Ningekua rais ningeamuru wanawake wanavaa suruali za kukatwa magotini wapigwe viboko hadharani

Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.

Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Hata wanaume wanaotoboa masikio ningeamuru sensa isiwahesabu
 
Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.

Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Sasa sie tunapenda wanawake wanaovaa condom sii utatunyima raha ya dunia
 
Ujinga tu
Nionyeshe cha maana ambacho tumefanya kama watz hapa duniani na sie tukahesabiwa kama watu wenye akili.
Huo ujinga ndio sie tunapenda yaani msambwanda ndani ya biker shorts au leggings ndio fahari yetu. mawardat ebu nipe picha moja ya kusindika hii comment yangu
 
Panua fikra mzee watoto wanajifunza ujinga kwenye indecent clothing
Tuhangaike kwanza na umeme, maji na afya. Hayo yakikaa sawa tutacha kuwaza vitu vidogo vidogo kama mavazi ya mwanamke.
Wewe ni sawa na anaewalaumu dada poa huku ukisahau kulaumu wanunuzi! Kila mara nikiona dada poa wamekamatwa huwa najiuliza mbona sioni wanunuzi? aka Malaya wa kiume! I rest my case.
 
Badilisheni mfumo wa uongozi nyie hamsikii movement nchi za wenzetu uko kama Yemen, nyie si waoga
 
Picha iko VIP ya mfano mm sijawai kukutana nao
Hii
Screenshot_20221110-162927.jpg
 
Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.

Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Wewe ni kenge,na kama umemaliza hata la saba,hizo pesa Bora zingotolewa sadaka!
Maadili ndio nini?maadili sio kuvaa minguo umefunika mpaka macho,unaonekana kama dubwana vile,
Watoto wa Obama wanavaa vigauni vifupi,utasema hawana maadili kulinganisha na wanaovaa minguo mirefu,lakini ikifika jioni,wanapiga shoo za uwani balaaa
 
Ujinga ukikutoka kichwani utaelewa nacho maanisha, alaf unatolea reference Obama ndo role modo wako?
 
Back
Top Bottom