Si kweli mkuu.
Kwanza, sina tabia ya upigaji.
Pili, Wana JF si wajinga. Wewe umemwona mtu anayeweza "kupigwa" humu?
Tatu, hakuna mtu anayefahamu kila kitu. Lakini kile kidogo ukijuacho ukiongezea na uliyoongezewa na wengine, kinakuwa na tija zaidi.
Ndiyo lengo la huu uzi. Kuongeza maarifa!