Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kwani GENTAMYCINE hakuwahi kubadilishana nae mawazo, mbona wana mawazo kinzani ilhali wote walipita hapo chuoni??
Sidhani kama Charismatic fella GENTAMYCINE anaweza fanya hivyo.Popoma nasikia alikuwa mtoro wa kutupwa kipindi anasoma SAUT na kadegree kake alikapata kwa kuuza kibwenye.
Unauliza rangi ya mkaa?Ina maana analiwa?
Utawapingaje ikiwa wameshika mahakama hazitoi hakiElewa hoja ya msingi, ch msingi ni namna sahihi ya kuwapinga sio kufanya vurugu na uasi na mapinduzi.
Hao viongozi sio wavamizi.
Ali kibao kosa lake ni nini?Andika yaliyo ya kweli, watu wameuliwa baada ya kufanya nini ? Usiruke nukta za msingi.
Watu haambiwi wawe makondoo, ila kila jambo lina taratibu zake katika kulifanyia kwa ufanisi. Ubaya hauondolewi kwa ubaya vijana, matokeo yake ndio haya.
Serikali ni chanzo sio sahihi.
Kama unasema serikali sio chanzoAndika yaliyo ya kweli, watu wameuliwa baada ya kufanya nini ? Usiruke nukta za msingi.
Watu haambiwi wawe makondoo, ila kila jambo lina taratibu zake katika kulifanyia kwa ufanisi. Ubaya hauondolewi kwa ubaya vijana, matokeo yake ndio haya.
Serikali ni chanzo sio sahihi.
Sasa hii ndio shida yanu, shida yenu ni kutokuwa na maarifa.Utawapingaje ikiwa wameshika mahakama hazitoi haki
Bunge lakuhongwa halina uweZo wa kumwajibisha serikali
Vyombo vya dola ndo vinauwa watu badala ya kuwalinda
Duuu 😂😂😂Wewe tuhuma zako za 'Kukazwa' hovyo Mabondeni ni nyepesi sana?
Kwaiyo wewe ni mara ya kwanza kusikia watu wakilalamikia utekaji na mauaji ya holele,Sasa hii ndio shida yanu, shida yenu ni kutokuwa na maarifa.
Wewe wao kubadilika sio jukumu lako, wewe fata utaratibu wa kukosoa kisha tulia.
wanamchoma kisomi kwamba mama achukue hatua thabit ( utekajfc ) ili kumzima mazima😁😁😁 Mr ngara23 mbna mnabadilika mno nyie watu siku zoote humu umekuwa upande wa kutetea leo umekua mwengine.
Kwaiyo wewe ni mara ya kwanza kusikia watu wakilalamikia utekaji na mauaji ya holele,
Ni mara yako ya kwanza kusikia watu wakilalamikia ufisadi?
Ni mara yako ya kwanza kusikia watu wakilalamikia ulaghai na wizi wa uchaguzi?
Watu washafanya hayo ila serikali ya mafisadi, makatili na wauaji wakawa na viburi
Na Sasa wamefika mbali wakauwa Watanganyika masikini wasio na saut tena wengi wakiwa majumbani hasa bila kuwako hata huko kwenye maandamano
Zitaje njia za kuondoa kero za ulaghai katika chaguzi, utekaji na mauaji holela, ufisadi, nepotism, hitaji la katiba mpyaHaya yapo tangu zamani na yanajulikana. Tunachokipinga sisi ni namna mbaya ya ulalamikaji na kuyaondoa haya mambo.
Zipo njia bora zaidi na zenye manufaa katika kuondoa au kukemea hayo yote.
Zitaje njia za kuondoa kero za ulaghai katika chaguzi, utekaji na mauaji holela, ufisadi, nepotism, hitaji la katiba mpya
Taja njia hizo ambazo watu hawakuwahi kuitumia kudai hizo haki
Kiongozi nimpate wapi?Muulize kiongozi wako wa dini, Yesu alitumia njia gani alipokuwa chini ya utawala dhalimu.
Haya mambo yapo kwenye vitabu, ni nyinyi kuyatafuta na kuyafanyia kazi.
Navyosema ziko nyingi namaanisha ujue, na muda wowote naweza kuzitaja, ila sipendi watu wajinga wasio kuwa na akili.Kiongozi nimpate wapi?
We umesema zipo njia nyingi za kufuata kupata hizo haki
Basi nimekwambia zitaje hizo njia ambazo hazijawahi kufuatwa
Kwan hao akina Luka na matayo ndo akina nani?Navyosema ziko nyingi namaanisha ujue, na muda wowote naweza kuzitaja, ila sipendi watu wajinga wasio kuwa na akili.
Muulize Kitima, Yesu alitumia njia kuwakabili viongozi waovu ? Au hata Paulo au hata Marko, Luka na Matayo.
Kwan hao akina Luka na matayo ndo akina nani?
Hao waliishi Tanzania na kutumia katiba na Sheria za TANZANIA?
Nimekwambia taja hizo njia unasema niwatafute akina Luka na matayo niwatoe wapi