Nini cha kufanya endapo utakuta dhahabu kwenye shamba au kiwanja chako?

Nini cha kufanya endapo utakuta dhahabu kwenye shamba au kiwanja chako?

Si kweli mkuu.

Kwanza, sina tabia ya upigaji.

Pili, Wana JF si wajinga. Wewe umemwona mtu anayeweza "kupigwa" humu?

Tatu, hakuna mtu anayefahamu kila kitu. Lakini kile kidogo ukijuacho ukiongezea na uliyoongezewa na wengine, kinakuwa na tija zaidi.

Ndiyo lengo la huu uzi. Kuongeza maarifa!
Kwa hyo unataka ushauriwe jinsi ya kufanya baada ya kukuta dhahabu shambani mwako?hayaa
 
Lugha fasaha na biashara ya madini ni vitu viwili tofauti mkuu!

~ Arusha kuna Wamasai wanafanya biashara kubwa ya Tanzanite japo hawajui Kiswahili fasaha.

~ Tanzania kuna Wachina wanaofanya mpaka umachinga japo hawakijui Kiswahili fasaha wala Kiingereza fasaha.

Ukishakuwa na mzigo, utauuza ti, hata kama hujui lugha. Hata lugha ya ishara inaweza kutumika.
Ungekuwa unasoma mwanzo wa comment zilipoanzia ungelewa nilichoandika ila kwa vile umesoma comment hii moja na ukaitolea majibu siwezi kukulaumu
 
Back
Top Bottom