Hata hivyo, adhabu ya kunyimwa kufanya mazoezi ya mwisho sio kuahirisha mechi husika. Kwani kanuni hiyo ya ligi inasemaje kwa timu isipofanya mazoezi ya mwisho?
Kumbe masaa 72 yanahesabiwa baada ya mchezo husika kuchezwa na sio kabla.Adhani ni faini ya milioni moja mpaka tano, Hiyo ni baada ya kamati ya masaa 72 kukaa baada ya mchezo husika. Hilo la kuahirisha mechi HALIPO na haijawahi kutokea, Hata CAF na FIFA watashangaa! Huko club bingwa kuna figisu nzito hufanywa lakini kamwe husikii mechi kuahirishwa.
Ndiyo. Kwa mujibu wa KanuniKumbe masaa 72 yanahesabiwa baada ya mchezo husika kuchezwa na sio kabla.
Kwahiyo uwanja wa Taifa unalindwa na mabauza wa Yanga!! Kama uwanja wa serikali uliogharimu pesa nyingi za walipa kodi kujengwa na kukarabatiwa umeachiwa mabauza wa Yanga kuulinda ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine tu.Mabaunsa Wa Yanga Wasakwe popote Walipo waje Kulipa gharama za mchezo. !
Kwahiyo uwanja wa Taifa unalindwa na mabauza wa Yanga!! Kama uwanja wa serikali uliogharimu pesa nyingi za walipa kodi kujengwa na kukarabatiwa umeachiwa mabauza wa Yanga kuulinda ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine tu.
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.Kwahiyo hayo mazoezi ya mwisho ndo yangeifanya Simba iibuke na ushindi?
Ushindwe kujiandaa wiki nzima utegemee masaa matatu kama sio ukichaa ni nini?
Halafu huwezi kukurupuka tu from no where na wazee wenu waliovaa kaniki na kubeba vichwa vya kondoo mbuzi na njiwa bila hata ya kutoa taarifa kwa meneja wa uwanja mnataka kuingia uwanjani.
Mlipaswa mtoe taarifa.
Wajinga ni wale waliogoma kupeleka timu uwanjani kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
.Kwani milango ya uwanja ilikuwa wazi?Kwanza Sio Mabauza ni ' Mabaunsa'...!
Pili ni kuwa mabaunsa Walifanikiwa kuzuia mazoezi ya Simba, na Yanga wachuna na hakuna tamko lolote la kulaani ama kupongeza...kwa hilo tu gharama zote za kuahirisha Wapewe wao ..!
Hawa mbumbumbu walitafuta tu kisingizio cha kuingia mitini baada ya kuhisi uwezekano mkubwa wa kuangushiwa mvua ya magoli..Kwani milango ya uwanja ilikuwa wazi?
Komeni; Uwanja wa serikali unalindwa na serikali, sio Yanga. Simba ni wahuni, kwenye pre-match meeting Simba na TFF hawakuonyesha Wala kuwasilisha uhitaji na ulazima wa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye wa Mkapa. Na hawakutoa taarifa kwa mtu yeyote kuwa watakwenda uwanjani hapo kwa mazoezi.
Je, Simba hawaujui uwanja wa Mkapa (pitch, magoli na miundombinu)?
Je, kutofanya mazoezi ya mwisho kwa Mkapa Yana athali kubwa kwenye matokeo?