Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Mchegerwa ni mropokaji kama waropokaji wengine tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemwingizaje kwenye hiyo kesi? Vipi utendaji wake wizarani ulipwaya? Hilo ndio la msingi na si kuangalia mahusiano binafsiSi busara Mkwe wa Rais kuongoza Wizara inayosimamia Usalama wa Taifa; tayari huyu Mchengerwa alishamwingiza mama mkwe wake kwenye kesi ya mchongo ya Freeman Mbowe
Mchengerwa, Mkwe wa Mama Samia ndo alianza kuota mapembe ya akina Makonda na Sabaya wa Magufuli
Kumbe ndio alimuungiza mkenge, ila alikuwa smart flani bana, Yani alifanya watumishi wajisikie huruSi busara Mkwe wa Rais kuongoza Wizara inayosimamia Usalama wa Taifa; tayari huyu Mchengerwa alishamwingiza mama mkwe wake kwenye kesi ya mchongo ya Freeman Mbowe
Mchengerwa, Mkwe wa Mama Samia ndo Makonda na Sabaya wa Awamu ya 6
Hana huwezo huo na haji kufika level hizo, upinzani gani mwaka huu limekuwa na upinzani bungeniHujaona alichofanya Bungeni kusambaratisha Kambi jeuri kwa weledi na ustadi hadi wenyewe wanarukana
Sasa hivi anaenda kusambaratisha makatili waliowekwa kwny Utumishi
Hana usmart wowote, huyu angepishana jela na Sabaya baada ya Mama Mkwe wake kuondoka IkuluKumbe ndio alimuungiza mkenge, ila alikuwa smart flani bana, Yani alifanya watumishi wajisikie huru
Humjui jenista wewe,Hahahahaha ni vichekesho hivi jenista kwa uwezo gani?
Hajapwaya, Ni Bora ndo maana kapelekwa kwenye udhaifu kuimarisha[emoji4]Huwenda ni imara ila nauliza mchengerwa alipwaya wapi?
Kubaki haina maana ni mzuri, jenista Ana uwezo gani zaidi ya kiherehere bungeniHumjui jenista wewe,
Maraisi wote pangapangua hua hatoki baraza la mawazili yule
Usitake kunambia Hadi jpm alkua anambeba[emoji4]
Kundi la watumishi lilikandamizwa mno na jpm lakini ndilo kundi ambalo lolite likitaka kufanyika dhidi ya mtawala "kisomi" (iwe kum neutrakize) basi kundi hilo hutumika umemshauri vyema MamaHuo ni mpango ili kuhakikisha ifikapo May 1 wizara isiwe na mtu anayesimamia principles,hapo limewekwa vuvuzela Jenister Mhagama ili kunyonga swala la upandishaji wa mishahara!!! Subiri May 1 uone!!! Ila namshauri rais ugomvi alio nao ndani ya ccm unamtosha asitafute ugonjwa na watumishi!!
KWAIYO wee ulitaka uwe waziri afu upingane na maelekezo ya mteuzi wako?Kubaki haina maana ni mzuri, jenista Ana uwezo gani zaidi ya kiherehere bungeni
Maraisi hupenda watu wenye viherehere na uwezo mdg kichwani (wale wa kutumwa tumwa na ndio mzee)
Lini umeona maraisi wetu wakipenda watu smart kichwani
Kipendwa na kila awamu Ina maana ni bendera tu na mfuata maelekezo mzuri
MÀTAGA na CHAWA hayawezi kukuelewa.Si busara Mkwe wa Rais kuongoza Wizara inayosimamia Usalama wa Taifa; tayari huyu Mchengerwa alishamwingiza mama mkwe wake kwenye kesi ya mchongo ya Freeman Mbowe
Mchengerwa, Mkwe wa Mama Samia ndo Makonda na Sabaya wa Awamu ya 6
Unamjua wasira alikuwepo tangu nyerere vipi alikuwa na ubora upiHumjui jenista wewe,
Maraisi wote pangapangua hua hatoki baraza la mawazili yule
Usitake kunambia Hadi jpm alkua anambeba[emoji4]
Maymos wasijichanganye 😁😂🤣Huo ni mpango ili kuhakikisha ifikapo May 1 wizara isiwe na mtu anayesimamia principles,hapo limewekwa vuvuzela Jenister Mhagama ili kunyonga swala la upandishaji wa mishahara!!! Subiri May 1 uone!!! Ila namshauri rais ugomvi alio nao ndani ya ccm unamtosha asitafute ugomvi na watumishi!!