Ninatamani sana niwepo kwenye kikosi kazi cha CCM cha kuhakikisha na kufanikisha ushindi wa Dkt. Samia 2025

..100%.

..kunatakiwa kuwe na rekodi nzuri ya kuitetea.

..kwanza, Ccm itatue kero. Na hiki ndio kipindi cha kutatua kero.

..pili, wakati wa uchaguzi Ccm waeleze tumetatua a,b,c. Na mkitupa tena Ccm itafanya d, e,f.
 
Nenda polepole basi mdogo wangu kila zama na nabii wake!!!!_Tupo awamu ya sita hii
Kubadilika kwa awamu kwangu ni furaha ya kujifunza utashi wa kiuongozi na kisiasa walionao wanachama na hivyo haiathiri Imani niliyonayo kwa CCM.
 
..100%.

..kunatakiwa kuwe na rekodi nzuri ya kuitetea.

..kwanza, Ccm itatue kero. Na hiki ndio kipindi cha kutatua kero.

..pili, wakati wa uchaguzi Ccm waeleze tumetatua a,b,c. Na mkitupa tena Ccm itafanya d, e,f.
Na ndio maana nimesema natamani sananiwepo kikosi kazi Cha 2025 Cha kuhakikisha Dkt. Samia anashinda kwa sababu kazi anayoifanya ni nzuri na ya kukumbukwa
 
Nina njia ile ambayo Biblia inasema"Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika"
Soma alama za nyakati. Hii mbinu uliyotumia kutaka teuzi ni ya ovyo. Hata wakuu wa CCM huwa hawapendezwi na huu ujinga ulioandika. Msapoti mama bila kutanguliza njaa. Kazi ikionekana utateuliwa.
 
Na ndio maana nimesema natamani sananiwepo kikosi kazi Cha 2025 Cha kuhakikisha Dkt.Samia anashinda kwa sababu kazi anayoifanya ni nzuri na ya kukumbukwa

..akifanya zaidi ya anavyofanya sasa hivi kazi ya kumpigia kampeni itakuwa rahisi.

..ungejielekeza kuhakikisha CHAMA kinashinda na sio " Samia anashinda. "

..mkimtukuza na kumuabudu sana Samia mtakiathiri chama chenu.
 
Soma alama za nyakati. Hii mbinu uliyotumia kutaka teuzi ni ya ovyo. Hata wakuu wa CCM huwa hawapendezwi na huu ujinga ulioandika. Msapoti mama bila kutanguliza njaa. Kazi ikionekana utateuliwa.
Narudia tena CCM kwangu ni kila kitu na ili nihakikishe inasalia madarakani sina budi kuwasapoti viongozi wake wakuu na hilo nalifanya kila siku. Pia, kutaka kuwepo kwenye kikosi sio tamaa wala njaa ila ni kuonesha nia na dhamira njema uliyonayo ya kukisaidia Chama au serikali kwa ukaribu zaidi
 
..akifanya zaidi ya anavyofanya sasa hivi kazi ya kumpigia kampeni itakuwa rahisi.

..ungejielekeza kuhakikisha CHAMA kinashinda na sio " Samia anashinda. "

..mkimtukuza na kumuabudu sana Samia mtakiathiri chama chenu.
CCM haiwezi kushinda bila Dkt.Samia na hili ni lazima tukubaliane nalo. Kwa kuwa 2025 Dkt.Samia ndio atakuwa mgombea pekee (kwa tamaduni ,desturi na taratibu za CCM) basi Chama na wanachama hawana budi kuhakikisha ushindi kwake.
 
Another chawa in town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…