- Thread starter
- #281
Asubuhi hii nafuatilia ibada ya Katoliki navutiwa sana na Padri wa Katoliki anavyoongea kwa unyenyekevu na kanisani kuna utulivu wa kiwango cha juu. Pia navutiwa jinsi anavyowasilisha mada kwa waumini, anazungumzia kilichopo kwenye Biblia. Pia nafuatilia Kanisa jirani yaani ni Sauti za maspika kuimba na kurukaruka, imekuja zamu ya mchungaji naona anaongea hadi jasho na anachokiwasilisha kwa waumini ni asilimia 5 tu ndicho kilichopo kwenye Biblia, yaani mahubiri yake ni maisha na changamoto zilizopo kwa watu , magonjwa, kupata kazi , utajiri ,mafanikio , kuondokana na mikosi na zaidi ni msisitizo wa matoleo.
KIMSINGI TUNAOMBA KKKT ITURUDISHIE WACHUNGAJI NA WAINJILISTI WETU WA MIAKA YA 80 waliokuwa wanazungumzia habari njema, kuishi maisha yenye kumpendeza Mungu na ufalme wa Mbinguni. Hatukaki hawa WAJUAJI AMBAO MUDA WOTE NI KUZUNGUMZIA MAISHA YA KIMWILI NA UTATUZI WA SHIDA ZA KIMWILI KISHA KUHAMASISHA MICHANGO.
NA KAMA WAPO WACHUNGAJI WA ZAMANI WALIOSTAAFU NA WAPO HAI BASI WAPELEKENI KWENYE CHUO CHETU KILE CHA MAKUMIRA WATUZALISHIE WATUMISHI WA KWELI NA SIO HAWA.