jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hakuna siri ya watu wawiliChadema si wamoja tena. Inakuwaje vikao vyao vya siri vinadukuliwa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna siri ya watu wawiliChadema si wamoja tena. Inakuwaje vikao vyao vya siri vinadukuliwa??
Sasa mtu kama Boni Mayai unategemea nini ?!! 🤣🤣Chadema ni kikundi cha wavuta bangi na wanywaji wa gongo.
Akienda tu huyo ndio MHAINI mwenyewe.... TREASON TREASON TREASONHaya nenda road tarehe 23
Kaandamane....Chenga Prezidaa
Au Mdude Nyangali 😂Sasa mtu kama Boni Mayai unategemea nini ?!! 🤣🤣
Kaandamane ewe bingwa wa nyuma ya keyboard....Nenda kawatishe wavuta bangi wenzio.
Wa Mirembe kabisa huyo 🤣🤣Au Mdude Nyangali 😂
Ni mwendawazimu Tu ndie anaweza kuamini huu uongoWewe kiazi mbatata, acha kununuliwa na Siasa majitaka.
Wewe unaamini CHADEMA inaweza kupanga MIPANGO OVU katika MKUTANO wa waziwazi, ULOITWA WAZIWAZI, na taarifa zikazagaa mpaka Mitandaoni kua CHADEMA tarehe fulan Ina kikao?.
Yaan CHADEMA hawahawa wasokua na bunduki , wawe na Uwezo wa kupindua Nchi??
Wanachadema wengi unaweza kuwatumia kama Case study unapozungumzia masuala ya madawa ya kulevya.Wa Mirembe kabisa huyo 🤣🤣
Jombaa mifano itele kwa nchi zilizopinduliwa kwa visingizio vya maandamano ?!!Ni mwendawazimu Tu ndie anaweza kuamini huu uongo
Ukitaka kumjua mwenye mbwa muue mbwa. Leo mwenye mbwa kajulikana.Wanufaika wa wasiojulikana
Nakubaliana na wewe Kwa hilo. Sasa kwanini hawapeleki Mahakamani wakati ushahidi anao?Jombaa mifano itele kwa nchi zilizopinduliwa kwa visingizio vya maandamano ?!!
Unarudi lini kutoka sayari ya Pluto?!!
...toka siku ile pale mahakamani kesi ya mwenzao Zitto Kabwe....walipounda genge ili akitoka tu wajifanye kuna kusukumana halafu watumie kalamu zao kumjeruhi ndipo nilipowajua hawa jamaa ni CASE STUDY ya PSYCHOSIS wodi no.14 acute pale Mirembe....mateja ya methadone hayo.....🤣Wanachadema wengi unaweza kuwatumia kama Case study unapozungumzia masuala ya madawa ya kulevya.
Rais si kiongozi wa kwanza wa muhimili wa wa mahakama....Nakubaliana na wewe Kwa hilo. Sasa kwanini hawapeleki Mahakamani wakati ushahidi anao?
Naikumbuka hii, hadi serikali ikatangaza kumuwekea ulinzi Zitto kutokana na genge la mauaji lililotumwa na Chadema....toka siku ile pale mahakamani kesi ya mwenzao Zitto Kabwe....walipounda genge ili akitoka tu wajifanye kuna kusukumana halafu watumie kalamu zao kumjeruhi ndipo nilipowajua hawa jamaa ni CASE STUDY ya PSYCHOSIS wodi no.14 acute pale Mirembe....mateja ya methadone hayo.....🤣
Yeye mwenyewe alisema amesikitishwa sana na kifo Cha Kibao na anaomba taarifa ya kina kuhusu kifo hicho..........Nchi siyo mali ake binafsi, hakuna kiongozi wa CHADEMA ataondoka, kama ana intelijensia kali hivyo mbona hiyo intelijensia imeshindwa kudhibiti mauaji na utekaji? wizi umejaa serikalini lakini ameshindwa
Mnamtaka Lema au familia yake? Baba Mpumbavu ataiweka familia yake kwenye mazingira ya hatari. Lema sio mmoja wao.Haya maneno ni marahisi na matamu ukiwa unaongea behind ya keyboard kama hivyo
Muulize lema familia yake amepeleka wapi
......hatari sana mkuu...Naikumbuka hii, hadi serikali ikatangaza kumuwekea ulinzi Zitto kutokana na genge la mauaji lililotumwa na Chadema.