KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Demokrasia inatabia ya rushwa ili kushinda .Kuna uwezekano wa mkubwa wa kupata viongozi wa kiimani waliongia kwa rushwa kama tu Walitumia kupiga kura.ahhhh umeandika upumbavu na kuchafua makanisa.si hamia huko unakoona kuzuri .
huna ulijualo kuhusu Mungu Muumba zaidi ya hadith za Waarabu tuEndelea kujidanganya tu.
Anza kumwabudu Muumba wako, usiabudu mzungu.
Katoliki ukizingua unajikuta nyuma ya kanisa kwenye tenki la maji, hawaangalii wewe ni padri au muumini wa kawaidaMwanzo nilijua hili kanisa la kkkt ni level moja na Katoliki lakini kumbe ni KICHUGUU NA KILIMANJARO. Sasahivi nimekuwa mtu mzima ndio najua Kanisa Katoliki halistahili kufananishwa na makanisa mengine, yaani Katoliki ni kanisa la kipekee sana na MISINGI YAKE ILIWEKWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA YESU NA YESU NDIYE ALIYETOA TAMKO LA KWAMBA KTK MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA, NA HAKIKA NDILO HILI SASA.
Tofauti na LUTHERAN AMBALO MISINGI YAKE IMEWEKWA NA MARTIN LUTHER AMBAYE ALITOKA KATOLIKI BAADA YA KUANZISHA MGOGORO. NA LAANA HIYO IMEENDELEA KULITESA KANISA LA LUTHERAN ambapo watu wamekuwa wakijiondokea kwenda kuanzisha makanisa mapya, makanisa mengi tunayoyaona mitaani yenye majina ya kilokole waanzilishi wake ni wale waliokimbia LUTHERAN. Na wengi wanaoondoka kwenda kuanzisha makanisa wengi NI WA BINAFSI NA NI KWA AJILI YAO NA SIO KWA AJILI YA KAZI YA INJILI.
Katoliki hakuna mwenye jina kubwa kuliko Kanisa, ila LUTHERAN mchungaji anaweza kuwa mkubwa kuliko Kanisa, mfano Eliaona Kimaro wa K/nyama na Matsai wa Kimara.
Katoliki hakuna maandamano au shinikizo la waumini , lakini LUTHERAN Mchungaji anaweza ku influence waumini waandamane kupinga Maelekezo na Maamuzi ya juu ya taasisi hiyo, NAKUMBUKA KANISA LA ELIAONA KIMARO.
Utaratibu wa kuendesha ibada ndani ya kanisa Katoliki umeendelea kudumishwa karne na karne TOFAUTI NA LUTHERAN AMBAPO KUNA MUDA UKIINGIA UNASHINDWA KUJUA HAPA NI LUTHERAN AU NI KWA MWAMPOSA MAANA NI KURUKARUKA KWA KELELE KAMA DISCO, WAENDESHA IBADA NI KUONGEA KWA MAGUVU NA MAKELELE YAANI KAMA WANAVYOFANYA WAHUBIRI WA KILOKOLE. UKUTE SASA WANAKEMEA MAPEPO.
KIMSINGI NDANI YA IBADA KATIKA MAKANISA YA KKKT HUWA HAKUNA UTULIVU , USTAARABU NA UNYENYEKEVU KAMA ILIVYOKUWA MIAKA YA 1980 ( japo ukienda ujerumani makanisa yao yaliendelea ku maintain litujia ya kanisa) ila hapa kwetu ni vurugu tu.
MWISHO SIKUWAHI KUJUA KAMA MKUU WA KKKT ANAWEZA KUMALIZA MUDA WAKE HALAFU BAADA YA MIAKA KADHAA AKAGOMBEA TENA KITI HICHO. NIMEIONA HII JUZI BAADA YA KUSIKIA ASKOFU MALASUSA AMECHAGULIWA TENA.
Kwa kweli hii inaondoa hadhi ya Kanisa yaani utafikiri chama cha siasa.
Japo mimi ni Mlutheri/KKKT lakini hakika KANISA KATOLIKI NI KANISA SAHIHI NA LITABAKI KUWA NI KANISA LENYE HESHIMA YA KITUME HASA NA HILI NDILO KANISA LA MUNGU
Matatizo yenu Ibrahim hahitaji dua nyie ndio mnajikomba kwakeMboa na Ibrahim humtaji nae tunamuobea dua kila siku?
Muhammad ni mtume, kama ilivyo Issa, siyo Miungu hao. Wanahitaji dua kama unavyohitaji wewe.
SahihiWewe Catholic church of Rome ndio walio utengeneza Islam religion
miaka ya 600 AD baada ya Ukristo,
injinia ni jasusi Father Warakka na mkabidhiwa mission ni Muhammad Abdula Bin Mutalib
wakiwa na lengo la kuwafanya Arabs waunganishwe watawaliwe kiurahisi
baada ya mission usaliti ukapelekea uongo kugeuzwa ukweli,
Napoleon Bornapate baada ya kuteka Roma aliziona nyaraka za kale za makubaliano yaliyo vujwa na kupelekea Crussade war..
Mungu hajawi anzisha dini wala kumpa mtu mamlaka ya kuanzisha dini ila matapeli ya Roma na Arabuni yalijipa mamlaka...
Only Jesus Christ ndie njia ya kweli na uzima ukimfuata yeye personal utaingia spiritual way
nyingine mbwembwe za Kigalatia na za wavaa kobazi tu!
Faizafoxy:unatumia nguvu kubwa kubishana na waislamu wenzako walio kataa dini ya kwel na kukubali ubatizo na vitimbwi vya kila namna wape pumzi maana kweli haijifichi,unabishana na dunguzo ambao matendo yote ya mwili Hadi mijongeo yao Ina akisi uislamu mtupu wape pumziSina vita na kanisa katoliki wala na yeyote yule.
Nnachokifanya hapa ni kulingania dini ya kweli, Uislam.
Wewe kama ni mkatoliki, nikuulize, bila kufichaficha, kwenye ukweli tusione haya kuusema wala tusitafune-tafune maneno; unaona sawa kuongozwa na kufundishwa maadili na mashoga? Au na wewe ni walewale?
Ukisoma historia vizuri utajifunza mengi na itakusaidia kujiweka karibu na Mungu muumba kuliko kuyaamini zaidi makanisa. Nimekuelewa mkuu, asante [emoji1666]
Sahihi Marehemu Shehe Yahya Hussen alikuwa akiongea live kwenye TV channel 10 live kuwa mtu kama anasumbuliwa na majina usiku asemreYesu Yesu Yesu mara tatu hayatamsumbua tena hayo majini maja usku kusumbua watuhuna ulijualo kuhusu Mungu Muumba zaidi ya hadith za Waarabu tu
Bibi ili umjue Mungu wa Kweli lazima umjue Yesu Kristo yeye ndie pekee anafungua Spiritual realm kwenye Ulimwengu wa Roho anaitwa Eternal Son of God au Mwana wa Mmiliki
kama hujui nenda kaulize kwa Wanajimu,Waganga na Wachawi wakuambie ukweli na balaa lake na wafuasi wake,
kingine Bibi njoo PM nikupe elimu!
Mleta mada hujui historia, na umechanganya mambo.
Ngoja upate elimu kidogo.
1. Petro hakuanzisha Kanisa Katoliki. Petro alizaliwa Israeli, akaishi Israeli, akahubiri Israel na mwisho akauwawa Israel, tena akiuwawa na utawala wa kikoloni wa kirumi (Roma). Kanisa Katoliki (Roma) lilianzishwa karne kadhaa baada ya Petro kufa, na lilianzishwa huko Roma. Yote kwa yote, Biblia inasema Petro alikuwa na mke na familia!
2. Yesu aliposema atalijenga kanisa lake juu ya mwamba huu, hakumaanisha atajenga jengo la kanisa juu ya Kabuli la Petro, bali atajenga imani ya ufuasi juu ya kile ambacho Petro alikisema saa ile (Petro alisema, wewe Yesu ndio kristo (akimaanisha Yesu ndio alipakwa mafuta (aliyeandaliwa rasmi kutoka mbinguni) kuja kuwaokoa watu na dhambi zao)
3. Kanisa Katoliki la sasa kimuundo, kimwenendo na kimsimamo sio sawa na katoliki lililokuwepo zama zingine zote za nyuma. (Kuna vitu vingi vipya (vizuri au vibaya) vipo sasa tofauti na hapo kale.)
4. Kanisa Katoliki halifanani kila kitu dunia nzima. Ndio maana usishangae kuna mapadri huko Brazil wanaruhusiwa kuoa, huko Marekani kuna majimbo ya kanisa Katoliki yanatambua ushoga na kubariki ndoa za jinsia moja nk). Hivyo usikariri sana.
5. Mifumo mingine ya ndani ya siri ya kanisa katoliki sio safi au kuishabikia kidini, ni mifumo ya kisiasa na umafia ndani yake. Hivyo utazame ukatoliki kiimani na kisiasa pia.
Kha!kha!,CCM tena??.Mtuombee tu sio sisi na Wala sio matakwa ya walutheri ni CCM wametuzidi kete
Sasa mbona umekomment?,si utuache sisi wajinga na uelewa mdogo ?.Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo.
yaleyale maneno yenu ya kujifariji, usifuate matendo ya padre fata mafundisho yake, uchafu unaanzaje kufundisha usafi?Haihusiani na mafundisho ya kanisa.
Wala papa sio mkubwa kuliko kanisa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nimesikitika sana kwa Wewe Kuchelewa kujua kuwa Kanisa Katoliki ukiahilia mbali kuwa ndilo Kongwe duniani na limezaa hayo Madhehebu mengine pia ndiyo Kanisa linaoongoza kwa kuwa na Watu ( Waumini ) wenye Akili Kubwa, Wasioogopa, Wasomi wa Kweli na hawatishwi na ama Mpumbavu yoyote au Mamlaka yoyote ile ya Kikatiba katika nchi waliyoko.
Halafu Wakatoliki na TEC yao ( yetu GENTAMYCINE nikiwemo ) huwa Wakitoa Tamko au Msimamo wao mara nyingi hawathubutu kupoteza muda wa Majibizano na Wapumbavu bali hukaa Kimya ( Hunyamaza ) ili Akili na Ujinga vipambane / viumane.
Ninajivunia kuwa Mromani Katoliki!!!
Vipi yule Askari wa Zenji Muislamu mwenzako aliyekuwa anapumuliwa na mwanaume mwenzake je alifunza msikitini? .Sasa kijana Kanisa makasii, na mapadri wawe zaidi ya 90% mashoga halafu useme siyo tatizo la kanisa?
Tuwe wa kweli kwenye nafsi zetu, tusidanganyane kutetea maovu, kwa kuwa tumeaminishwa ujinga tu.
Wazungu wameshastuka huko, wanayafunga makanisa na kuyafanya misikiti:
Hbr ndiyo hiyo,nenda kasome Mt.16:16-17.Nilisoma andiko moja la Ellen G white alisema kanisa katoliki limejengwa katika misingi imara halitakaa litetereke mpaka mwisho wa dunia.kuna muda itafika utatokea mpasuko ndani ya sabato na wengi watajitenga halafu haya madhehebu mengine yatasambaratika kabla ya mwisho wa dunia!!!
Ukiangalia kwa jicho la tatu andiko lake kama lina ka ukweli hivi,kanisa katoliki linapingwa vikali na madhehebu kibao lakini halijawahi kutetereka miaka na miaka!!
Raha gani bibi wewe?,Ile kubinuliana makalio ndio raha?.Kwanza nakushauri isome Qur'an, majibu yote ambayo huyapati kwneye biblia au kanisanai yanajibiwa na Qur'an: Qur'ani Tukufu
Cha pili, ingia msikiti wowote utaposikia aadhana ufate Waislam wanavyosali, utaiona tofauti na raha yake. Wewe mfate imam, hata kama hujuwi kwa mwanzo mwanzo, inama na inuka nao tu. Ustaiona raha yake na utajiuliza niloikuwa wapi siku zote.
Uislam ni mwema sana. Hakuna longolongo. Fata Uislam usifate Waislam, wapo wengine ni Waislam jina tu.
Unaongelea askari feki ambae hata mahakama imeona hana hatia, kabambikiwa tu. Ongelea hawa wakubwa zako wa kanisa wako hivi:Vipi yule Askari wa Zenji Muislamu mwenzako aliyekuwa anapumuliwa na mwanaume mwenzake je alifunza msikitini? .
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Eti nawewe unajiona kichwa, kumbe umepuyanga tu.Wewe Catholic church of Rome ndio walio utengeneza Islam religion
miaka ya 600 AD baada ya Ukristo,
injinia ni jasusi Father Warakka na mkabidhiwa mission ni Muhammad Abdula Bin Mutalib
wakiwa na lengo la kuwafanya Arabs waunganishwe watawaliwe kiurahisi
baada ya mission usaliti ukapelekea uongo kugeuzwa ukweli,
Napoleon Bornapate baada ya kuteka Roma aliziona nyaraka za kale za makubaliano yaliyo vujwa na kupelekea Crussade war..
Mungu hajawi anzisha dini wala kumpa mtu mamlaka ya kuanzisha dini ila matapeli ya Roma na Arabuni yalijipa mamlaka...
Only Jesus Christ ndie njia ya kweli na uzima ukimfuata yeye personal utaingia spiritual way
nyingine mbwembwe za Kigalatia na za wavaa kobazi tu!
Sasa kijana Kanisa makasii, na mapadri wawe zaidi ya 90% mashoga halafu useme siyo tatizo la kanisa?
Tuwe wa kweli kwenye nafsi zetu, tusidanganyane kutetea maovu, kwa kuwa tumeaminishwa ujinga tu.
Wazungu wameshastuka huko, wanayafunga makanisa na kuyafanya misikiti: