Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa...

Mkuu hata wewe ukitangulia boda si haki yako ndugu?

Hawakwenda boda kina Mandela na umkhonto we sizwe iwe hii tishia nyau?

Kwani kasema kipi kuhusu uchunguzi?

Anajua tunachohitaji ni uchunguzi huru?
 
Chura kalishwa tango pori maana kajochanganya eti katumiwa clip ya slaa wa CHADEMA??who is slaa wa CHADEMA???
na hiyo clip anayoiongelea ya Slaa ni ya 2021 yeye ndo kaipata juzi??
Huyu mwanamke anawehuka sasa! Ok Slaa alisema nini kilifanyika kufuatilia jinai ila? Kwamba Slaa hawezi akahojiwa pamoja na huyo aliyetajwa?
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi

Otherwise Segerea itawahusu
Wewe kiazi mbatata, acha kununuliwa na Siasa majitaka.

Wewe unaamini CHADEMA inaweza kupanga MIPANGO OVU katika MKUTANO wa waziwazi, ULOITWA WAZIWAZI, na taarifa zikazagaa mpaka Mitandaoni kua CHADEMA tarehe fulan Ina kikao?.

Yaan CHADEMA hawahawa wasokua na bunduki , wawe na Uwezo wa kupindua Nchi??
 
Soon utanielewa
Myika si ameitwa police then utaelewa

Unajua clip ya Dr slaa kuhusu kutekana inasemaje? Ukipata hiyo clip then utanielewa what I mean
 
Mkuu hata wewe ukitangulia boda si haki yako ndugu?

Hawakwenda boda kina Mandela na umkhonto we sizwe iwe hii tishia nyau?

Kwani kasema kipi kuhusu uchunguzi?

Anajua tunachohitaji ni uchunguzi huru?

Ww uko kwenye keyboard unaweza kuandika anything

But wahusika wameelewa namaanisha nini
 
Back
Top Bottom