Angewekezewa Mabilioni yake Uswizi angekuwa anabunya kimya kimya tu. Huku akifunguliwa biashara za kuzugia na kuwekezewa hisa kwenye makampuni makubwa. Angekuwa anakula Dividend kinyele!
Siyo tu wanachame hivi wewe umefight miaka kadhaa kuangaikia ugali wako wa kesho alafu anakuja mpumbavu mmoja anataka akombe mboga ambayo hajui ilipatikanaje. Utamuacha?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu unafananisha vitu viwili tofauti na katika mazingira mawili tofauti na hata tamaduni mbili tofautiBabaake Michael Douglas. Amefariki dola milioni 61 zote kazipeleka charity. Mwanae hajarithi chochote
Kiafrica hiyo isingekubalika. Ila Michael Douglas na yeye ana utajiri wake
Na nahisi anahusika kwa kutumia mali za mzee kwa pupa mtu asiyejua uchungu wa kuzitafuta kawaida hawagi na ustaarabu wa namna yakuzitumiaHakuna ambacho hajafanyiwa,lakini kwa tamaa akaona achukue vyote
Kafunguliwa Duka dubai,kafunguliwa kampuni ya fenicha inayouza stuli milioni mbili lakini akaona akombe kila kitu
hivi wale watoto wa bi mkubwa si walishapata haki yao? nilisoma mahali kwamba walimdai urithi mzee wao na akawapa!....mtoto hata awe mzee anahaki ya kurithi Mali za Baba yake.
Wale Wana urithi kutoka sehemu mbili kwa baba na mamahivi wale watoto wa bi mkubwa si walishapata haki yao? nilisoma mahali kwamba walimdai urithi mzee wao na akawapa!....
sijaelewa sasa kama walipewa haki nongwa inatoka wapi?!
Gold diggerHakuna ambacho hajafanyiwa,lakini kwa tamaa akaona achukue vyote
Kafunguliwa Duka dubai,kafunguliwa kampuni ya fenicha inayouza stuli milioni mbili lakini akaona akombe kila kitu
Mali ya Baba inatutoa rohoo🎵🎶
Mali ya Baba inatutoa rohoo[emoji444][emoji445]
Bora nikae pembeniii...(subutuu mimi Jacky huyuu!! I can imagine[emoji28])
watauana wasipoangalia
hivi wale watoto wa bi mkubwa si walishapata haki yao? nilisoma mahali kwamba walimdai urithi mzee wao na akawapa!....
sijaelewa sasa kama walipewa haki nongwa inatoka wapi?!