Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
We unamatatizo sana. Kama uzi ni wakijinga tuache muda wetu tujadili ujinga?Wadanganyika bwana si mujadili uzi mbona munamjadili mtu ficheni upumbavu wenu jadil;ini hoja.
Mag3,
hakuna anayetaka chadema ife , tatizo ni viongozi wa chadema kuwapotosha wananchi kwa kuwalaghai kuwa wao wakichukua nchi mabomba yatatoa maziwa baridi.
what matters ni mechanism ya kuwapa madaraka kama wana merit,angalia USA akina Bush na Clinton,unakumbuka akina Kenndys?
Huyu jamaa kumbe mweupe sana, haya na wewe nenda pwani kwa vijana wa uvccm kaseme rais 2015 ni lowassa, au kamwambie sitta au mwakyembe maneno hayo uone atakachokufanya..huyo zitto unayemsema si ndo naibu katibu mkuu wa chadema tena ndie naibu kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Amefikaje hapo alipo kama hapendwi.,tupe mfano wako wewe kama labda ulizuiwa kupewa uongozi wa tawi la chadema huko ughaibuni kwa vile tu hutokei kaskazini..!Mag3 , Usihofu kuhusu mie kujibu kama verified user.
I AM LUKOSI, an ex cop and now mjasiriamali kwa hiyo sina sababu ya kuogopa mtu kwa sababu simkosei mtu.
Hayo majibu nimeyatoa toka moyoni mwantgu na narudia tena ,, hakuna mtu anayetaka chadema ife bali tunataka upinzani wa kweli sio upinzani wa kuleta vurugu nchini na ukabila au udini. niliyaona hayo chadema na matatizo yao sio chadema kama chama bali viongozi wachache wa juu.
Ukitaka kujua huko kunba matatizo wee sema neno moja tu hapa uone matusi yatavyoshuka. sema hivi;..
ZITO KUGOMBEA URAIS CHADEMA halafu utaona kitakachofuata kutokea maeneo ya njiro.. kishimundu na Unga ltd
Hizi story zenu (wewe na Shonza) kila siku ni dhidi ya Dr Slaa,inaonekana mlikuwa na ugomvi nae personal.Sijawahi kuwaona mkiikosoa CHADEMA kama chama
MMh i feel sorry kwa kijana Ludovick,na ndoa yake bado changa..sorry for the wife,mchaga atakukimbiajeeee sasa??
hichi ulichoandika ndo content ya uzi? Huu
Nimekupata mkuu, lakini hizo ni hisia (ingawa inaweza kuwa chanzo). Hivyo, nasubiri jibu la Mwampamba litakuwa kamili kwakuwa anamfahamu vema.Jibu ni rahisi,kwanza wote wanatoka mkoa mmoja na first lady wa Chadema,pili kuna uwezekano alipendekezwa na mama si unajua tena kila kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke.
Kifupi hii kesi polisi wakiamua kuendelea nayo ni ngumu sana kushinda maana ni wazi ushahidi na mashahidi itakuwa ni kikwazo (siongelei uhalisia au ufeki wa video). Na hii ndio sababu ambayo tunaona watuhumiwa wamechelewa kupelekwa mahakamani. Ni nini matokeo yake?....watuhumiwa wakishinda CDM itachukua credit zaidi ukiweka maanani kuwa uhalisia wa video bado una mitazamo tofauti baina ya wananchi wengi.
Mwambapa Ugonile malafyale!
Uliyoongea ni kweli kabisa. Kijana katumika kama vile mtu anavyokula muwa ukiisha utamu unatupwa na kusahau palepale.k
Huyu kijana aliweza kudivert emails zangu na kuzipeleka kwa Slaa. kijana alikuwa mtiifu sana lakini wanaogopa wakimkubali tu watakuwa wamekwisha.
Kesho usishangae wakamkana Ben Saa nane kuwa hawamfahamu mara atakapoamua kuimba
Mkuu Mtela Mwampamba
Nimekusoma vyema lakini kuna sehemu ya maandishi yako nashindwa kuelewa unataka nini haswaaaa.
Umefurahia Ludovick Rwezaura masahibu yanayomkuta kwasababu ya kushiriki kumfuza Baba yako CDM !,umefurahi kwasababu alishiriki kuusambaratisha mtandao wenu BAVICHA ! Umesikitika kwakuwa Dr Slaa kamruka ! Umefurahi kwakuwa dhambi ya utekaji, utesaji sasa imehamia CDM kutokana na ushiriki wa Ludovick na Rwakatare!.
Umewahi kuona Mwampamba anapost kitu chochote hapa JF bila kumtaja Dr Slaa? Kiongozi wa Chadema anayemjua yeye ni mmoja tukama huwezi kuchangia waache wenzako wachangie. hapo mwampamba kaeleza usaliti wa viongozi wa chadema dhidi ya kijana aliyejitolea katika chama hicho. mwisho ametoa angalisho kwa nyie mnaojifanya wafurukutwa wa chama kwani mwisho wenu utakuwa kama wa ludovick