Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mapendekezo ya Lissu kuhusu mchakato wa Katiba ningeyakubali wakati huu na kuyafanyia kazi haraka!

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow!

Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi.

Kama ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, na kwa kuwa kwa sasa CCM ndo tuna wabunge wengi na Mimi ndo Rais , ushauri huu wa Lissu ningeupokea fasta na kuufanyia kazi.

Najua CCM na Serikalini huko vilaza ni wengi hivyo hawawezi kujua ninachomaanisha. Kiufupi ni bora mabadiliko ya Katiba yakafanyika mkiwa na Bunge hili kuliko kutegemea hilo Bunge la baada ya uchaguzi.

Siwasanui tena!
 
And the motive will be? getting off presidential seat?
 
Constitutional reforms are inevitable.

The more CCM wanavyodelay hii process ndo the more wanavyozidi kujiweka kwenye hatari huko mbele.

Na this is the only legacy itakayomweka Samia kwenye vitabu vya historia ya Tanzania milele na milele.
 
Be specific reforms zipi Chadema mnataka?
 
Mimi ningekuwa mwenyekiti ningeanza na kumkamata kwanza halafu siku ya kumuachia namuachilia ikulu😏
 
Constitutional reforms are inevitable.

The more CCM wanavyodelay hii process ndo the more wanavyozidi kujiweka kwenye hatari huko mbele.

Na this is the only legacy itakayomweka Samia kwenye vitabu vya historia ya Tanzania milele na milele.

Hao watu hawaangalii legacy, wanaangalia pesa na tittles basi, Kama ndicho unachoamini then Mbowe was the best, namna pekee ya ku deal na Ccm kwa sasa ni force tu ndugu!
 
Mama kwa kazi.alizofanya hata angeleta.katiba mpya.uchaguzi anashinda mapema
 
Mlipoteza nafasi wakati wa Kikwete mkamuita dhaifu!

Wakati wa Magu mliufyata!

Sasa mnakuja mawazo ya kitoto namna hiyo nani atakubali?

CCM wanafika vipi na huo mlango mtu?
 
Watamshairi agome na akigoma safari yake ya kizimkazi itakuwa ishawadia.

Kinachibakia kwa Lissu ni kidogo sana...kuwaunganisha wana CDM hii ni kazi ya wiki 2 tu, then kuanza kazi rasmi.

Kanda ya ziwa ndiko vuguvugu la mabadiliko ya Tanganyika mpya lilipo, samahani kwa kutoa siri.
 
Back
Top Bottom