Ata wigi kipindi zinaingia wanaume walipinga ila saivi wao ndo wanatoa Hela Za wigi....so hata hii itafika stage mtu akiona dem wake ana 'upungufu' Fulani anatoa Hela anamlipia sajari
Mnavumilia tuNa mwanaume akiwa na upungufu tunafanyeje?
Ahaaa mtumie tu, yaani babu yetu watoto wake wote walikuwa na vipua virefuu wote tumechukua pia kwa baba na babuKesho namtumia baba yangu vocha maana nimefanana nae sana😁
Haohao huyo mwingine nilikuwa nimemsahau. bora yako wewe umejifunza kujikubali wengine hutamani kufanya hizo surgery baada ya kuona matokeo mazuri.
Kuna kitu cha ziada wanakitaka zaidi ya kupendwa na wanaume, sababu kikawaida kila mwanamke anapendwa na mwanaume/wanaume fulani. Je kuna mwanamke alishawahi kukosa mwanaume? na je hao wanaojibadilisha wanampata kila mwanaume wanayemtaka?
Sidhani kama its about mwanaume nadhani its more of trauma, labda huko zamani alishaambiwa ni mbaya!?? Low self esteem ?? Wao ndio wanafahamu zaidi.