Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

Usisite kunambia ili ukute nimekuandalia samaki wengi na wa kutosha na usipete usumbufu wa kununua samaki kwenye madirisha ya gari/basi

Au utakuwa na ile gari yako pendwa?
Nitakujulisha aisee nataka vijana niwachape soup ya samaki akili ziwakae saw😁

Bwana bwana ile gari inanivuruga akili kishenzy.
Hivi huwezi kunifanyia sapraizi ya ile gari siku yangu ya kuzaliwa kweli 😀😀
 
Chakorii ni mtu bora Sana. Siku akiwa rafiki yako,nakuahidi utakuwa umepata rafiki bora maishani.

Unenifurahisha sana vile umesema ana uandishi wa kihuni!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ohooo…SH hii comment imenitirirsha chozi.au sijui ni wenge langu😀😀😀

Kweli kaundishi ka kihuni kapo huwa kama kuja na kukata😀kuna wakati nikisoma comments zangu mwenyewe ninajishangaa😅😅

Ila ndio hivyo SH kizazi sana💃💃
 
Sina maswali mkuu,
Niungane na wewe kuwashukuru watajwa hapo kwa mchango wao katika maisha yako. Wachache wanaweza ku-appreciate!
Asante ERoni my dear…ingawa nahisi kuna maswali unayo
 
"Kizazi Sana". 😅

Uandishi wako haurembi.
 
Nakumbuka sana ukarimu wako na Mungu atakupa na kukuongezea kila unachotoa
Mimi huku namshukuru Mungu
Naamini hata ukiweka Nia tu ni thawabu
Tuko pamoja sana
Amen BS.

Ninafarijika kusikia kuwa Uko salama.
Tuzidi kuombeana ndugu yangu.
 
Asante ERoni my dear…ingawa nahisi kuna maswali unayo
Yatakuwa magumu kujibu, sisi wengine huwa tunauliza tu. Ila kwa vile ni siku ya kuwakubali watu wako, hayo tuyaweke pembeni kwa leo my dear!
 
Nashukuru sana Witnessj…
Yap huwa nashukuru japo kwa kidogo mama.
Tukiombea watu mema basi yale mema pia hukurudia.
Tujifunze kuombea watu mema.

😀😀mambo ya kimama nimeyakataa kabisa..nahisi nitakuwa mama msela sana Kwa wale vijana.😀

Usijali W kila kitu na wakati wake ipo siku tutakuja kuwa marafiki
 
Asante P my dear

Ubarikiwe pia mkuu Kwa huu ujumbe😍
 
Amini usiamini hicho kidogo unachomsaidia mtu ni msaada mkubwa mno na Mungu hubariki.kufanikiwa kiuchumi ni matokeo kupitia lakini kupitia huo msaada unaohisi ni mdogo basi Mungu hufungua milango mingi ya mafanikio.
Usiache kusaidia watu.

Mungu akufungulie milango ya baraka basi upate maisha ya ndoto yako.
Hakikisha ndoto ya maisha ya matamanio yako haifi
 
Amen SH my dear…
Na ikawe kama usemavyo baba

😇😇
 
Yatakuwa magumu kujibu, sisi wengine huwa tunauliza tu. Ila kwa vile ni siku ya kuwakubali watu wako, hayo tuyaweke pembeni kwa leo my dear!
Hahahahaa kama litakuwa limevuka nje ya mipaka yangu niliyokuwa nimejiwekea hakika sitoweza kuyajibu
 
Nimeipenda sana hii mungu azidi kukupa moyo wa shukurani siku zote

Sijui why but nakukubaligi tu my sis Mungu akutunze
Amen my dear…

Asante kwa kunikubali my love.

Xoxo from Chakorii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…