Wameshagawanyika tayari hivyo taarifa zao zinadakwa kila rahisi sana.Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa...
Wanajiteka wao wenyewe kwani hukumsikia Dr. Slaa?Wao wakiua na kuteka ni sawa.
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa...
Kumbe mnajua Mafwele mtekaji.Kwakweli sasa ni wazi anayemtuma mafyle kuteka amejulikana
Huyu mwanamke anawehuka sasa! Ok Slaa alisema nini kilifanyika kufuatilia jinai ila? Kwamba Slaa hawezi akahojiwa pamoja na huyo aliyetajwa?Chura kalishwa tango pori maana kajochanganya eti katumiwa clip ya slaa wa CHADEMA??who is slaa wa CHADEMA???
na hiyo clip anayoiongelea ya Slaa ni ya 2021 yeye ndo kaipata juzi??
Wewe kiazi mbatata, acha kununuliwa na Siasa majitaka.Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi
Otherwise Segerea itawahusu
Wewe kiazi mbatata, acha kununuliwa na Siasa majitaka.
Wewe unaamini CHADEMA inaweza kupanga MIPANGO OVU katika MKUTANO wa waziwazi, ULOITWA WAZIWAZI, na taarifa zikazagaa mpaka Mitandaoni kua CHADEMA tarehe fulan Ina kikao?.
Yaan CHADEMA hawahawa wasokua na bunduki , wawe na Uwezo wa kupindua Nchi??
Mkuu hata wewe ukitangulia boda si haki yako ndugu?
Hawakwenda boda kina Mandela na umkhonto we sizwe iwe hii tishia nyau?
Kwani kasema kipi kuhusu uchunguzi?
Anajua tunachohitaji ni uchunguzi huru?
Hiyo clip ya mwaka gani? na kwa nini hawakuchukua hatua wakati huo?.Soon utanielewa
Myika si ameitwa police then utaelewa
Unajua clip ya Dr slaa kuhusu kutekana inasemaje? Ukipata hiyo clip then utanielewa what I mean