Ninavyomjua Nakadori humu MMU

It is true kabisa
Always the beauty of life grows through your personality.
Pole kwa kifo cha Mpendwa Mama yetu, Mungu amuweke mahali pema peponi, One Day You will meet her in Paradise
 
.....umeuliza maswali mazuri kama vile journalist tena wale investigative...good thou...
 
Nakie,
Unawezaje kuendelea kuwa humble hata kwa watu wanaokukwaza na kauli zao za kuudhi.?? Hili naomba anijibu na To yeye hivi mnawezaje..??
Kuwa na positive mindset muda wote na kuchukulia kila mtu kwa namna alivyo.
Usikubali mtu mbaya alibadilishe personality yako.
Lakini pia ulimi wa mwanamke unapaswa uwe soft na sio wa matusi na kupanic ovyo
 
Nakadori enjoy bhana , Hakuna Matata na Timon na Kimba hapo 😂 😂 😂 😂
 
1. Congrats for that.

2. Hongera sana aisee ❤️ ni raha sana kurecognize true love from our Bloved.
Mwanga wa milele uendelee kumwangazia mama Dori.
Naimani mbegu ya upendo uliyojijengea nawe utaijenga na kuitumia kwa walio karibu nawe.

3. Hao watu hawajawahi kukosekana.. em waambie kitu? Unawashauri nini? Waseme kidogo in a positive way.
 
1. Asante love 😍
2. Apumzike kwa amani mama yangu mpendwa...najifunza ila yeye alikuwa na upendo sana sidhan kama nitaweza kumfikia.
3. Ujumbe wangu kwao wapambane na hali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…