kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
- Thread starter
- #61
Kwa sasa huoni ni kukusudia kuiharibu nchi? Tofautisha nyakati weweImagine. Watu wamekua brainwashed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa huoni ni kukusudia kuiharibu nchi? Tofautisha nyakati weweImagine. Watu wamekua brainwashed.
Kwa sasa huoni ni kukusudia kuiharibu nchi? Tofautisha nyakati weweImagine. Watu wamekua brainwashed.
Kumbe kuchukizwa mi nilijua kizazi kinaharibikaKuna watu wanachukizwa na kiduku
Hata wanaume wanaotoboa masikio ningeamuru sensa isiwahesabuHii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Kuiharibu kivipi?Kwa sasa huoni ni kukusudia kuiharibu nchi? Tofautisha nyakati wewe
Panua fikra mzee watoto wanajifunza ujinga kwenye indecent clothingKuiharibu kivipi?
Sasa sie tunapenda wanawake wanaovaa condom sii utatunyima raha ya duniaHii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Bora umejazia jazia nyamaHata wanaume wanaotoboa masikio ningeamuru sensa isiwahesabu
Ujinga tuSasa sie tunapenda wanawake wanaovaa condom sii utatunyima raha ya dunia
HamujielewiUrais ni taasisi kubwa sana na inamambo mengi ya kufanya kuliko nguo unazozungumzia,
Binafsi ninavaa na nimenunuliwa na mume wangu,
Kikubwa Kila nguo inasehemu yake
Nionyeshe cha maana ambacho tumefanya kama watz hapa duniani na sie tukahesabiwa kama watu wenye akili.Ujinga tu
Tuhangaike kwanza na umeme, maji na afya. Hayo yakikaa sawa tutacha kuwaza vitu vidogo vidogo kama mavazi ya mwanamke.Panua fikra mzee watoto wanajifunza ujinga kwenye indecent clothing
Mambo....umepoteaAione mzabzab kwenye jalada
Badilisheni mfumo wa uongozi nyie hamsikii movement nchi za wenzetu uko kama Yemen, nyie si waogaTuhangaike kwanza na umeme, maji na afya. Hayo yakikaa sawa tutacha kuwaza vitu vidogo vidogo kama mavazi ya mwanamke.
Wewe ni sawa na anaewalaumu dada poa huku ukisahau kulaumu wanunuzi! Kila mara nikiona dada poa wamekamatwa huwa najiuliza mbona sioni wanunuzi? aka Malaya wa kiume! I rest my case.
HiiPicha iko VIP ya mfano mm sijawai kukutana nao
Wewe ni kenge,na kama umemaliza hata la saba,hizo pesa Bora zingotolewa sadaka!Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Ujinga ukikutoka kichwani utaelewa nacho maanisha, alaf unatolea reference Obama ndo role modo wako?Wewe ni kenge,na kama umemaliza hata la saba,hizo pesa Bora zingotolewa sadaka!
Maadili ndio nini?maadili sio kuvaa minguo umefunika mpaka macho,unaonekana kama dubwana vile,
Watoto wa Obama wanavaa vigauni vifupi,utasema hawana maadili kulinganisha na wanaovaa minguo mirefu,lakini ikifika jioni,wanapiga shoo za uwani balaaa
Sawa ila hatukuzidi weweHamujielewi