nilikuwa simjui namsikia tu mkuo wetu wa chuo.. siku moja nipo ufukweni kule mitaa ya mahakama kuu mwanza kuna pubu mchana inauza sana samaki usiku ni tulivu sana akanianza na stori flani hivi ikumbuki alikuwa ankunywa nini mi nilikuwa na kiroba na embassy...mwishoni sana tukaambiana tunafanya nini akaniambia mi ni padri akawasha cruza yake akasepa na alikuwa mwenyewe.... siku ya mahafali ndio namuona jukwani nkamkumbuka viuri sana mda wote alipokuwa anataja jina moja moja kwenye graduation book disemba 12 2012