Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
- Thread starter
- #21
Nipo CCM kutoka kuzaliwa kwangu ni nitaendelea kuwa CCM mpaka kufa kwangu.Kaka CCM umeingia mwaka gani!!!Ushauri wangu nenda polepole nyakati hubadilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo CCM kutoka kuzaliwa kwangu ni nitaendelea kuwa CCM mpaka kufa kwangu.Kaka CCM umeingia mwaka gani!!!Ushauri wangu nenda polepole nyakati hubadilika
Baada ya kero kutatuliwa inabidi watu waambiwe serikali ya CCM imefanya moja mbili tatu ili kuepusha upotoshaji.
Huwa tuna kawaida ya kusahau haraka tunayofanyiwa kwa kufikiri sio wajibu wetu kukumbuka. Kazi yangu ni kuhakikisha nawakumbusha kama ulivyokuwa wajibu wetu kufanya.
Kuna wenye mtazamo hasi siku zote na huwezi kumridhisha kila mtu ndio maana kwa yale yaliyofanywa nitayapambania myajue
Nenda polepole basi mdogo wangu kila zama na nabii wake!!!!_Tupo awamu ya sita hiiNipo CCM kutoka kuzaliwa kwangu ni nitaendelea kuwa CCM mpaka kufa kwangu.
Kubadilika kwa awamu kwangu ni furaha ya kujifunza utashi wa kiuongozi na kisiasa walionao wanachama na hivyo haiathiri Imani niliyonayo kwa CCM.Nenda polepole basi mdogo wangu kila zama na nabii wake!!!!_Tupo awamu ya sita hii
Na ndio maana nimesema natamani sananiwepo kikosi kazi Cha 2025 Cha kuhakikisha Dkt. Samia anashinda kwa sababu kazi anayoifanya ni nzuri na ya kukumbukwa..100%.
..kunatakiwa kuwe na rekodi nzuri ya kuitetea.
..kwanza, Ccm itatue kero. Na hiki ndio kipindi cha kutatua kero.
..pili, wakati wa uchaguzi Ccm waeleze tumetatua a,b,c. Na mkitupa tena Ccm itafanya d, e,f.
Soma alama za nyakati. Hii mbinu uliyotumia kutaka teuzi ni ya ovyo. Hata wakuu wa CCM huwa hawapendezwi na huu ujinga ulioandika. Msapoti mama bila kutanguliza njaa. Kazi ikionekana utateuliwa.Nina njia ile ambayo Biblia inasema"Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika"
Na ndio maana nimesema natamani sananiwepo kikosi kazi Cha 2025 Cha kuhakikisha Dkt.Samia anashinda kwa sababu kazi anayoifanya ni nzuri na ya kukumbukwa
Narudia tena CCM kwangu ni kila kitu na ili nihakikishe inasalia madarakani sina budi kuwasapoti viongozi wake wakuu na hilo nalifanya kila siku. Pia, kutaka kuwepo kwenye kikosi sio tamaa wala njaa ila ni kuonesha nia na dhamira njema uliyonayo ya kukisaidia Chama au serikali kwa ukaribu zaidiSoma alama za nyakati. Hii mbinu uliyotumia kutaka teuzi ni ya ovyo. Hata wakuu wa CCM huwa hawapendezwi na huu ujinga ulioandika. Msapoti mama bila kutanguliza njaa. Kazi ikionekana utateuliwa.
CCM haiwezi kushinda bila Dkt.Samia na hili ni lazima tukubaliane nalo. Kwa kuwa 2025 Dkt.Samia ndio atakuwa mgombea pekee (kwa tamaduni ,desturi na taratibu za CCM) basi Chama na wanachama hawana budi kuhakikisha ushindi kwake...akifanya zaidi ya anavyofanya sasa hivi kazi ya kumpigia kampeni itakuwa rahisi.
..ungejielekeza kuhakikisha CHAMA kinashinda na sio " Samia anashinda. "
..mkimtukuza na kumuabudu sana Samia mtakiathiri chama chenu.
Another chawa in town.Nimejitoa kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa moyo na nguvu zangu zote. Ni muumini wa siasa za CCM na ninaamini bila CCM hakuna siasa safi wala viongozi bora na kwa mantiki hii nitajitoa kuhakikisha kinasalia madarakani.
Baada ya siku ya leo kutenguliwa kwa zuio la kutofanya mikutano ya hadhara basi nami najitoa rasmi kwa harakati ngumu za kumtengenezea ushindi wa kishindo Dkt. Samia na naamini atashinda.
Katika kufanikisha hili natambua haitakuwa kazi rahisi lakini ni kitu ambacho nitajitoa kuhakikisha linafanikiwa kwa sababu mpaka sasa kwa sifa na uwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi alionao Dkt.Samia ushindi wake utakuwa laini sana. Wasionielewa wasubiri 2025 watanielewa.
Siku zote nitakuwa mstari wa mbele kuhakikisha nakuwa chachu ya CCM na Mwenyekiti wa CCM kukubalika. Halitakuwa Jambo rahisi lakini penye nia pana njia.
Kutenguliwa agizo la kutoruhusu mikuta ya hadhara kunaweza kukaleta athari za moja kwa moja kwa CCM au Mwenyekiti wa CCM hususani kueneza siasa za chuki kwamba serikali ya CCM haijafanya kitu kwa baadhi ya watu au kutumia hoja ya mikopo kama fimbo ya kuichapa CCM lakini hayo yote nimeyaangalia kwa undani na nimeona ninayamudu kuyaelezea kwa hoja za ushindani wa kisiasa.
Hoja zote zitajibiwa kwa hoja na vihoja kwa vihoja. Nitahakikisha taswira njema ya Dkt.Samia kuelekea 2025 inachorwa na haifutiki.
Hivyo basi kwa kutambua uwezo mkubwa na sifa njema alizonazo Dkt.Samia ninatamani niwe mmojawapo wa wataokaofanikisha safari hii ngumu na nzito kwa Dkt.Samia kuelekea 2025. Mpaka sasa ana asilimia kubwa ya kuweka historia kubwa ya ushindi , kwa picha na michoro nilichora ya kufanikisha ushindi wake, naamini itafanikiwa.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Ni Mimi muumini kindakindaki wa sera, Imani na siasa za CCM. Napatikana kupitia :0785 655 580