Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Wana matizo uao lukuki, tena makubwa na mazito sana, mengine ni majanga, wanaharibu watoto huko mpaka Umoja wa Mataifa umepiga kelele, msikilize aliyekuwa Rais wa Ufilipino anasema nini. Tazama link:

alshabab , adf , boko haram etc hawaaribu watoto?
 
Uislam pekee.

Hakuna mfumo kama wa kanisa kwenye Uislam. Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi Mungu. Kila kitu ni wewe na Muumba wako tu.
uislam unalea ujinga wa asili , ndio maana popote waislam wakizid ugaid unashamiri mf Central Africa , Drc , Mozambique , Kenya , Somalia , uganda etc
 
Kwanza nakushauri isome Qur'an, majibu yote ambayo huyapati kwneye biblia au kanisanai yanajibiwa na Qur'an: Qur'ani Tukufu

Cha pili, ingia msikiti wowote utaposikia aadhana ufate Waislam wanavyosali, utaiona tofauti na raha yake. Wewe mfate imam, hata kama hujuwi kwa mwanzo mwanzo, inama na inuka nao tu. Ustaiona raha yake na utajiuliza niloikuwa wapi siku zote.

Uislam ni mwema sana. Hakuna longolongo. Fata Uislam usifate Waislam, wapo wengine ni Waislam jina tu.
nan anataka kuwa gaidi
 
Mleta mada hujui historia, na umechanganya mambo.
Ngoja upate elimu kidogo.

1. Petro hakuanzisha Kanisa Katoliki. Petro alizaliwa Israeli, akaishi Israeli, akahubiri Israel na mwisho akauwawa Israel, tena akiuwawa na utawala wa kikoloni wa kirumi (Roma). Kanisa Katoliki (Roma) lilianzishwa karne kadhaa baada ya Petro kufa, na lilianzishwa huko Roma. Yote kwa yote, Biblia inasema Petro alikuwa na mke na familia!

2. Yesu aliposema atalijenga kanisa lake juu ya mwamba huu, hakumaanisha atajenga jengo la kanisa juu ya Kabuli la Petro, bali atajenga imani ya ufuasi juu ya kile ambacho Petro alikisema saa ile (Petro alisema, wewe Yesu ndio kristo (akimaanisha Yesu ndio alipakwa mafuta (aliyeandaliwa rasmi kutoka mbinguni) kuja kuwaokoa watu na dhambi zao)

3. Kanisa Katoliki la sasa kimuundo, kimwenendo na kimsimamo sio sawa na katoliki lililokuwepo zama zingine zote za nyuma. (Kuna vitu vingi vipya (vizuri au vibaya) vipo sasa tofauti na hapo kale.)

4. Kanisa Katoliki halifanani kila kitu dunia nzima. Ndio maana usishangae kuna mapadri huko Brazil wanaruhusiwa kuoa, huko Marekani kuna majimbo ya kanisa Katoliki yanatambua ushoga na kubariki ndoa za jinsia moja nk). Hivyo usikariri sana.

5. Mifumo mingine ya ndani ya siri ya kanisa katoliki sio safi au kuishabikia kidini, ni mifumo ya kisiasa na umafia ndani yake. Hivyo utazame ukatoliki kiimani na kisiasa pia.
hoja ya 5 mifumo gan inazid mifumo ya kulea magaidi misikitin wanajifanya hawana pa kulala
 
Huo ni ubishani wa kijinga tu. Shekhe siyo Uislam, kama unamfata Shekhe unaufananisha Uislam na Ukristo. Hilo ni kosa.

Uislam ni dini ya kila mtu siyo ya "Shekhe". Shekhe unaesema kalawiti watoto huyo ndiyo ukisikia "kafiri" katika Uislam.
ila padre ni ukristu ? ww ni ng'ombeee
 
Hapa ndiyo utaiona neema ya Uislam, hakuna kura katika Uislam, siku ukikuta Waislam wanapiga kura wapate kiongozi elewa kuwa hao siyo Waislam na hawafati mafundisho ya Uislam.
na ndio maana mnawapata hawa wehu wanaounga mkono mkataba wa bandari kisa mikataba ya huko nyuma haikuungwa mkono , na wanaamin wanamkomoa mtu hapa nchini , kumbe wanaichezea hatima yao , ng'ombeeee nyny
 
MAMBO YA IMANI NI HATARI SANA. Huwa naangalia madhehebu ya wakristo hata wasio wakristo. 1. Kujiona uko sahihi kuliko wote na kuwahurumia wasiokuwa wa dini yako na kuona wamepotea kabisa. 2. Kutamani watu wa imani nyingine wajiunge nawe kama wao pia wanavyotamani ujiunge nao na kuachana na dini au dhehebu flani. 3. Kuona mapungufu ya dini au dhehebu flani kama na wao wanavyoona mapungufu kwako. Mfano. Mleta mada ameona upungufu kkkt. Kkkt anaona mapungufu kwa rc kama kunywa pombe na sala zinazoelekezwa kwa watakatifu kama maria nk. Sasa ktk mambo yote, HAKIKA YESU KRISTO NI BWANA NA ANAOKOA TUKIMWAMINI.
 
Unajuwa tatizo lako unafikiri Waislam wana mfumo wa kikanisa, ukisikia Shehe kwenye Uislam usifikiri labda kuna chombo kinamfanya awe shekhe, pengine umekuta jitu limevaa kanzo lina ndevu na kobazi ukaliona la maana kumbe jambazi. Mfumo wa Kiislam ni tofauti kabisa.

Kanisa kwa upande mwingine linaongozwa kiutawala kutokea Vatikano huko, huwezi kuwa padre au askofu wa kanisa katoliki kama hujaidhinishwa na vatikano, sasa waone hao vatikano wanaoidhinisha, zaidi ya 90% ni mashoga na wanatuhuma nzito nzito za kuahribu watoto dunia nzima.

Uislam ni wewe na Muumba wako tu, hakuna longolongo za baba wala 'Shekhe".

Upo hapo ulipo?
kwa maelezo yako ni kuwa waislam hawana utaratibu mzuri wa kupata viongoz ndio maana mnapata wengine majambaz , hivyo dini yenu ina mapunguf mengi tu
 
Tofauti ni kuwa Ukatoliki padri au askofu ni lazima aidhinishwe na Vatikano, huko Vatikano zaidi ya 90% ni mashoga, kwa ushahidi kabisa.

Uislam hauna kabisa mfumo wa kuidhinishana, hata wewe unaweza kuingia Uislam leo, ukijiweka kiheshima utaittwa shekhe, utasali na kusalisha wengine, hakuna longolomgo. Ukiharibu ni wewe, unaubeba msalaba wako, hakuna mlolongo. Ukitengeneza ni wewe umejitengenezea mwenyewe sifa njema.

Uislam ni mwema sana.
ndio maana masheikh wenu ni wehu , hawajui kusoma na kuandika
 
Wewe kwanza unatakiwa nini maana ya neno "dini" siyo chanzo.

Sasa utanifundisha mimi Muislam wakati neno "dini" ni la Kiarabu? Fikiri.

Soma Uislam kijana, Uislam ni dini yako, hujielewi tu.
likiwa la kiarabu maana yake dini ni uislam ? kwamba hujui wapo waarabu wakristu?
 
Tatizo Kuu la haya makanisa ni mfumo wa Uongozi, namna ya kupata Viongozi. Kanisa Katoliki lina mapungufu yake mengi lkn mfumo wao wa Uongozi na namna ya kupata Viongozi uko vizuri mno.
 
Mbona umeandika upumbavu.. pumb*u za babu yako ww
Kwa povu hili utakuwa ni mmoja wa viongozi wa dayosisi fulani. Au wewe ni Pastor Hanandi yule aliyekosana na kanisa lake la kkkt
 
MIMI NIMEKUGUNDUA HAKUNA KANISA AMBALO NI SAHIHI KULIKO KANISA LINGINE YESU ALILETA INJILI HAKULETA UTITIRI WA MADHEHEBU HEBU SOMA CHINI NITATAFSIRI KISWAHILI BAADAE.

Philippine president renews attack on Catholic church

MANILA (Reuters) - President Rodrigo Duterte on Thursday denounced bishops in the Catholic-majority country as “sons of bitches”, renewing his attacks on the church that has criticized him over his bloody war on drugs.

Duterte, who launched his campaign against drugs when he took office in mid-2016, remains hugely popular but doubts about the campaign, in which thousands of people have been killed, have been growing.

“Only I can say bishops are sons of bitches, damn you. That is true,” Duterte said in a speech during a groundbreaking ceremony for a school north of the capital, Manila.

Duterte did not mention any particular reason for his criticism of the church on Thursday, which included a suggestion that most bishops are homosexual.

“Most of them are gay,” he said. “They should come out in the open, cancel celibacy and allow them to have boyfriends.”

Duterte, who is not a regular church-goer, said early in his presidency that he was sexually abused by a priest when he was a boy.

The Roman Catholic Church is facing clerical sexual abuse scandals in various parts of the world, although there have been no major cases in the Philippines.

In previous speeches, Duterte called God “stupid” and described as “silly” the doctrine of Holy Trinity.

Francis Lucas, an official with the Catholic Bishops’ Conference of the Philippines, called for sensitivity.

“We have to be more sensitive to the sensitivities and sensibilities of others out of respect,” Lucas told Reuters.

The president’s crackdown on drugs retains much support but some sectors of the church have become increasingly vocal about the killings, with calls for justice and offers of sanctuary to drug users.

Some 5,000 people have been killed in police anti-drugs operations in Duterte’s anti-drug drive.

Police reject accusations that the killings were executions, saying drug peddlers and users were killed in shootouts, and police acted in self-defense.

About 80 percent of the more than 100 million people of the Philippines are Roman Catholic.

TAFSIRI FUPI SANA
RAISI WA UFILIPINO AZIDISHA MASHAMBULIZI YAKE DHIDI YA KANISA KATOLIKI

MANILA-Raisi Rodrigo Duterte siku ya alihamisi amewapa za uso maaskofu wa kanisa katoliki-Na kuwaita kuwa wengi wao ni ma mbwa mwitu.Akizidi kushindilia mashambulizi yake amelipinga kanisa katoliki kwa kitendo chao cha kumpinga katika vita yake dhidi ya madawa ya kulevya

Durtere ambaye alianza kampeni yake dhidi ya madawa ya kulevya alichukua madaraka katikati mwa mwaka 2016

''Ninachoweza tu kukisema tu nyinyi ma askofu ni ma mbwa mwitu mlaaniwe huo ndio ukweli''

Durtete hakusema chochote sababu ya kuwashambulia makuhani hao siku ya alhamisi na akaendelea kusema kuwa makasisi wengi ni wa mapenzi ya jinsia moja

''Wengi wao wanafanya mapenzi ya jinsia moja'' alisema.''Kama ni hivyo basi wangejitokeza na kupiga vita useja na kila mmoja ajitokeze hadharani awe na mpenzi wake mwingine wa jinsia tofauti aoe au aolewe''

Duterte ambaye ni mkatoliki sio muumini wa kwenda kanisani mara kwa mara alishawahi sema mapema alipopata uraisi kuwa ameshawahi kunyanyaswa kingono na kuhani alipokuwa kijana mdogo.

Asilimia 80 ya watu zaidi ya millioni 100 wa nchi ya ufilipino ni wakatoliki

Copy and paste Faiza Foxy tafsiri ya kiswahili ni yangu ahsante Faiza Foxy
 

Attachments

  • philipines president.PNG
    philipines president.PNG
    141.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom