Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Masikini tuna tabu sana, Mengi mali zake katafuta kwa jasho lake, kaamua kuwaachia watoto wake aliowapenda sana mapacha mali zake. kuna mipumbavu roho zinawauma kama mali ni zao, kama mnawapenda hao watoto wakubwa wa mengi wapeni mali zenu. mali za Mengi kaamua kuwapa mapacha
We jamaa acha ujin*a! Sisi tulikua tukienda kucheza b/ball Don Bosco wakati watoto wa Mengi wanatengeneza kalamu. Alaf leo unataka mali zote achukue mtu ambae hajatoa jasho?....acha ujinga wewe!
Watoto wakubwa nao Wana haki ya kupataMasikini tuna tabu sana, Mengi mali zake katafuta kwa jasho lake, kaamua kuwaachia watoto wake aliowapenda sana mapacha mali zake. kuna mipumbavu roho zinawauma kama mali ni zao, kama mnawapenda hao watoto wakubwa wa mengi wapeni mali zenu. mali za Mengi kaamua kuwapa mapacha
Amekutapeli nini ?
Demu anajiamini sana huyuDaah sijui sijasoma kipande chote. Ila Jack kabla ya kwenda pale alitakiwa kutoa taarifa kwa mwenye ardhi na kupewa ruhusa(hasa alipokiri hawana mahusiano mazuri) Alipozikwa mengi ni eneo ambalo ni mali ya mtu binafsi sio eneo la makaburini.View attachment 1368235
Huyo demu ni mtusi na anazidi kujionesha namna kabila hili lilivyo na roho mbaya ... Yaani alifanya vurugu getini kwenye Nyumba ya watu eti hakubali kuzuiliwa kuingia.Daah sijui sijasoma kipande chote. Ila Jack kabla ya kwenda pale alitakiwa kutoa taarifa kwa mwenye ardhi na kupewa ruhusa(hasa alipokiri hawana mahusiano mazuri) Alipozikwa mengi ni eneo ambalo ni mali ya mtu binafsi sio eneo la makaburini.View attachment 1368235
Hakuna ambacho hajafanyiwa,lakini kwa tamaa akaona achukue vyoteHapo mt
Wanamtia ujingaKile kikundi chake,ushauri wa dada yake,chama cha wajane na sympathy mitandaoni vinampa jeuri
Pia wao nao watie maji mwenzao ndio ananyolewa hivyoWanamtia ujinga
Mwisho wa siku atabaki na matatizo yake na wao watabaki na yao .
Sent using Jamii Forums mobile app
daah manzi ni tapeli yuleHakuna ambacho hajafanyiwa,lakini kwa tamaa akaona achukue vyote
Kafunguliwa Duka dubai,kafunguliwa kampuni ya fenicha inayouza stuli milioni mbili lakini akaona akombe kila kitu
Nasikia hata wanawake wao kuua wanaua kisa mali, ni kweli? Na kwanini ndugu za wanawake wanatumia njama pamoja kummaliza mwanaume wa mmoja wao, kisa mali?