Mimi swali langu kwako ni hili tu
je una ushahidi wa Ludo kuwa kiongozi wa CHADEMA duce?
Zitto anamfahamu LUDO?
Asante kwakuliona hile. Nimesoma hii post nikaanza kuipa credit kwa kiasi fulani, nilipoangalia imeandikwa na nani nikapata kichefuchefu. Kama anayosema Mtela ni kweli; utamuamini vipi wakati na yeye ni msaliti? Niseme wazi nawachukia sana watu wa aina hii ya Mtela. Sipendi kabisa watu wanaotoka ndani ya chama nakuanza kulialia; inaonyesha wazi sio watu imara wakuweza ku-stand the heat inside the kitchen. Nawaheshimu sana Lowassa, Sita na wengine wote ndani ya CCM kwani wao ndio wanasiasa kamili. Sizungumziii ufisadi; ni kutokana na kwamba pamoja na kuwashiwa moto ndani ya chama, wameamua kusimama huko huko na kupigana huko huko. Mtatiro pamoja na kuwa na tofauti na viongozi wake kipindi fulani, alisimama imara na kutetea anachokiamini. Hawa wote pamoja nakwamba wanaweza kuwa wanatofautiana kimawazo na wewe na mimi; lakini wanaonyesha ni jinsi gani wanaamini wanachokitetea. Hii inaonyesha pamoja na kwamba hawakubaliani na mambo ndani ya chama; lakini wanaamini hasa kwenye itikadi ya chama chao. Same as those people ambao wameamua kubaki CDM,NCCR, CUF etc pamoja na mapungufu yaliyopo, wameamua kupigana huko huko kwani wanaamini kwenye itikadi yao. Sasa hawa watu wa aina ya Mtela, Shibuda and the like, huwa nawaogopa sana maana huwaelewi wanasimamia nini. Wao wanaangalia upepo unakoelekea ndio wanakoenda. I hate this type of people regardless ya chama alichotoka. Hata sikumoja hawawezi kukueleza tofauti za kiitikadi wanazoona kwenye chama au policies, wao ni umbea mwanzo mwisho. Unless useme wazi hukubaliani na itikadi ya chama ulichohama, hayo mengine ni kuwapumbaza watanzania kwani hata wewe Mtela credibility yako ni questionable. Hivi mbona sijawahi kumsikia Prof Safari akielekeza personal attack kwa watu ndani ya CUF? Sijawahi kumsikia yule aliyehama CUF (nimesahau jina) akahamia CCM kipindi kile cha uongozi wa Makamba akitumika insanely kama ninyi vijana? Vijana wa Kitanzania hasa walioko kwenye medani ya siasa, kama vile hawajielewi elewi hivi. Aaargh! Halafu eti vijana ndio wapewe uongozi wa nchi, ili iweje? Kama ni rahisi kuuza utu kiasi hiki utashindwa kuuza nchi au hata kama ni jimbo utakalokuwa ukilisimamia?
Mag3 , Usihofu kuhusu mie kujibu kama verified user.
I AM LUKOSI, an ex cop and now mjasiriamali kwa hiyo sina sababu ya kuogopa mtu kwa sababu simkosei mtu.
Hayo majibu nimeyatoa toka moyoni mwangu na narudia tena ,, hakuna mtu anayetaka chadema ife bali tunataka upinzani wa kweli sio upinzani wa kuleta vurugu nchini na ukabila au udini. niliyaona hayo chadema na matatizo yao sio chadema kama chama bali viongozi wachache wa juu.
Ukitaka kujua huko kunba matatizo wee sema neno moja tu hapa uone matusi yatavyoshuka. sema hivi;..
ZITO KUGOMBEA URAIS CHADEMA halafu utaona kitakachofuata kutokea maeneo ya njiro.. kishimundu na Unga ltd
Hilo ndilo la kufanya, sasa upo CCM, inabidi uwaonee huruma vijana wa CCMHujaanza kulia utalia sana, sijui unaendeleza biff na nani? Umepoteza kila kitu Chadema zungumzia CCM tutakuelewa
Mkuu, nilijaribu kulinganisha mwonekano wa wale mabaunsa na LUDO sikupata picha. Hata hivyo, ukiwafuatilia wale wanaoamini uhusika wa Lwaka na LUDO katika ishu hizi wanaonesha uhusika wa LUDO directly. Sasa hapa unakuwa na maswali ya kujiuliza juu ya utaalam wa jamaa kwenye masuala haya. Nimemuuliza kuhusu LUDO kwakuwa anamfahamu vema. Profile ya Lwakatare si inajulikana?
Mkuu,hilo alihitaji hata maswali mbona mabaunsa wa Billicanas club wanafanya kazi ya kuwalinda viongozi Chadema.Sasa ungejiuliza mkuu wa kitengo cha ulinzi na usalama (mtuhumiwa number moja) ana uwezo gani wa kimafunzo na utawala?
Njooooooni jamaniiiiiiii Mwingine huyu hukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!Mwambapa Ugonile malafyale!
Uliyoongea ni kweli kabisa. Kijana katumika kama vile mtu anavyokula muwa ukiisha utamu unatupwa na kusahau palepale.
Huyu kijana aliweza kudivert emails zangu na kuzipeleka kwa Slaa. kijana alikuwa mtiifu sana lakini wanaogopa wakimkubali tu watakuwa wamekwisha.
Kesho usishangae wakamkana Ben Saa nane kuwa hawamfahamu mara atakapoamua kuimba
Sio lazima, ila viongozi wa CHADEMA ndio wanaotegemewa kushika Dola au kuongoza Serikali siku moja, baada ya kuwang'oa CCM ambao watu wengi wametuchosha pamoja na mambo mengine vyeo vya kupeana kindugu na kifamilia!
Dr Slaa is the Tanzanian politian of all time after Nyerere ni dramatic na controversial vile vile hajawahi kutoka kwenye midomo ya watanzania tangu alivyooingia kwenye siasaKumbe humu kuna watu kila kitu kwao ni no kumbe wanalipwa kwa bandiko na slaa! Hebu endelea kuwafumbua vijana wenzakowenzako
nazidi kuamini kuwa benki ya maskini ni tumbo lake!
Inasikitisha babu anamkana shemeji yake hivi hivi.
Hizi story zenu (wewe na Shonza) kila siku ni dhidi ya Dr Slaa,inaonekana mlikuwa na ugomvi nae personal.Sijawahi kuwaona mkiikosoa CHADEMA kama chama
Jibu ni rahisi,kwanza wote wanatoka mkoa mmoja na first lady wa Chadema,pili kuna uwezekano alipendekezwa na mama si unajua tena kila kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke.Mkuu, nilijaribu kulinganisha mwonekano wa wale mabaunsa na LUDO sikupata picha. Hata hivyo, ukiwafuatilia wale wanaoamini uhusika wa Lwaka na LUDO katika ishu hizi wanaonesha uhusika wa LUDO directly. Sasa hapa unakuwa na maswali ya kujiuliza juu ya utaalam wa jamaa kwenye masuala haya. Nimemuuliza kuhusu LUDO kwakuwa anamfahamu vema. Profile ya Lwakatare si inajulikana?