Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale.

Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha

Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu kujibu hoja zake nzito Kwa majibu mepesi na vitisho

Fr. Kitima ni msomi mkubwa mno wa sheria

Ni mwanaharakati na mpenda haki mno, yaani suala la haki kwake ni kitu cha kwanza, yupo tayari hata abishane na kila mtu ila haki ipatikane

Tulikuwa tukikaa nae pale viunga vya chuo hata pale magazetini tuki share mambo ya Kisiasa na kijamii

Aliwapa wanafunzi confidence, Kitima ndo aliwatengeneza, akina Heche, Kafulila, Katambi, Biteko, na wanasiasa wenye mawazo mengi ya kimapinduzi

Kitima ni imara kweli kweli yule Mnyaturu

Hicho anachokifanya amekuwa akikifanya na ana enjoy kujifanya wala hawezi kukiacha

Hao malofa hawana uweZo wa kujibu hoja zake kuntu
1764750758810.jpg
 
Oya mwanangu GENTAMYCINE Kuna Triple Alliance ya ngara23 secretarybird na Tate Mkuu ya kukushambulia .

Majamaa kama waambiana hivi 😄
Watu wanasema baada ya jamaa kupata certificate ya journalism pale The Amazon College, Moja kwa aliajiriwa kama presenter wa Vuzi FM.

Taarifa za chini chini zinasema hicho kituo kinamilikiwa na wewe.
 
Kwanza kabisa kuanza kumjibu leo Kitima, kesho sijui Gwajima ni kutoana kwenye reli au kuweka upenyo wa Propaganda..

Cha maana tuongelee issues sababu anachokiongea Kitima ni wengi wanakiongea na bila kukiangalia kwa jicho la Udini, Uchama au chochote kile inabidi kila mtu akiongelee - Mauaji yaliyotokea, Utekaji n.k. Na hapo bado hatujaongelea wizi / maajabu ya kushinda kwa asilimia 97 (hili huenda likatugawa kwa U-vyama na kutetea wizi)
 
Back
Top Bottom