Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Huyo mama ni wazimu huwa ana kawaida ya kubishana ujinga akitumia mwamvuli wa dini yake asijue humo ndiyo hakuna kitu kabisa.

Hii issue ya ulawiti kwa mtu timamu anaekubali ukweli wala haina haja ya ku-mention kikundi cha watu,hilo ni tatizo hata atheist wanalo.
Atheist tena unachanganya mambo kijana, atheist hawaamini uwepo wa mwenyenzi Mungu, unaweza usiwe na dini ila ukaamini uwepo wa mwenyenzi Mungu na ukawa na dini ila husiamini uwepo wa mwenyenzi Mungu
 
Usiniletee Tafsiri za Msikitini. Niletee TAFSIRI YA KAMUSI.

Kamusi/Dictionary ndio ina tafsiri ya maneno. Siyo hizo links za msikitini unazocopy.

DINI/ RELIGION ni Nini kwa mujibu wa Dictionary?

WHAT IS RELIGION?
Hiyo ni kamusi huru wikipedia.

Si na wewe tafuta kwenye mtandao, usingoje kila kufanyiwa, utalishwa matango pori.
 
KKKT litrujia yao imevurugika kwenye makanisa mengi! Ulokole umewavaa hadi unajiuliza wachungaji wao bado wanasoma falsafa na theology kama zamani?

Mahubiri ya kisasa ndio yametawala na injili ya toba imejifia zamani. Bila kuhubiri kwa makelele, kukemea mapepo, kutabiri n.k ni kama sio ibada.

Siku hizi yupo Yesu mpya anahubiriwa ambaye hana sifa, character wala msimamo ule tunaosimuliwa na wainjili Mathayo, Luka, Yohana na Marko.
 
Unajizima data makusudi kwa sababu kuna kitu unakikwepa.
Nani kakuambia ulete tafsiti ya Wikipedia? Wikipedia hata mimi nina access ya kuandika. Mimi ninataka uweke hapa TAFSIRI YA KAMUSI/DICTIONARY.

Narudia tena. Weka hapa TAFSIRI YA DICTIONARY ya neno Dini.
 
Mashekh si ndio wanaongoza kuharibu watoto wetu huko madrasa lkn.
Jiulize kijiji kimoja kina madrasa ngapi!? Kila madras moja kuna watoto wawili mpaka watatu wanafanyiwa ukatili huo. Ukimaliza hapo piga hesabu kwa kata wanafanyiwa watoto wangapi
Hayo ni mawazo yako yasiyo na ushahidi. Jisomee hapa, uone Umoja wa Mataifa unalilalamikia kanisa katoliki linavyoharibu watoto dunia nzima, na wakuu wake huko vatikano wamekaa kimya:

Tafsiri kwa msaada wa google.
CNN —
Katika ripoti isiyo ya kawaida, kamati ya Umoja wa Mataifa ilishutumu jinsi Vatican inavyoshughulikia unyanyasaji wa kingono kwa watoto ndani ya Kanisa Katoliki na kulishutumu kanisa hilo kwa kujilinda badala ya waathirika.

Vatican inapaswa kuanzisha "mfumo huru wa kufuatilia haki za watoto" kuchunguza malalamiko na kufanya kazi na utekelezaji wa sheria, kwa mujibu wa ripoti hiyo, iliyotolewa Jumatano.

Inatoa wito kwa kanisa kuondoa mara moja wanyanyasaji wote wanaojulikana au wanaoshukiwa kutoka kwa safu zake.

Soma zaidi: https://edition.cnn.com/2014/02/05/world/europe/un-vatican-report/index.html
 
Unajizima data makusudi kwa sababu kuna kitu unakikwepa.
Nani kakuambia ulete tafsiti ya Wikipedia? Wikipedia hata mimi nina access ya kuandika. Mimi ninataka uweke hapa TAFSIRI YA KAMUSI/DICTIONARY.

Narudia tena. Weka hapa TAFSIRI YA DICTIONARY ya neno Dini.
Wewe kama huwezi kutafuta kwenye mtandao, sifanyi kazi hiyo mimi.

Punguani wahed.
 
Wana matizo uao lukuki, tena makubwa na mazito sana, mengine ni majanga, wanaharibu watoto huko mpaka Umoja wa Mataifa umepiga kelele, msikilize aliyekuwa Rais wa Ufilipino anasema nini. Tazama link:

Wewe jamaa katika vita ambayo kamwe hutokuja uishinde hapa duniani, basi ni hii ya kupambana na Kanisa Katoliki.
 
Wewe kama huwezi kutafuta kwenye mtandao, sifanyi kazi hiyo mimi.

Punguani wahed.
Lakini Umepata muda wa kutafuta Wikipedia kwenye mtandao(ambayo sikukuuliza).

Kwa nini hutaki Kutafuta hiyo definition ya Neno Dini kwenye mtandao ukaiweka hapa?

KUNA KITU UNAKIKWEPA... hii inaonesha wazi kua una hadaa watu humu.

Kama unajiamini WEKA HAPA DEFINITION YA DINI kutoka kwenye Dictionary.
 
Hayo ni mawazo yako yasiyo na ushahidi. Jisomee hapa, uone Umoja wa Mataifa unalilalamikia kanisa katoliki linavyoharibu watoto dunia nzima, na wakuu wake huko vatikano wamekaa kimya:

Tafsiri kwa msaada wa google.
CNN —
Katika ripoti isiyo ya kawaida, kamati ya Umoja wa Mataifa ilishutumu jinsi Vatican inavyoshughulikia unyanyasaji wa kingono kwa watoto ndani ya Kanisa Katoliki na kulishutumu kanisa hilo kwa kujilinda badala ya waathirika.

Vatican inapaswa kuanzisha "mfumo huru wa kufuatilia haki za watoto" kuchunguza malalamiko na kufanya kazi na utekelezaji wa sheria, kwa mujibu wa ripoti hiyo, iliyotolewa Jumatano.

Inatoa wito kwa kanisa kuondoa mara moja wanyanyasaji wote wanaojulikana au wanaoshukiwa kutoka kwa safu zake.

Soma zaidi: https://edition.cnn.com/2014/02/05/world/europe/un-vatican-report/index.html
Walimu wa madrasa wanafungwa kwa ulawiti kote nchini, halafu unaleta porojo zako hapa"eti hayo ni mawazo yako....."

Au umeamua kujitoa ufahamu? Zanzibar yenye asilimia zaidi 90 ya waislam, imeoza kwa vitendo vya ushoga na ulawiti! Utasema nini? Au wanaofanya hivyo vitendo kule Zanzibar ni Mapadre wa Katoliki?
 
Wewe jamaa katika vita ambayo kamwe hutokuja uishinde hapa duniani, basi ni hii ya kupambana na Kanisa Katoliki.
Sina vita na kanisa katoliki wala na yeyote yule.

Nnachokifanya hapa ni kulingania dini ya kweli, Uislam.

Wewe kama ni mkatoliki, nikuulize, bila kufichaficha, kwenye ukweli tusione haya kuusema wala tusitafune-tafune maneno; unaona sawa kuongozwa na kufundishwa maadili na mashoga? Au na wewe ni walewale?
 
KKKT litrujia yao imevurugika kwenye makanisa mengi! Ulokole umewavaa hadi unajiuliza wachungaji wao bado wanasoma falsafa na theology kama zamani?

Mahubiri ya kisasa ndio yametawala na injili ya toba imejifia zamani. Bila kuhubiri kwa makelele, kukemea mapepo, kutabiri n.k ni kama sio ibada.

Siku hizi yupo Yesu mpya anahubiriwa ambaye hana sifa, character wala msimamo ule tunaosimuliwa na wainjili Mathayo, Luka, Yohana na Marko.
Hata Anglican nako ni vurugu tu. Siku hizi wana High Church na Low Church!
 
Walimu wa madrasa wanafungwa kwa ulawiti kote nchini, halafu unaleta porojo zako hapa"eti hayo ni mawazo yako....."

Au umeamua kujitoa ufahamu? Zanzibar yenye asilimia zaidi 90 ya waislam, imeoza kwa vitendo vya ushoga na ulawiti! Utasema nini? Au wanaofanya hivyo vitendo kule Zanzibar ni Mapadre wa Katoliki?
Tena kila mlawiti na mlawitiwa mtumzima afungwe na hata auliwe kabisa. Hilo tatizola shoga linasambazwa duniani na kanisa katoliki:

Vatican yatoa wito kwa kanisa katoliki kuwapokea mashoga​

Katika mabadiliko makubwa ya sauti, maaskofu wa Kikatoliki walitoa waraka Jumatatu wakisema kuwa mashoga walikuwa na "zawadi na sifa za kutoa" na kuuliza ikiwa Ukatoliki unaweza kukubali mashoga na kutambua mambo mazuri ya wanandoa wa jinsia moja.

Imetolewa kwenye: 14/10/2014 - 07:55Ilibadilishwa: 14/10/2014 - 19:14

Soma zaidi: https://www.france24.com/en/20141014-vatican-tolerance-gays-same-sex-couples
 
"dini" ipo toka dunia imeumbwa, mlioletewa na wazungu ndiyo majanga.

Dini ni moja tu, kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Ndio mlivyodanganywa na muddy, ukiambiwa ulete ushahidi utasema Quran imeandika na ni kinyago mlichokichonga wenyewe

Wahindu ukiwauliza nao watasema uhindu ndio dini pekee ,ukiwauliza watasema amesema Gauttama

Pia ukiwauliza wakristo watajibu biblia imesema

Ukipima utaona hakuna Logic hapo

Nb: kila mtu yupo sahihi kwa imani anayoiamini na sio kwa kujilinganisha na imani nyingine kama wanavyofanya Waislamu na Wasabato
 
Sina vita na kanisa katoliki wala na yeyote yule.

Nnachokifanya hapa ni kulingania dini ya kweli, Uislam.

Wewe kama ni mkatoliki, nikuulize, bila kufichaficha, kwenye ukweli tusione haya kuusema wala tusitafune-tafune maneno; unaona sawa kuongozwa na kufundishwa maadili na mashoga? Au na wewe ni walewale?
Kubishana na mtu mwenye upeo kama huu wa kwako, naona kama ni kujidhalilisha tu.
 
Tena kila mlawiti na mlawitiwa mtumzima afungwe na hata auliwe kabisa. Hilo tatizola shoga linasambazwa duniani na kanisa katoliki:

Vatican yatoa wito kwa kanisa katoliki kuwapokea mashoga​

Katika mabadiliko makubwa ya sauti, maaskofu wa Kikatoliki walitoa waraka Jumatatu wakisema kuwa mashoga walikuwa na "zawadi na sifa za kutoa" na kuuliza ikiwa Ukatoliki unaweza kukubali mashoga na kutambua mambo mazuri ya wanandoa wa jinsia moja.

Imetolewa kwenye: 14/10/2014 - 07:55Ilibadilishwa: 14/10/2014 - 19:14

Soma zaidi: https://www.france24.com/en/20141014-vatican-tolerance-gays-same-sex-couples
Sina muda mchafu wa kusoma huu upuuzi wako wa kuokoteza kwenye mitandao.
 
Haina haja ya kushambuliana kama bado una hasira tafuta namna ya kuzitumia kufanya kazi au kunywa maji mengi Lutheran wana taratibu zao na RC wana taratibu zao ndugu shida ya nini kati yangu mimi na wewe wakati wote wakristo?
 
Hapa ndiyo utaiona neema ya Uislam, hakuna kura katika Uislam, siku ukikuta Waislam wanapiga kura wapate kiongozi elewa kuwa hao siyo Waislam na hawafati mafundisho ya Uislam.
Sasa mbona ma Mufti wanapigiwa kura, mfano Zuberi, kwahiyo hao sio waislamu
 
Back
Top Bottom