Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Kina Mbowe wapo Qatar na familia zao,
 
Nchi siyo mali ake binafsi, hakuna kiongozi wa CHADEMA ataondoka, kama ana intelijensia kali hivyo mbona hiyo intelijensia imeshindwa kudhibiti mauaji na utekaji? wizi umejaa serikalini lakini ameshindwa
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Wahalifu wote washughulikiwe kisheria.
 
Kama unazo kichwani, utajua kabisa kuwa ule ni uwongo. Kama ana huo uhakika mbona aliogopa kutamka hata jina la hicho chama? Hii itakuwa wameanza kutengeneza mazingira ya zile kesi za kutengenezwa kama ugaidi wa Mbowe au Rwakatare.

Kama wewe unaamini kuna uhalifu umepangwa dhidi ya nchi, wahi wewe mpakani, usije ukadhurika.
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Samia hajawahi kutoa hotuba mbovu kama ya Leo
 
Sikia , cheo ni dhamana, vyama vipo kwa mjibu wa sheria , ni ujinga mkubwa sana kimbia familia ,au mji wako kisa kimbia kifo ,kutekwa au bambikiwa kesi , Mungu yupo kazini ,

Wengine kama wataishi milele acha wapinzani wafie nchini kwao na hili Mungu hataliluhusu bali upanga mkali Mungu ataushusha juu yao
 
Haya maneno ni marahisi na matamu ukiwa unaongea behind ya keyboard kama hivyo

Muulize lema familia yake amepeleka wapi
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Tukimbie nchi yetu? Ili Mgeni aendelee kuuza nchi yetu? Sahau mzee
 
Chura kalishwa tango pori maana kajochanganya eti katumiwa clip ya slaa wa CHADEMA??who is slaa wa CHADEMA???
na hiyo clip anayoiongelea ya Slaa ni ya 2021 yeye ndo kaipata juzi??
Sidhani kama ni kweli polisi wamempa clip ya chadema wakipanga uhalifu. Yeye sio mjinga kiasi hicho angepewa hiyo clip angemtimua huyo polisi aliyempelekea. Kwni polisi wakipata taarifa ya uhalifu huwa wanaipeleka kwa rais au wanachunguza na hatimaye kupeleka kesi mahakamani?
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Ndivyo akili yako inavyo kwambia hivyo wakati inapo elemewa na bangi nyingi?
 
Sidhani kama ni kweli polisi wamempa clip ya chadema wakipanga uhalifu. Yeye sio mjinga kiasi hicho angepewa hiyo clip angemtimua huyo polisi aliyempelekea. Kwni polisi wakipata taarifa ya uhalifu huwa wanaipeleka kwa rais au wanachunguza na hatimaye kupeleka kesi mahakamani?

..wanaotaka kufanya uhalifu wapelekwe mahakamani.

..wanaotaka kufanya maandamano ya AMANI walindwe ili maandamano yao yasivurugwe.
 
Ndivyo akili yako inavyo kwambia hivyo wakati inapo elemewa na bangi nyingi?

Walioelewa wameelewa ww weka kichwa ngumu ukiwa home na family yako

Wenzako familia zao zilishakimbia Tanzania

Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom