Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Nenda u like kwanza comment zote ulizo niquoteπŸ˜‚, kila mtu kuna namna unampatia picha kutokana na mwandiko humu, πŸ˜‚ nikisoma nahisi we ni wa mwisho kuzaliwa,
Kabisa me ni precious baby (Mjf ulonipa hili jina umepatia sana... ) wa kwanza na wa mwisho. Nilidekezwa sana na mazaa... ameniacha sasa napambana na wadunia wasiojua cha precious baby
 
Hahahaa Glenn nilikuambua juzi huyu Nakadori yuko vizuri sana upstairs , hasa hapo kwenye hiyo flirting . Hahahaa ina maana safari huwa inaishia njiani tu?? 🀣 🀣 🀣
Ninamuelewa huyu sana kupitia mwandiko...mjanja kuliko wanavyodhani
 
Kabisa me ni precious baby (Mjf ulonipa hili jina umepatia sana... ) wa kwanza na wa mwisho. Nilidekezwa sana na mazaa... ameniacha sasa napambana na wadunia wasiojua cha precious baby
Pambana,

Kwani hauna shem wa kukudekeza? Yani mwandiko umekaa kideko deko utundu utundu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…