Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Constitutional reforms are inevitable.And the motive will be? getting off presidential seat?
Be specific reforms zipi Chadema mnataka?Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow!
Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi.
Kama ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, na kwa kuwa kwa sasa CCM ndo tuna wabunge wengi na Mimi ndo Rais , ushauri huu wa Lissu ningeupokea fasta na kuufanyia kazi.
Najua CCM na Serikalini huko vilaza ni wengi hivyo hawawezi kujua ninachomaanisha. Kiufupi ni bora mabadiliko ya Katiba yakafanyika mkiwa na Bunge hili kuliko kutegemea hilo Bunge la baada ya uchaguzi.
Siwasanui tena!
Constitutional and election laws reformsBe specific reforms zipi Chadema mnataka?
Constitutional reforms are inevitable.
The more CCM wanavyodelay hii process ndo the more wanavyozidi kujiweka kwenye hatari huko mbele.
Na this is the only legacy itakayomweka Samia kwenye vitabu vya historia ya Tanzania milele na milele.
Kama ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, na kwa kuwa kwa sasa CCM ndo tuna wabunge wengi na Mimi ndo Rais , ushauri huu wa Lissu ningeupokea fasta na kuufanyia kazi.Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow!