Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

Oya mwanangu GENTAMYCINE Kuna Triple Alliance ya ngara23 secretarybird na Tate Mkuu ya kukushambulia .

Majamaa kama waambiana hivi 😄
Kama wanataka battle hasa nami waambie waombe ruhusa kwa JamiiForums Moderators na watuhakikishie huwa hawatatupa BAN ili niwanyooshe kama ambavyo nimeshawaonya hapa hapa JamiiForums Magwiji kadhaa na sasa wengine wamekuwa Marafiki zangu na wengine hatunao tena duniani. Nina PhD ya Vita ya Maneno Makali na Machafu.
 
Unasemaje msomi kutoka The Amazon college pale Mbagala rangi tatu
 
Nyumbu bana
markup_1000203681.png
 
Unasemaje msomi kutoka The Amazon college pale Mbagala rangi tatu
Na bado huyo huyo aliyesoma The Amazon College Mbagala Rangi Tatu 'Kakukaza' kote kote na bado 'Ukamnyea' pia.
 
Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale.

Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha

Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu kujibu hoja zake nzito Kwa majibu mepesi na vitisho

Fr. Kitima ni msomi mkubwa mno wa sheria

Ni mwanaharakati na mpenda haki mno, yaani suala la haki kwake ni kitu cha kwanza, yupo tayari hata abishane na kila mtu ila haki ipatikane

Tulikuwa tukikaa nae pale viunga vya chuo hata pale magazetini tuki share mambo ya Kisiasa na kijamii

Aliwapa wanafunzi confidence, Kitima ndo aliwatengeneza, akina Heche, Kafulila, Katambi, Biteko, na wanasiasa wenye mawazo mengi ya kimapinduzi

Kitima ni imara kweli kweli yule Mnyaturu

Hicho anachokifanya amekuwa akikifanya na ana enjoy kujifanya wala hawezi kukiacha

Hao malofa hawana uweZo wa kujibu hoja zake kuntu
Ulaji wa nyama ya PUNDA unaweza kuchangia hivi alivyo/walivyo.
 
Nimekuonya sana husikii tu. Huna uwezo pamoja na hao FOOLS wenzako wa kupambana nami Vita ya Maneno sawa?
Sawa me sikuwezi acha aje mbabe wako secretary bird
Ambaye Huwa akianza unaenda kulia kwa moderators
 
Sawa me sikuwezi acha aje mbabe wako secretary bird
Ambaye Huwa akianza unaenda kulia kwa moderators
Mbabe Mumeo au? Kuna mahala nawe au yeye nae pia amezuiwa kwenda kwa hao hao Moderators? Pumbavu.
 
Mbabe Mumeo au? Kuna mahala nawe au yeye nae pia amezuiwa kwenda kwa hao hao Moderators? Pumbavu.
Tukubaliane hapa tupigane spana
Chonde chonde usipeleke mpododo wako Kwa moderators kushitaki
 
Back
Top Bottom