Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Kweli kabisa. Tutafute validation Ili iweje?
 
Hamna cha kanisa lolote wala msikiti... Wote ni wapigaji tu.
Muislam akishakuwa mpigaji huyo ni kafiri. Kumbuka hilo.

Mfumo wa kanisa na msikiti ni vitu viwili tofauti.


Kwanza uongozi unaouonamsikitini ni takwa la kulazimishwa na serikali tu, siyo mfumo wa Kiislam.

Kiislam yeyote ni imam, kigezo cha kwanza elimu yake, cha pili umri wake (hekima) ili kuongoza wengine.

Hakuna sijuwi mwenyekiti, katibu, mweka hazina, (hayo ni matakwa yanayolazimishwa na serikali kwa ajili ya kulinda usalama lakini siyo matakwa ya Uislam, ndiyo maana unayakuta msikitini. Utakuta hao waliochaguwana hawana hata ujuzi wa Uislam.
 
Na mimi sijawahi ona mtu amepanda mtumbwi halafu akaanza kuutoboa ili afe majini,wewe ni mpagani unaesali kkkt.
 
Kwa sababu wamesema viongozi wa dini waache kujiingiza kwenye siasa?
Vijana wa ChaDema mnaangaika kukosoa na kiponda kila mtu,kikiundi,dhehebu na dini isiyokuwa tayari kuunga Mkono mawazo ya viongozi wenu.
 
Roman Catholic msingi wake umewekwa na Yesu Kristo kupitia Mtume Petro pale Vatican hayo mengine msingi wake uwekwa na mmiliki wake.
Ndo maana katoliki linaitwa church na hayo mengine yenye wachungaji walioa uitwa churches.
 
Shauri na nini kifanyike ili mambo yawe sawa?

Maana obviously tumeshakwama,mimi Mkatoliki lakini huwa naingia kote KKKT na Anglikana nikiwa sehemu ambayo Kanisa langu lipo mbali(japo tujue zaidi,KKKT na Anglikana tunakaribiana sana kiibada kiasi muumini kutoka hayo makanisa mawili akitaka kuingia Catholic huwa haitaji mafunzo mapya,ubatizo wala kukomunishwa upya)
 
Kwann umenijibu Kwa hasira hivi? Au nimepiga Ikulu?
 
Hakuna kanisa la kweli Duniani!!

Roma ni serikali na dola kamili inayotawala Dunia KWA utaratibu wa siri wala haihusiani na kanisa wala MUNGU muumba!!

Dini ni kivuli cha kupitisha agenda zao kwenye mataifa mbali mbali Duniani!!

Hiyo migogoro ya makanisa MENGINEYO ni mkono wa serikali kupitia Roma,pale wanapoona kanisa fulani linatishia maslahi ya serikali ya kirumi Duniani kote!!

Elewa hivyo itakusaidia sana kuliko unavyofikiri!!

Kuna MUNGU wa kweli hakuna Dini ya kweli,kuna imani ya MUNGU wa kweli hakuna kanisa au dhehebu la kweli Duniani yoote ni mipango ya serikali za siri Roma ikiwa mojawapo!!

Elewa hivyo mkuu itakusaidia kujua migogoro yote ni mipangokazi ya serikalitba Dini,madhehebu yote ni sehemu ya mpangokat wa serikali hii unayoiona!!!

Uwe huru
 
Litateteleka wakiruhusu tu mapadre kuoa
 
Hahahahaha...

FaizaFoxy DINI NI NINI?

Dīn (Kiarabu: دين, romanized: Dīn, pia anglicized kama Deen) ni neno la Kiarabu lenye hisia tatu za jumla: hukumu, desturi, na dini. [1] Inatumiwa na Waislamu na Wakristo wa Kiarabu.

Katika istilahi ya Kiislamu, neno linamaanisha njia ya maisha ambayo Waislamu lazima wachukue ili kufuata sheria ya Mungu, inayojumuisha imani, tabia na matendo. [2] Neno hili linaonekana katika Quran mara 98 na maelezo tofauti, ikiwa ni pamoja na katika maneno yawm al-din (Kiarabu: يوم الدين), kwa ujumla kutafsiriwa kwa "Siku ya Hukumu" au aya maarufu "La ikraha fid din" ambayo inatafsiri "Acha kusiwe na kulazimishwa katika dini." (Tafsiri ya Abdullah Yusuf Ali).
 
Usiniletee Tafsiri za Msikitini. Niletee TAFSIRI YA KAMUSI.

Kamusi/Dictionary ndio ina tafsiri ya maneno. Siyo hizo links za msikitini unazocopy.

DINI/ RELIGION ni Nini kwa mujibu wa Dictionary?

WHAT IS RELIGION?
 
Mashekhe wanavyowala watoto? Huko madrasa? Mfano juzi shekhe zuberi kapigwa miaka 30 jumlisha kifungo cha maisha....halafu michezo ya kulawiti ipo kwenu sana waislamu na watu wa pwani sio siri..

....
Huyo mama ni wazimu huwa ana kawaida ya kubishana ujinga akitumia mwamvuli wa dini yake asijue humo ndiyo hakuna kitu kabisa.

Hii issue ya ulawiti kwa mtu timamu anaekubali ukweli wala haina haja ya ku-mention kikundi cha watu,hilo ni tatizo hata atheist wanalo.
 
Roman Catholic msingi wake umewekwa na Yesu Kristo kupitia Mtume Petro pale Vatican hayo mengine msingi wake uwekwa na mmiliki wake.
Ndo maana katoliki linaitwa church na hayo mengine yenye wachungaji walioa uitwa churches.
mapapa wana michepuko/vimada toka enzi hzo, baba yake cesar borgia alikuwa nani?
 
Mashekh si ndio wanaongoza kuharibu watoto wetu huko madrasa lkn.
Jiulize kijiji kimoja kina madrasa ngapi!? Kila madras moja kuna watoto wawili mpaka watatu wanafanyiwa ukatili huo. Ukimaliza hapo piga hesabu kwa kata wanafanyiwa watoto wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…