Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Kumbe kuna mambo mengi chini ya carpet, with time tutaendelea kuyafahamu.
 
Kitengo maalum cha kupambana ndani ya mitandao naona kimefanikiwa vizuri sana manake mpaka BAADHI mamods wako macho kwa wote wanaodhihirisha maovu au hujuma cha chadema kwa serikali tawala na watanzania kwa ujumla.
 
u real under estimate my nods....!
 
Mkuu tanzama kwa jicho la upande wa pili huu sio wakati wa mwalimu mkuu taarifa ambazo zina ukweli kila siku zinatoka wewe tu ndio huzipati tuishie hapa.

Sina haja ya kuzipata kwasababu hizo mnazotangaza kwenye vyombo habari kwamba zimetoka huko ni sheer fabrication. Hakuna mtu anayeweza kuwapa taarifa nyie na narudia tena - HAKUNA. ENDELEENI KUAMINI PROPAGANDA ZA VIONGOZI WENU.
 
Bwana Mwampanda,kiukweli CHADEMA ni mpango kamili wa Mungu.Wewe na kundi lako huna uwezo wa kuwabadilisha watanzania waache kufikiri juu ya ukombozi wa nchi hii toka wa manyang'au waliofelisha watoto wetu na kuleta stori za hovyo za kutaka kubadilisha mwelekeo wa wananchi kwa kufikiria majungu ya wanasiasa dhaifu wa CCM.
 
Je unayo habari kuwa umekwishaingilia kesi iliyo mahakamani? Na shughuli za upelelezi wa kesi?
Mpaka hapo umekwisha vunja sheria.
 
Lakini wewe na kina Juliana Shonza mliondoka Chadema au mlifukuzwa hapo mbona umeshasema uongo tayari sasa kwa uzi wako huu tutakuamini vipi mkuu?Hebu jaribu kurekebisha kama mwalimu ili hata wanafunzi wako wapate kukufahamu uzuri ni hilo tu mkuu.Pia napenda nikupe akiba ya maneno sasa huko uliko ndio umekubali kutumiwa sio na kina Mwigulu kwa sababu ya njaa zenu??Uzuri umesema ukweli kuwa wewe na baba yako mlifukuzwa Chadema kwani baba na mwana lenu lilikuwa moja njaaa Like father like Son i salute yaa man endeleza movie huko uliko
 
Wale wanaoamini katika vitabu vitakatifu vya Mungu(hasa bible) wanaelewa kwa kina ishara za kuja kwa mkombozi wa dunia kwa mara ya pili.
Hata kwa wanazuoni na waumini wa madhehebu na dini mbalimbali hapa Tanzania kwa sasa wanaungana kwa pamoja kuwa ukombozi wa nchi yao uko jirani kabisa.Haiwezi kupita miaka mitatu ijayo.Chama tawala cha nchi hii tangu kuwepo kabla na baada ya uhuru kinaonyesha ishara zote za kushindwa kuhimili mawimbi makubwa ya mabadiliko yanayokuja hapa Tanzania.Chama tawala kwa sasa hapa Tanzania kinakataliwa kila kona:
wafanyabiashara ndogondogo -kwa uwazi kabisa
-wafanya biasaha wakubwa-kimya kimya
-watumishi wa serikali-hakuna idara ambayo inaelekea kuunga mkono chama tawala
-dini mbalimbali-zimeamua kuweka mambo hadharani kwamba serikali iliyopo iko ICU.
-VYOMBO vya habari -kila siku ni kuanika mapungufu ya chama tawala na udhaifu wa serikali bila kutoa mapendekezo ya jinsi ya kujinasua toka kwenye hali mbaya.
-watoto wa shule-kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu hakuna anayesema mema ya chama tawala.
-makundi maalumu ktk jamii -kila kundi linalalamika kivyake
-wanamziki na makundi ya sanaa -hata aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za ccm,mzee wa kitambi sasa ni kama hayupo
usimamizi wa huduma za jamii-chama tawala kumeshindwa kila kona.Nchi hadi leo haina umeme wa uhakika,maji ya uhakika,vituo vya afya na hospital za uhakina wala miundo mbinu ya uhakika.Uchumi umeyumba kuliko wakati wote wa historia ya nchi hii hata kabla ya mkoloni.Nchi inadaiwa madeni makubwa ya kutisha.
Hata nguo za kijani kwa sasa hazivaliwi hadharani kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita.Sasa ni aibu juu ya aibu.
Tunasubiri ukombozi wa kweli na uhuru wa kweli 2014/15.Swali ya nani atawaokoa watanzania toka utumwa wa ukoloni mamboleo si gumu kujibiwa kwani watanzania wameamua kwa pamoja kutumia nguvu ya umma kwa kuchagua chama chenye kauli mbiu hiyo.
 
hivi bwana mdogo mwampamba tulikufukuza cdm kwa sababu ulikuwa unatumika kirahisi zaidi kuliko mwingine yeyote licha ya kwamba una BAED. hivyo hoja zako zinachembechembe za mfa maji, lakini itafahamika tu mbivu na mbichi, huko ulikokimbilia ndiyo wanajua kutumia miili inayotumia akili zao kirahisi kama wewe utafanya hata ambalo akili yako haijawhi kulidhani TAKE CARE OF YOURSELF STATUS YAKO ITAISHIA FACEBOOK NA JAMII FORUMS TU , Hivi kwa akili yako fupi na genge lenu mlitegemea watu makini waibuke kurupoka kama wanavyofanya wafa maji kama wewe.TULIENI YENU KUTUMIKA TU MSIJE MKAKIMBIA NCHI
 
Empty story ... no evidence presented to support the claims.
 
Mawakili wa Lwakatare ndo hao hao mawakili wa Ludovick.
 
moyoni...unaikupali chadema ila umaskini na njaaa zime kufanya uonekane mwehu....
hata ukiongea ukweli bado itaonekana wewe ni mfu sababu ya pumba zako za huko nyuma...
maneno yako yana mantiki lakini nani akuamini?....fraud leader
 
napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa kutuletea ukweli huu. kweli kwa kupitia chadema tutaona mengi. nampa pole ludo. mungu amtie moyo, yeye na familia yake.
 
Personally kinachonitisha ni jinsi gani WaTZ tunavyoweza kupoteza target. Hivi kweli CDM, chama kisichokuwa na dola kina weza kutengeza Plot kama ilivoainishwa kwenye You tube na kuitekeleza, tena kwa kipindi kirefu hivyo wakati kuna watu tumewapa dola, madaraka na kila aina ya resource kuhakikisha raia tuko salama. Mbaya zaidi CDM wameweza kutumia vyombo hivyo hivyo vya dola (mwenye mamlaka akiwa kauchapa usingizi) kuyatimiza maovu hayo! Ref: polisi wa mwangosi, polisi wa muuza magazeti moro, na Rama Ighondu wa Uli.
Wakuu hamuoni kwamba hii ndio sababu halisi na ya msingi kabisa kuitoa hii serikali madarakani like immediately kwa kushindwa kijinga kabisa kutimiza majukumu yake tuliyoipa?
Mbaya zaidi wenye mamlaka walikuwa na evidence ya uovu huu wa CDM toka mwaka jana na wakawa wanatuambia ngojeni bomu lijalo!! ebo tupo kungoja kutekwa sisi?
Mi nadhani mada kuu hapa ni kwa nini serikali iendelee kuwepo madarakani na vyombo vyake vya dola vyote tunavovilipia kodi then vigaidi vitoto vya DUCE vituteke na kutunyofoa kucha, meno na kututoboa macho!
Watoke magogoni waende kuchekacheka Msoga! Bora dola yote wachukue kina lwakatare na kitoto cha DUCE kwani wame prove beyond reasonable doubt they can offer mega tons with so meagre reasources!!
 
Mtela tulizana, umegeuka kigeugeu hueleweki kama kikojoleo cha shonza maana akisimama kinakuwa mbele, akiinama kinakuwa nyuma na akichuchumaa kinageukia chini! Unadai hili suala la video ya kupika liko mahakamani huta liongelea, mara unaleta mashairi yale yale... Nadi sera za CCM... achana na CDM sisi tuliomteka na kumtesa Dr Ulimboka, Tukamlipua Daud Mwangosi, tukamshughulikia kibanda na padri mushi! Tuacheni CDM kwakuwa tulimua Moringe Sokoine na yule aliedai CCM ina Dira na Muelekeo aka kolimba...Jitahidi kunadi mirabaha ya 3% na mafweza ya uswis ...Sisi magaidi CDM tunasonga mbele hatuogopi vifaru wala magari ya deraya! sera za kung'oa kucha na meno mwisho wake 2015 ...
 
Big up sana jembe Mtela. Najua hii post yako watakusakama sana lakini hapo umesema ukweli asilimia 100. Yule operative lazima wamkane kwakua wameshikwa pabaya.
 
Hapa jamvini ukileta mada ya kuikosoa Chadema basi wewe ni adui. Utatukanwa na kuitwa majina yote mabaya. Huu ni ujinga na ni ubakaji wa demokrasia kabla hata Chadema hawajachukua nchi. Hii inaonesha Chadema wakichukua nchi basi hakutakuwa na demokrasia tena.
 
Hivi juzi nawe ulikuwa unahangaikia nini kujipitisha pembeni katika msafara wa JK pale kipawa au ulikuwa unatafuta picha ya kuweka FB?
 
Kama ni kweli cdm wamemkana na kumbe amewahi kuwa mtendaji wao basi hatutapata shida kuondoa shaka yetu ndogo ilobaki kujua kuwa mipango ya utekaji ilifanywa kwa baraka za viongozi wa cdm.
walao leo nimejua wingi wa wafuasi wa babu wawaomshambulia kila anayeonekana agains maovu yao humu jf kumb wako ktk ajira rasmi, sa inakuwaje wanakomalia wenzao mara kachukue posho kwa Nape,mara kafate malipo lumumba kumbe ninyi ndo mnatumika! Tulidhan ni utashi wenu aisee kumbe ruzuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…