Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow!
Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi.
Kama ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, na kwa kuwa kwa sasa CCM ndo tuna wabunge wengi na Mimi ndo Rais , ushauri huu wa Lissu ningeupokea fasta na kuufanyia kazi.
Najua CCM na Serikalini huko vilaza ni wengi hivyo hawawezi kujua ninachomaanisha. Kiufupi ni bora mabadiliko ya Katiba yakafanyika mkiwa na Bunge hili kuliko kutegemea hilo Bunge la baada ya uchaguzi.
Siwasanui tena!