Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Uislam pekee.

Hakuna mfumo kama wa kanisa kwenye Uislam. Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi Mungu. Kila kitu ni wewe na Muumba wako tu.
Uislam ni dini,ila haitoki mbinguni.Inatoka kwenye za makuresh
 
Kanisa lenye kashfa ya ulawiti VS kanisa la wapenda maokoto. Hii mbungi ni kali. Nimeagiza popcorn za 3b ili niwe nasoma comments.
 
Mwanzo nilijua hili kanisa la kkkt ni level moja na Katoliki lakini kumbe ni KICHUGUU NA KILIMANJARO. Sasahivi nimekuwa mtu mzima ndio najua Kanisa Katoliki halistahili kufananishwa na makanisa mengine, yaani Katoliki ni kanisa la kipekee sana na MISINGI YAKE ILIWEKWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA YESU NA YESU NDIYE ALIYETOA TAMKO LA KWAMBA KTK MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA, NA HAKIKA NDILO HILI SASA.

Tofauti na LUTHERAN AMBALO MISINGI YAKE IMEWEKWA NA MARTIN LUTHER AMBAYE ALITOKA KATOLIKI BAADA YA KUANZISHA MGOGORO. NA LAANA HIYO IMEENDELEA KULITESA KANISA LA LUTHERAN ambapo watu wamekuwa wakijiondokea kwenda kuanzisha makanisa mapya, makanisa mengi tunayoyaona mitaani yenye majina ya kilokole waanzilishi wake ni wale waliokimbia LUTHERAN. Na wengi wanaoondoka kwenda kuanzisha makanisa wengi NI WA BINAFSI NA NI KWA AJILI YAO NA SIO KWA AJILI YA KAZI YA INJILI.

Katoliki hakuna mwenye jina kubwa kuliko Kanisa, ila LUTHERAN mchungaji anaweza kuwa mkubwa kuliko Kanisa, mfano Eliaona Kimaro wa K/nyama na Matsai wa Kimara.
Katoliki hakuna maandamano au shinikizo la waumini , lakini LUTHERAN Mchungaji anaweza ku influence waumini waandamane kupinga Maelekezo na Maamuzi ya juu ya taasisi hiyo, NAKUMBUKA KANISA LA ELIAONA KIMARO.
Utaratibu wa kuendesha ibada ndani ya kanisa Katoliki umeendelea kudumishwa karne na karne TOFAUTI NA LUTHERAN AMBAPO KUNA MUDA UKIINGIA UNASHINDWA KUJUA HAPA NI LUTHERAN AU NI KWA MWAMPOSA MAANA NI KURUKARUKA KWA KELELE KAMA DISCO, WAENDESHA IBADA NI KUONGEA KWA MAGUVU NA MAKELELE YAANI KAMA WANAVYOFANYA WAHUBIRI WA KILOKOLE. UKUTE SASA WANAKEMEA MAPEPO.

KIMSINGI NDANI YA IBADA KATIKA MAKANISA YA KKKT HUWA HAKUNA UTULIVU , USTAARABU NA UNYENYEKEVU KAMA ILIVYOKUWA MIAKA YA 1980 ( japo ukienda ujerumani makanisa yao yaliendelea ku maintain litujia ya kanisa) ila hapa kwetu ni vurugu tu.

MWISHO SIKUWAHI KUJUA KAMA MKUU WA KKKT ANAWEZA KUMALIZA MUDA WAKE HALAFU BAADA YA MIAKA KADHAA AKAGOMBEA TENA KITI HICHO. NIMEIONA HII JUZI BAADA YA KUSIKIA ASKOFU MALASUSA AMECHAGULIWA TENA.
Kwa kweli hii inaondoa hadhi ya Kanisa yaani utafikiri chama cha siasa.

Japo mimi ni Mlutheri/KKKT lakini hakika KANISA KATOLIKI NI KANISA SAHIHI NA LITABAKI KUWA NI KANISA LENYE HESHIMA YA KITUME HASA NA HILI NDILO KANISA LA MUNGU
Umeongea point kubwa sana hata mmi na sali Lutheran ila kuhusu taratibu za ibada wapo mbali nyuma hko kulinganisha na ROMAN ..... alafu ni kama chama cha siasa
 
Muislam akishakuwa mpigaji huyo ni kafiri. Kumbuka hilo.

Mfumo wa kanisa na msikiti ni vitu viwili tofauti.

Kwanza uongozi unaouonamsikitini ni takwa la kulazimishwa na serikali tu, siyo mfumo wa Kiislam.

Kiislam yeyote ni imam, kigezo cha kwanza elimu yake, cha pili umri wake (hekima) ili kuongoza wengine.

Hakuna sijuwi mwenyekiti, katibu, mweka hazina, (hayo ni matakwa yanayolazimishwa na serikali kwa ajili ya kulinda usalama lakini siyo matakwa ya Uislam, ndiyo maana unayakuta msikitini. Utakuta hao waliochaguwana hawana hata ujuzi wa Uislam.

Nimekuelewa vizuri tuu kwamba kanisa katoliki linaanda watumishi wake vizuri kimfumo lakini katika uislam ni ujanja ujanja hakuna sehemu shekhe anaandaliwa zaidi ya kusoma madrasa ukijua msaafu vizuri una kuwa shekhe au usitadhi, basi sawa ndio maana hata wewe mwenyewe huwezi jenga hoja, sababu mpo kijanja janja. Kiufupi uisilam ni uchumia tumbo. Hamna cha kusimamia.
 
Msahafu upi unaouongelea?
 
Hakuna kitu sikiamini kama kusema Mungu atachoma moto watu kwa sbabu ya dini zao. Labda moto kwa sababu ya matendo hilo nitaafiki.

Dini zote uislam kwa ukristo zina mambo ya hovyo na mazuri.
 
Allah angeanza kumchoma mudi kwa kubaka mtoto wa miaka 9.
 
Lazima laana iwafuate maana hata martini alisepa kwakua aliona hapati mgao wa maokoto. Kinachowatoa wengi kwenda kuanzisha makanisa ni pesa kama alivyofanya martini
Hapa nitakushangaa sana, Martin ndio alileta ukombozi ambao umeamsha dunia yote kwenye upande wa injili kuanzia vitu alivyopinga ambavyo vilikuwa vikifanywa na kanisa na baada yake kanisa liliviacha, Biblia ilifanywa siri ni special kwa viongozi wa dini pekee, ila baada yake ikaachiliwa kwa wote kuisoma na kuitafsiri kadri watakavyojaaliwa
 
Ninajua. Kwa baadhi ya hoja zake ni kweli zilikuwa zinafikirisha lakini utaratibu aliotumia ndio uliokuwa na changamoto. Ni kama alivyofanya Feisal Salum
Alitumia utaratibu gani wakati alikuwa anauawa yeye na Mkewe?

Katika zile sababu 95 alizoandika katika barua unafikiri ni ipi haikuwa ya muhimu mpk useme baadhi ya hoja ndizo zilifikirisha?
 
UMENENA KWELI TU,MM NI KKKT,MFUMO UMEBADILIKA MNO (KIIBADA) KWA MIAKA MINGI,TOKA AWAMU YA KWANZA YA MALASUSA, NA KUJIGEUZA KAMA MAPANGO YA WAFANYABIASHARA NA MENGI TU YA HOVYO, NAO WAMEIGA IBADA ZA VIGANGO AMBAVYO HUWA VINAUA NGUVU YA KUJUMUIKA JUMAPILI, "UONGOZI ULIOPO UTENGENEZE PRINCIPLE FORMAT ZA IBADA.(stable preaching format)
Kukosekana kwa misimamo na mafundisho ya kweli,hasa juu ya manabii waliotamkwa ambao watakuja (ambao tayari wameshafika) ndio shida.
-Mwanadamu mwenye shida huwa na upofu,haoni tena, hutafuta pa kuponea,ndipo hudakwa na manabii,kanisa lingesimama katika kuiona jamii yenye shida,manabii wasingepata wa kuwavua.
Unapotumia herufi kubwa kwenye uandishi wako,unadhani ndiyo watu wataona hoja Yako Ina nguvu au?
 
Mwanzo nilijua hili kanisa la kkkt ni level moja na Katoliki lakini kumbe ni KICHUGUU NA KILIMANJARO. Sasahivi nimekuwa mtu mzima ndio najua Kanisa Katoliki halistahili kufananishwa na makanisa mengine, yaani Katoliki ni kanisa la kipekee sana na MISINGI YAKE ILIWEKWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA YESU NA YESU NDIYE ALIYETOA TAMKO LA KWAMBA KTK MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA, NA HAKIKA NDILO HILI SASA.

Tofauti na LUTHERAN AMBALO MISINGI YAKE IMEWEKWA NA MARTIN LUTHER AMBAYE ALITOKA KATOLIKI BAADA YA KUANZISHA MGOGORO. NA LAANA HIYO IMEENDELEA KULITESA KANISA LA LUTHERAN ambapo watu wamekuwa wakijiondokea kwenda kuanzisha makanisa mapya, makanisa mengi tunayoyaona mitaani yenye majina ya kilokole waanzilishi wake ni wale waliokimbia LUTHERAN. Na wengi wanaoondoka kwenda kuanzisha makanisa wengi NI WA BINAFSI NA NI KWA AJILI YAO NA SIO KWA AJILI YA KAZI YA INJILI.

Katoliki hakuna mwenye jina kubwa kuliko Kanisa, ila LUTHERAN mchungaji anaweza kuwa mkubwa kuliko Kanisa, mfano Eliaona Kimaro wa K/nyama na Matsai wa Kimara.
Katoliki hakuna maandamano au shinikizo la waumini , lakini LUTHERAN Mchungaji anaweza ku influence waumini waandamane kupinga Maelekezo na Maamuzi ya juu ya taasisi hiyo, NAKUMBUKA KANISA LA ELIAONA KIMARO.
Utaratibu wa kuendesha ibada ndani ya kanisa Katoliki umeendelea kudumishwa karne na karne TOFAUTI NA LUTHERAN AMBAPO KUNA MUDA UKIINGIA UNASHINDWA KUJUA HAPA NI LUTHERAN AU NI KWA MWAMPOSA MAANA NI KURUKARUKA KWA KELELE KAMA DISCO, WAENDESHA IBADA NI KUONGEA KWA MAGUVU NA MAKELELE YAANI KAMA WANAVYOFANYA WAHUBIRI WA KILOKOLE. UKUTE SASA WANAKEMEA MAPEPO.

KIMSINGI NDANI YA IBADA KATIKA MAKANISA YA KKKT HUWA HAKUNA UTULIVU , USTAARABU NA UNYENYEKEVU KAMA ILIVYOKUWA MIAKA YA 1980 ( japo ukienda ujerumani makanisa yao yaliendelea ku maintain litujia ya kanisa) ila hapa kwetu ni vurugu tu.

MWISHO SIKUWAHI KUJUA KAMA MKUU WA KKKT ANAWEZA KUMALIZA MUDA WAKE HALAFU BAADA YA MIAKA KADHAA AKAGOMBEA TENA KITI HICHO. NIMEIONA HII JUZI BAADA YA KUSIKIA ASKOFU MALASUSA AMECHAGULIWA TENA.
Kwa kweli hii inaondoa hadhi ya Kanisa yaani utafikiri chama cha siasa.

Japo mimi ni Mlutheri/KKKT lakini hakika KANISA KATOLIKI NI KANISA SAHIHI NA LITABAKI KUWA NI KANISA LENYE HESHIMA YA KITUME HASA NA HILI NDILO KANISA LA MUNGU
Kanisa ni Moja takatifu katoliki la mitume
 
Hata Lowasa akisoma hii atakubaliana na wewe.Maana katika maandalizi ya kuwania urais mwaka 2015 alikuwa amekamata Taasisi zote muhimu isipokuwa Kanisa la Katoliki.Kila akijaribu kupenya akatoe mzigo wa maana kama mchango alishindwa.Hata alipojaribu kumtumia mke wake ambaye ni mkatoliki aligonga Mwamba.
Nakataa! Hakuna anaujua u-solid wa kanisa katoliki kama Samia hahaha. Wamemchapa waraka haijulikani umeanzia wapi na unaishia wapi wala nani wa kumfunga kengele
 
Sio la kweli ila imani iliyoundwa na wasomi wa hali ya juu.
Hii comendi imenichekesha sana na nimeipenda japo sio ya kweli! Ila nilichopenda ni pale ambapo kila comendi pamoja na hii zote zinakubali Roma noma!
 
Back
Top Bottom