kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Je, kwenye mashindano yanayosimamiwa na TFF na CAF zipo timu ambazo ziliwahi kucheza mechi bila timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi?.
Je, Kuna timu duniani ambazo zilipewa adhabu kwa kuzuia timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho? Kama zipo, zilipewa adhabu gani? na je, kugomea na kuahirisha mechi ilikuwa Moja kati ya adhabu hizo?
TFF walikuwa sahihi kuahirisha Derby ya Simba na Yanga kwa sababu ya Simba kukosa kufanya mazoezi ya mwisho?