibu lakni mawazo yako pia ni muhimu
Habari watu wangu wa nguvu..mnaendeleaje!(nimewahamu)😊
Aiseh mbona hamtoi mialiko ya hii public holiday jamani😉fresh lakini😁
Sawa turudi kwenye mada husika.
Ni kwa muda kidogo nime kuwa nikitafakari tunakoelekea miaka kadhaa mbele watoto wetu watakutana na changamoto zipi Hapo baadae ukizingatia hapa tulipo sasa tu naona mambo yameshaanza kuharibika.
Leo ninaangalia huu upasuaji wa miili yetu(wanawake)kukata baadhi ya mbavu ili kuwa na kiuno nyigu,kuongeza makalio,nyonyo na mengineyo hivi tulishawahi kujiuliza ni madhara gani tutakuja kuyapata baada ya upasuaji huo?🥺
Tunayafanya yote hayo ili kuwavutia wanaume?je siku tukipata madhara watasimama pamoja nasi?au ni kufurahisha mioyo yetu?ni kwa kiwango gani tumejiandaa na matokeo baada ya miaka kadhaa?
Nini kifanyike basi?njia gani itumike angalau kwa kiwango fulani kuweza kupunguza Haya yote?🥺
Nawasilisha🧚♀️🧚♀️
View attachment 1979478View attachment 1979480View attachment 1979481View attachment 1979482
Hahaha juzi Kuna mitaa nilikatiza nilikutna na wanawake wamejikoboa sawasawa, Mimi nina rangi ya kahawia ya asili ila nilionekana cheusi, nilitamani niwe black nisingehangaika na vipodozi vya kujichubua,Sasa na hizo sajari ndo itafikia hukoKuna siku nilikutana na cheusi mangara aiseh rangi nyeusi ni nzuri..
Body lake walirudisha vipi ina maana kuna mahali ina hifadhiwa Surgery ikizingua unarudishiwa?Hata wao wanajua madhara yapo Sema wamechagua kuishi. Wakikutana na madhara huko mbeleni herii.
Kuna mwanamuziki anaitwa K Michelle. Alifanya surgery ya kalio ilimtesa mpaka alarudisha body lake la awali na alisema anatamani wanawake wote wakajua mateso yaliyo kwenye surgery na angeweza kurudisha muda nyuma asingekaa afanye surgery
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Mungu atunusurua jamani..Hata wao wanajua madhara yapo Sema wamechagua kuishi. Wakikutana na madhara huko mbeleni herii.
Kuna mwanamuziki anaitwa K Michelle. Alifanya surgery ya kalio ilimtesa mpaka alarudisha body lake la awali na alisema anatamani wanawake wote wakajua mateso yaliyo kwenye surgery na angeweza kurudisha muda nyuma asingekaa afanye surgery
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hawa wabongo wanafanya isiyo na kiwango?Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Changamoto Hayo Ni Mambo Ya Cash
Watu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Level Yetu Kuweka Meno Bandia
Kwenye Wo~Wo ~Wo,Chu~Chu Konzi, Pua, Tumbo, Macho
Uchongaji Huo Wanaweza Hao Wenye Garage Nzuri Haa Teh
Majuu Huko,
Kwamba hatuwezi kujisimamia wala kutoa maamuzi sioNdio kule kusema kwamba wanawake ni dhaifu kwa wanaume maana yake ndio hii.
Na kule kusema mwanamke anapaswa kuamuliwa au anapaswa kuwa chini ya mamlaka wakati wake wote ndio maana yake.
Toka chini ya mzazi ambaye ni baba hadi kuwa chini ya mume, hata watawa wakike huko makanisani wapo chini ya maamuzi ya kina baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu alikuumba uchi....ukivaa nguo unamkosoa
Yap ..Mbona wigi,kope,kucha fake tulishazoeaItazoeleka tu, Kila kitu fake
Maamuzi yenu hayana mwisho mwema , maamuzi yenu yanatumia hisia zaidi ya akili. Kwa sababu maamuzi yenu inalazimu yawe chini ya mtu.Kwamba hatuwezi kujisimamia wala kutoa maamuzi sio