Hahahahaha...Wewe kwanza unatakiwa nini maana ya neno "dini" siyo chanzo.
Sasa utanifundisha mimi Muislam wakati neno "dini" ni la Kiarabu? Fikiri.
Soma Uislam kijana, Uislam ni dini yako, hujielewi tu.
FaizaFoxy DINI NI NINI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha...Wewe kwanza unatakiwa nini maana ya neno "dini" siyo chanzo.
Sasa utanifundisha mimi Muislam wakati neno "dini" ni la Kiarabu? Fikiri.
Soma Uislam kijana, Uislam ni dini yako, hujielewi tu.
Kweli kabisa. Tutafute validation Ili iweje?Mabingwa wa kuufananisha uislam na ukristo ni waislam wenyewe....kwa sababu Uislam bila Ukristo haujakamilika.
Ndio maana utakuta muislam anamfananisha Isa na Yesu... na anazimisha Isa awe Yesu.. Utakuta Muislam anasema Mohamad ametabiriwa kwenye Biblia.
Lakini huwezi kukuta Mkristo anatafuta validation yoyote ya imani yake ya Kikristo kwa Uislam.
Muislam akishakuwa mpigaji huyo ni kafiri. Kumbuka hilo.Hamna cha kanisa lolote wala msikiti... Wote ni wapigaji tu.
wakoloni walituzidi maarifa...kutaka na hawa,,alafu ukakutane na wale wa makanzu na tende......unajiuliza Africa dini zetu tumemwachia nani???Dini tumeletewa
Dini ya kulazimishwa na uuaji mtu unakuta hana uhuru.Uislam pekee.
Hakuna mfumo kama wa kanisa kwenye Uislam. Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi Mungu. Kila kitu ni wewe na Muumba wako tu.
we nawe kumbe bado sana, papa anapatikanaje?Sio uislam tu hata katoliki hakuna kura!
Kwann umenijibu Kwa hasira hivi? Au nimepiga Ikulu?Huo siyo ubishi wa kutaka kuelewa, huo ni ubishani wa kutaka kuhalalisha dhambi na ujinga.
Huyo mwenye wake wanne halafu "ana michepuko", kwanza huoni kuwa uwezekano huo ni mdogo sana? Umeuleta kiubishi tu? Ikiwa imetokea hivyo, wewe kwa ubinadamu wako tu unamuweka mtu huyo kundi lipi? Sasa uliza kwenye Uislam huyo hukumu yake ni ipi? usikurupuke tu.
Fananisha huyo aliyeruhusiwa kuoana mpaka na wake wanne kwa wakatai mmoja halafu yule asiyeuhusiwa hata kuwa na me mmoja akuongoze, kwani huelewi anfanya nini yule? DSoma vatikanoi wangapi ni mashoga huko, utaelewa.
Muulize Slaa kwanini walimtowa upadri?
Ndugu yangu kanisa katoliki wamelawiti watoto dunia nzima, mpaka Umoja wa Mataifa wamepiga kelele, unalielewa hilo? Au unalificha ficha mawazoni?
Utafananisha huyo na msjenzi mmoja anaejidai "shehe" kwa kuvaa kanzu na kwenda msikitini? hapana, hakuna mfumo huo katika Uislam.
Tumeletewa ndiyo lakini kwa kiasi zinaifanya hata dunia yetu iwe tulivu kwa mafunzo tunayojifunza.Dini tumeletewa
Hakuna kanisa la kweli Duniani!!Mwanzo nilijua hili kabisa la kkkt ni level moja na Katoliki lakini kumbe ni KICHUGUU NA KILIMANJARO. Sasahivi nimekuwa mtu mzima ndio najua Kanisa Katoliki halistahili kufananishwa na makanisa mengine, yaani Katoliki ni kanisa la kipekee sana na MISINGI YAKE ILIWEKWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA YESU NA YESU NDIYE ALIYETOA TAMKO LA KWAMBA KTK MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA, NA HAKIKA NDILO HILI SASA.
Tofauti na LUTHERAN AMBALO MISINGI YAKE IMEWEKWA NA MARTIN LUTHER AMBAYE ALITOKA KATOLIKI BAADA YA KUANZISHA MGOGORO. NA LAANA HIYO IMEENDELEA KULITESA KANISA LA LUTHERAN ambapo watu wwmekuwa wakijiondokea kwenda kuanzisha maganisa mapya, makanisa mengi tunayoyaona mitaani yenye majina ya kilokole waanzilishi wake ni wale waliokimbia LUTHERAN. Na wengi wanaoondoka kwenda kuanzisha makanisa wengi NI WA BINAFSI NA NI KWA AJILI YAO NA SIO KWA AJILI YA KAZI YA INJILI.
Katoliki hakuna mwenye jina kubwa kuliko Kanisa, ila LUTHERAN mchungaji anaweza kuwa mkubwa kuliko Kanisa, mfano Eliaona Kimaro wa K/nyama na Matsai wa Kimara.
Katoliki hakuna maandamano au shinikizo la waumini , lakini LUTHERAN Mchungaji anaweza ku influence waumini waandamane kupinga Maelekezo na Maamuzi ya juu ya taasisi hiyo, NAKUMBUKA KANISA LA ELIAONA KIMARO.
Utaratibu wa kuendesha ibada ndani ya kanisa Katoliki umeendelea kudumishwa karne na karne TOFAUTI NA LUTHERAN AMBAPO KUNA MUDA UKIINGIA UNASHINDWA KUJUA HAPA NI LUTHERAN AU NI KWA MWAMPOSA MAANA NI KURUKARUKA KWA KELELE KAMA DISCO, WAENDESHA IBADA NI KUONGEA KWA MAGUVU NA MAKELELE YAANI KAMA WANAVYOFANYA WAHUBIRI WA KILOKOLE. UKUTE SASA WANAKEMEA MAPEPO.
KIMSINGI NDANI YA IBADA KATIKA MAKANISA YA KKKT HUWA HAKUNA UTULIVU , USTAARABU NA UNYENYEKEVU KAMA ILIVYOKUWA MIAKA YA 1980 ( japo ukienda ujerumani makanisa yao yaliendelea ku maintain lie tujiandae ya kanisa) ila hapa kwetu ni vurugu tu.
MWISHO SIKUWAHI KUJUA KAMA MKUU WA KKKT ANAWEZA KUMALIZA MUDA WAKE HALAFU BAADA YA MIAKA KADHAA AKAGOMBEA TENA KITI HICHO. NIMEIONA HII JUZI BAADA YA KUSIKIA ASKOFU MALASUSA AMECHAGULIWA TENA.
Kwa kweli hii inaondoa hadhi ya Kanisa yaani utafikiri chama cha siasa.
Japo mimi ni Mlutheri/KKKT lakini hakika KANISA KATOLIKI NI KANISA SAHIHI NA LITABAKI KUWA NI KANISA LENYE HESHIMA YA KITUME HASA NA HILI NDILO KANISA LA MUNGU
Litateteleka wakiruhusu tu mapadre kuoaNilisoma andiko moja la Ellen G white alisema kanisa katoliki limejengwa katika misingi imara halitakaa litetereke mpaka mwisho wa dunia.kuna muda itafika utatokea mpasuko ndani ya sabato na wengi watajitenga halafu haya madhehebu mengine yatasambaratika kabla ya mwisho wa dunia!!!
Ukiangalia kwa jicho la tatu andiko lake kama lina ka ukweli hivi,kanisa katoliki linapingwa vikali na madhehebu kibao lakini halijawahi kutetereka miaka na miaka!!
Usiniletee Tafsiri za Msikitini. Niletee TAFSIRI YA KAMUSI.Dīn (Kiarabu: دين, romanized: Dīn, pia anglicized kama Deen) ni neno la Kiarabu lenye hisia tatu za jumla: hukumu, desturi, na dini. [1] Inatumiwa na Waislamu na Wakristo wa Kiarabu.
Katika istilahi ya Kiislamu, neno linamaanisha njia ya maisha ambayo Waislamu lazima wachukue ili kufuata sheria ya Mungu, inayojumuisha imani, tabia na matendo. [2] Neno hili linaonekana katika Quran mara 98 na maelezo tofauti, ikiwa ni pamoja na katika maneno yawm al-din (Kiarabu: يوم الدين), kwa ujumla kutafsiriwa kwa "Siku ya Hukumu" au aya maarufu "La ikraha fid din" ambayo inatafsiri "Acha kusiwe na kulazimishwa katika dini." (Tafsiri ya Abdullah Yusuf Ali).
Huyo mama ni wazimu huwa ana kawaida ya kubishana ujinga akitumia mwamvuli wa dini yake asijue humo ndiyo hakuna kitu kabisa.Mashekhe wanavyowala watoto? Huko madrasa? Mfano juzi shekhe zuberi kapigwa miaka 30 jumlisha kifungo cha maisha....halafu michezo ya kulawiti ipo kwenu sana waislamu na watu wa pwani sio siri..
....
mapapa wana michepuko/vimada toka enzi hzo, baba yake cesar borgia alikuwa nani?Roman Catholic msingi wake umewekwa na Yesu Kristo kupitia Mtume Petro pale Vatican hayo mengine msingi wake uwekwa na mmiliki wake.
Ndo maana katoliki linaitwa church na hayo mengine yenye wachungaji walioa uitwa churches.
Mashekh si ndio wanaongoza kuharibu watoto wetu huko madrasa lkn.Wana matizo uao lukuki, tena makubwa na mazito sana, mengine ni majanga, wanaharibu watoto huko mpaka Umoja wa Mataifa umepiga kelele, msikilize aliyekuwa Rais wa Ufilipino anasema nini. Tazama link:
![]()
Corrected: Philippine president renews attack on Catholic church
President Rodrigo Duterte on Thursday denounced bishops in the Catholic-majority country as "sons of bitches", renewing his attacks on the church that has criticised him over his bloody war on drugs.www.reuters.com