secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Huo umaarufi aliupata kwa kuuza kibwenye?Alikuwa SAuT kweli pale Chuo kuna jina maarufu alikuwa anajulikana acha nisilitaje asije kunijua akanikumbuka
Nasubiri jibu langu mkuu 😂.
Huo umaarufi aliupata kwa kuuza kibwenye?Alikuwa SAuT kweli pale Chuo kuna jina maarufu alikuwa anajulikana acha nisilitaje asije kunijua akanikumbuka
Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale.
Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha
Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu kujibu hoja zake nzito Kwa majibu mepesi na vitisho
Fr. Kitima ni msomi mkubwa mno wa sheria
Ni mwanaharakati na mpenda haki mno, yaani suala la haki kwake ni kitu cha kwanza, yupo tayari hata abishane na kila mtu ila haki ipatikane
Tulikuwa tukikaa nae pale viunga vya chuo hata pale magazetini tuki share mambo ya Kisiasa na kijamii
Aliwapa wanafunzi confidence, Kitima ndo aliwatengeneza, akina Heche, Kafulila, Katambi, Biteko, na wanasiasa wenye mawazo mengi ya kimapinduzi
Kitima ni imara kweli kweli yule Mnyaturu
Hicho anachokifanya amekuwa akikifanya na ana enjoy kujifanya wala hawezi kukiacha
Hao malofa hawana uweZo wa kujibu hoja zake kuntu
Hakika mkuuKuna haja ya kufafanua kuwa Father Kitima ni msemaji wa TEC hivyo yale anayozungumza sio mawazo yake ni mawazo ya maaskofu wa katoliki kwa umoja wao!! So please do not kill the messenger ; he is just delivering the message!
Hivi huwa ni jike? Basi litakuwa halina tofauti na li samunya!Lienda kuzaa mtoto wake wa tatu.
Ni mama mwenye watoto wake japo ni simwoni.Hivi huwa ni jike? Basi litakuwa halina tofauti na li samunya!
Kosa lake ni kuwa muongo, mchochezi.Kosa lake ni kukemea utekaji, mauaji na ulaghai na wizi wa uchaguzi?
Kumbe mnafahamiana issue zenuWewe tuhuma zako za 'Kukazwa' hovyo Mabondeni ni nyepesi sana?
Muulize pia na Mama yako Mzazi alijisikiaje pale nilipomtoa Bikra zake zote mbili katika Milango yake yote miwili ya Kibailojia aliyonayo?Pale kwenye mkesha wa mwenge ilipotolewa bikira Yako Kwa mara ya kwanza ulijisikiaje?
Yaani nyinyi nyote waongo, huyo Kitima kawafanya mpaka nyinyi muwe wajinga. Yale ni maandamano ?Watu waliandama kupinga utekaji, mauaji na ulaghai na wizi wa uchaguzi
Kiongozi ajitokeze ili mteke na kumuuwaYaani nyinyi nyote waongo, huyo Kitima kawafanya mpaka nyinyi muwe wajinga. Yale ni maandamano ?
Kuna maandamano yasiyo kuwa na kiongozi wala ujumbe ? Kuna maandamano yenye kukusudia uhalifu na kuharibu mali za watu ?
Acheni wendawazimu.
Kiongozi ajitokeze ili mteke na kumuuwa
Kwani wangapi walijitokeza wakauliwa na kupotezwa
Ujumbe wa maandamano upo wazi kuwa wanataka katiba mpya, uchaguzi wa huru na haki, kupinga utekaji na mauaji holela, kupinga ufisadi
kwa dhamiri ya moyo wako na Mungu anakuona unaamini kuwa turn out ya voters ilikuwa zaidi ya milion 32 na Samia akapata kura 31+ m sawa na 98%?Wanaotaka katiba mpya kina nani ? Sio wale waliofanya fujo, sababu tunajua wale walitumika tu na tunaishi nao, wale kwanza hawataki kufanya kazi, zaidi ya kuingia tik tok na kufanya challenge, kubet na kuvaa wapendeze.
Wangefata utaratibu wa maandamano Vigo visit ngekuwepo. Wangeomba kibali, wangebeba ujumbe, vifo visingekuwepo.
kwa dhamiri ya moyo wako na Mungu anakuona unaamini kuwa turn out ya voters ilikuwa zaidi ya milion 32 na Samia akapata kura 31+ m sawa na 98%?
Ukijibu hapo nitaona kama inafaa kuendelea kufanya mjadala na wewe au kupuuza
Kama unakiri serikali haikupigiwa kura waliingia madarakani Kwa wizi wa kura na ulaghai, hivyo kuwapinga sio mapinduzi Bali ni sawa na kufukuza wavamizi, masultan na wakoloni.Kwangu mimi Demokrasia ni haramu na ushetani. Sijawahi kupiga kura na sitakuja kupiga kura.
Hapa natetea suala ambalo lina faida kwetu sote, suala ambalo ni AMANI.
Mimi sina ushahidi na hilo, jalia ndiyo wamedhulumu na haya tumeyasikia sana. Je njia mnazo tumia nyinyi kuotafuta haki ni halali au ni sahihi ?
Kwahiyo sikidhulumiwa kura au haki zenu za kupiga kura, ndio na nyinyi mfanyecvurugu na kutaka kupindua serikali ? Hii akili gani ?
Elewa hoja ya msingi, ch msingi ni namna sahihi ya kuwapinga sio kufanya vurugu na uasi na mapinduzi.Kama unakiri serikali haikupigiwa kura waliingia madarakani Kwa wizi wa kura na ulaghai, hivyo kuwapinga sio mapinduzi Bali ni sawa na kufukuza wavamizi, masultan na wakoloni.
Andika yaliyo ya kweli, watu wameuliwa baada ya kufanya nini ? Usiruke nukta za msingi.Nchi ya demikrasia unahujumu, uchaguzi, unakuwa watu, unateka watu?
Bado unataka watu wawe makondoo, wasihoji wala kupinga haya?
Binafsi Mimi sio mwanasiasa na baadhi ya reactions za vijana zulikuwa mbaya hasa kama kuharibu mali, hii ilikuwa mbaya
Lakini nakemea chanzo ambayo ni serikali yenye ubinafsi, dharau na ukatili ndo chanzo cha yote
Ina maana analiwa?Popoma nasikia alikuwa mtoro wa kutupwa kipindi anasoma SAUT na kadegree kake alikapata kwa kuuza kibwenye.