Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Uislam pekee.

Hakuna mfumo kama wa kanisa kwenye Uislam. Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi Mungu. Kila kitu ni wewe na Muumba wako tu.
Uislam ni dini,ila haitoki mbinguni.Inatoka kwenye za makuresh
 
Kanisa lenye kashfa ya ulawiti VS kanisa la wapenda maokoto. Hii mbungi ni kali. Nimeagiza popcorn za 3b ili niwe nasoma comments.
 
Umeongea point kubwa sana hata mmi na sali Lutheran ila kuhusu taratibu za ibada wapo mbali nyuma hko kulinganisha na ROMAN ..... alafu ni kama chama cha siasa
 

Nimekuelewa vizuri tuu kwamba kanisa katoliki linaanda watumishi wake vizuri kimfumo lakini katika uislam ni ujanja ujanja hakuna sehemu shekhe anaandaliwa zaidi ya kusoma madrasa ukijua msaafu vizuri una kuwa shekhe au usitadhi, basi sawa ndio maana hata wewe mwenyewe huwezi jenga hoja, sababu mpo kijanja janja. Kiufupi uisilam ni uchumia tumbo. Hamna cha kusimamia.
 
Msahafu upi unaouongelea?
 
Hakuna kitu sikiamini kama kusema Mungu atachoma moto watu kwa sbabu ya dini zao. Labda moto kwa sababu ya matendo hilo nitaafiki.

Dini zote uislam kwa ukristo zina mambo ya hovyo na mazuri.
 
Hakuna kitu sikiamini kama kusema Mungu atachoma moto watu kwa sbabu ya dini zao. Labda moto kwa sababu ya matendo hilo nitaafiki.

Dini zote uislam kwa ukristo zina mambo ya hovyo na mazuri.
Allah angeanza kumchoma mudi kwa kubaka mtoto wa miaka 9.
 
Lazima laana iwafuate maana hata martini alisepa kwakua aliona hapati mgao wa maokoto. Kinachowatoa wengi kwenda kuanzisha makanisa ni pesa kama alivyofanya martini
Hapa nitakushangaa sana, Martin ndio alileta ukombozi ambao umeamsha dunia yote kwenye upande wa injili kuanzia vitu alivyopinga ambavyo vilikuwa vikifanywa na kanisa na baada yake kanisa liliviacha, Biblia ilifanywa siri ni special kwa viongozi wa dini pekee, ila baada yake ikaachiliwa kwa wote kuisoma na kuitafsiri kadri watakavyojaaliwa
 
Ninajua. Kwa baadhi ya hoja zake ni kweli zilikuwa zinafikirisha lakini utaratibu aliotumia ndio uliokuwa na changamoto. Ni kama alivyofanya Feisal Salum
Alitumia utaratibu gani wakati alikuwa anauawa yeye na Mkewe?

Katika zile sababu 95 alizoandika katika barua unafikiri ni ipi haikuwa ya muhimu mpk useme baadhi ya hoja ndizo zilifikirisha?
 
Unapotumia herufi kubwa kwenye uandishi wako,unadhani ndiyo watu wataona hoja Yako Ina nguvu au?
 
Kanisa ni Moja takatifu katoliki la mitume
 
Nakataa! Hakuna anaujua u-solid wa kanisa katoliki kama Samia hahaha. Wamemchapa waraka haijulikani umeanzia wapi na unaishia wapi wala nani wa kumfunga kengele
 
Sio la kweli ila imani iliyoundwa na wasomi wa hali ya juu.
Hii comendi imenichekesha sana na nimeipenda japo sio ya kweli! Ila nilichopenda ni pale ambapo kila comendi pamoja na hii zote zinakubali Roma noma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…