Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)


Yule aliyehama kutoka CUF na kuhamia CCM kipindi cha MAKAMBA anaitwa TWAMBWE HIZA.Hapo kiongozi nimekubaliana na wewe kabisa katika uchambuzi wako kwa sababu vijana wengi wamaekua kama mashua bila upepo kuvuma upande wanakotaka hawaendi. Ukizingatia kipindi hiki ni cha mageuzi makali vijana ndio tungekuwa chachu lakini tumekua wasaliti utafikiri hatujui wala hatuoni kinachotokea katika Taifa hili. Ushabiki umekidhiri kuliko hata uzalendo. Sasa hivi CCM wanajipanga kwa gharama yoyote ili tu ifikapo 2015 wapate pa kutokea na nini cha kusema. Ni wajobu wetu vijana nasi kupambana kwa gharama yeyote tusighafiliwe na mtu yeyote au kundi la watu kisa tamaa za hela. Wakatia wengine wanapambana mahakamani wengine wanapambana na vijana wa BODABODA kwa kuwadanganya wanawafungulia SACCOS na kuwafanyia michango ya mamilioni ya hele. Hii yote ni kucheza karata na vijana ambao ni wengi. Kama kweli wanataka kuwasaidia watanzania wawakusanye watoto yatima ambao wazazi wao wamefariki kwa ugonjwa wa ukimwi au hata ajali wawasaidie waweze kupata Elimu kama watoto wengine ambapo ni haki yao kikatiba. Wamecheza karata kwenye makinisa na misikiti wakaona wamegundulika sasa wameamua kuhamia kwa vijana. Yako mambo mengi yakufikiri na kujipanga kama vijana wapambanaji na wanamapinduzi wa kweli. Iko kazi ya kuhamasisha vijana kujiandikisha ktk daftari la kudumu la wapiga kura kisha wapate elimu ni jinsi gani ya kupiga kura ili wajikomboe kutoka hapo walipo. Kijana yeyote yule anatakiwa atambue kwamba CCM ndie adui yake namba moja na sio kushabikia kesi zilizoko mahakamani au kutoa siri au mambo yaliyojiri baada ya mambo kufika mahakamani. Alikuwa wapi siku zote asiyaseme haya, hawa ndio wale wanasubiri ajali zitokee ndio waweke matuta barabarani. VIVA CHADEMA VIVA SLAA ALUTA CONTINUE! Mapamabano yanaendelea until last drop!!!!!!!!!!!!
 
Huyo verified user chriss lukosi inavyoonesha hata kanuni za JF hazijui, sasa sijui tutaamini vipi anachoandika hapa?!
Mkuu mie sio mgeni hapa
Niko tangia enzi za Jambo forums/radio , ni miaka mingi sasa
 
Mwampamba ganzi ambao hawakujui ndo watakuamini.Tafuta kazi kaka lasivo utaendelea kutumika kama condom
 

ni kweli kiongozi,yani ukianza kufuatilia yaliyoanza kutokea kuanzia mwezi wa 5 na yakaanza kuibuka mbele ya jamii kuanzia mwezi wa 12 na ndio hiyo video ilikuwa recorded,ukipangilia vizuri huo mlolongo unaanza kupata picha kwa mbaali
 
Huyo mleta thread kaandika jumla ya maneno 986, na kati ya hayo, maneno matatu tu ndiyo ame-bold.
Utangulizi Dr Slaa and Angalizo.

Nia ilikuwa kumtete Ludovick, au kumuingiza Dr Slaa kwenye hii saga? Obsessions zingine zinashangaza!
 
Kaka, umesema yote..
Watu wa aina hii ni dhaif hata kwa familia zao wenyewe
 
Mimi ni mwananchi na ninaiamini Chadema. Sijawahi kusikia/kutegemea wala kuamini hayo unayodai.

Acha uzushi na utaahira we mganga njaa.
Mkuu mie sishangai maneno yako kwani nilipokuwa polisi kuna kipindi tlikuwa tukikamata vichaa ambao ni hatari kwa jamii na maneno waliyokuwa wanayatoa yanafanana sana na yako.
Wewe umenikumbusha yule aliekuwa akidai kuna meli kubwa imetia nanga kati kati ya bara bara kuu pale mwanjelwa mbeya.. ...
 
Mtela Mwampamba

Wewe unatumiwa na CCM tangu ukiwa Chadema mpaka sasa hivi bado unaendelea kutumiwa....
Kwa mantiki hii uko sahii maana unakamilisha Kazi uliyokuwa umepewa ya kuivuruga kwa kiwango kile ile hali ukiwa ndani ya Chadema. Ila tu kwa sababu ya Tamaa zako binafsi umeamua kuweka tumbo mbele ukidhani ukishiba wewe matatizo ya watanzania yanakwisha na wanaanza kukusikiliza wewe.

Just for your information Mtanzania aliyeamua kufanya maamuzi habadiliki eti kwa sababu wewe sasa umehamia CCM nakuendelea na zile Sinema zenu, huku nyinyi mkilala Mmeshiba watanzania hata mlo mmoja hawana uhakika nao.

Kama kweli wewe hukuwa unatumiwa na CCM usingeweza kwenda CCM na kuendelea kuwashawishi na kuwaminisha yaliyoshdikana kwa miaka 50 iliyopita yataweza kufanyi miaka 50 ijayo na watu wale wale au watoto wao.

Ulianza harakati za kuibomoa CDM ile hali mko ndani ya CDM mtaachaje mkiwa nje ya CCM.

Muhimu ni uelewe wewe mtabaki na Shonza wenu pamoja na Nape kuendelea na propaganda huku waTZ wakisonga Mbele na Chadema.
 
Wakuu,

Hapa hakuna cha kujadili,kwanza mwanzisha mada alete hiyo kauli ya Dr Slaa then tujadili au yeyote aliyenayo alete hapa!!

Tusipoteze muda na mtu mwenye mihemuko yake!
 
Mag3,
hakuna anayetaka chadema ife , tatizo ni viongozi wa chadema kuwapotosha wananchi kwa kuwalaghai kuwa wao wakichukua nchi mabomba yatatoa maziwa baridi.

kwa mtu mzima kama ww kupika majungu na uongo mitandaoni ni aibu, Shame on you.
 
ANGALIZO:
Ni vyema tukafahamu kazi ya kiongozi wa kitengo cha mitandao kijamii Chadema na sasa hivi ni nani mkuu wa kitengo? Mods usiwape nafasi hawa watu wakaanza kuwafuwatilia na kuwadhuru wanaJF kwa njia yeyeote ile.Tahadhari ni muhimu kwani siasa si vita tushindane kwa hoja na si kabali na spanner kutolea kucha watu.
 

na mnyika alimkana malya kumbe mshikaji wake kitambo
 
Mwambapa,
CCM imewanunua Dr Walid Kaborou,Dr. Masumbuko LAMWAI,ndg. Ngawaiya,na wengineo wengi ambao kwa sasa ni wachezaji wa benchi na kisiasa wamepoteza mwelekeo.Sisi wengine,tunaamini katika mageuzi na siyo vyama,Kama wewe na dada yako wa hiyari SHONZA ni wana mageuzi hamkupaswa kuonewa CDM mkarudi CCM.Tena historia itawahukumu na ishafanya hivyo kwa kukosa msimamo,kukosamwelekeo na kuwa walamba viatu na walaji wa matapishi yenu wenyewe.
Yuda iskarioti alipoona kuwa YESU AMEHUKUMIWA ...ALISEMA NIMESALITI DAMU ISIYO NA HATIA.Alipotaka kurudisha pesa kwa wazee akijuta kusaliti damu isiyo na hatia wazee walimjibu kifalsafa sasa:YATUHUSU NINI HAYO?-Hili ni jibu la kifalsafa kwa taarifa uliyojitolea kuileta leo,kwa vile kiualimu unajitolea kutuelimisha. Niamini bure, sasa unatafuna matapishi yako mwenyewe mwalimu-hata taarifa hii iwe na ukweli kama KURANI TUKUFU!
 
Wakuu,

Hapa hakuna cha kujadili,kwanza mwanzisha mada alete hiyo kauli ya Dr Slaa then tujadili au yeyote aliyenayo alete hapa!!

Tusipoteze muda na mtu mwenye mihemuko yake!
Kama huna cha kujadili si uwe unasoma tu post za watu wenye ufahamu na jambo husika.

 
Kuifuta mioyoni mwa watu mkuu ni ngumu sana.. Inabidi uwauwe wote.
 
Chris Lukosi;
''That is the way coockie crambles''
Mkuu,
Tangu hii ishu ya Rwakatare ianze umefufuka sana kaka, kunani?? Una maslahi binafsi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…