Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.

Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea

Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi anamuoneshea mwanaume live live lakini mwanaume kimya

Je tuambiane kitu gani kinamfanya mwanamke anajihamini kiasi hikii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cash ndio tatizo mwanaume ukikosa pesa unakosa nguvu zotee bro
 
Wanawake wote katika kipind cha mahusiano kuna kipind huwa wanabadrika na kuonyesha jeuri , kutokujali na kuheshimu , hyo huwa inatokea tuu , sababu kubwa mwanamke ni dynamic Sana , ukiona hvyo possibly kuna jamaa anampa furaha fulan fulan , au amekuchoka tuu, au umepoteza uwezo wa kuhudumia familia eg pesa huna na ni mda mrefu huonyeshi kama utainuka tena kimaslahi , katika kipind hiki usojarbu kukimbizana nae , jarbu kumuonyesha Kwa upendo namna alivyobadrika , but wekeza nguvu kubwa kwenye kutimiza malengo yako .... badae huwa wanajirudi tuu
 
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.

Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea

Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi anamuoneshea mwanaume live live lakini mwanaume kimya

Je tuambiane kitu gani kinamfanya mwanamke anajihamini kiasi hikii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Pole baba
 
Sababu kubwa ni mwanaume kushindwa kuelewa the true animal nature in her, kila mwanamke ana kiburi ukishindwa kumtrigger anavyotaka. kuna wale wnawake anakuelewa cuz ana natural weakness kwa wanaume aina yako, so unashangaa mbona demu hapindui, it's because unamtrigger by default. Ndio maana naonaga mwanamke ili awe mtiifu ni muunganiko wa vyote, kwanza mwanamke awe ready kusubmit ila pia mwanaume kuonesha unastahili utiifu, i mean, you should earn it.
 
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.

Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea

Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi anamuoneshea mwanaume live live lakini mwanaume kimya

Je tuambiane kitu gani kinamfanya mwanamke anajihamini kiasi hikii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mazoea anayoyaonyesha mwanaume kwa mwanamke wake, udhaifu wa mwanaume uliopitiliza ambao pia mwanamke anaufahamu(inaweza kuwa pesa, udhaifu wa viungo vya uzazi Kwa mfano uume mdogo usiomtosheleza mwanamke wake, elimu kuwa ndogo kuliko ya Ke, umri mdogo kuliko wa ke)

Jambo lingine pengine ni ufukara uliopo kwenye familia ya mwanaume inawezapelekea mwanamke akamfanyia jeuri mwanaume wake, lakini pia uchawi na ushirikina mwanamke anapokuwa amejihusisha huko na kumteka mume wake kwa kutumia dawa basi anaweza mfanyia jeuri na kiburi akijua hakuna cha kumfanya, kiujumla mwanamke akijua huna uwezo wa kufanya chochote basi huleta jeuri na kiburi
 
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.

Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea

Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi anamuoneshea mwanaume live live lakini mwanaume kimya

Je tuambiane kitu gani kinamfanya mwanamke anajihamini kiasi hikii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Respect ya mwanamke kwa mwanaume is earned, haiji automatic, man up, ongeza value Yako kwenye maisha Yako,

Ongeza uelewa wako katika masuala mbalimbali, confidence na pambana ongeza kipato chako and resources,

Mwanamke anahitaji mwanaume strong ambaye anaweza kumtunza na kumlinda physically, emotionally and financially.

Kuwa kiongozi katika familia, onyesha msimamo na vision Yako kwake.

Hivi vikipungua mwanamke anaanza kukudharau in most cases by default.

Anzia na hayo kwanza
 
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.

Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea

Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi anamuoneshea mwanaume live live lakini mwanaume kimya

Je tuambiane kitu gani kinamfanya mwanamke anajihamini kiasi hikii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Una miaka mingapi? Kwa kukusaidia, hiyo husababishwa na mwanaume kushindwa kumkula akamfikisha. To yeye au Demi au Antonnia au Depal au everlenk au miss chuga au Dejane anaweza kukuthibitishia
 
Nipo hapaaaaaaa
Nakusubiria🙇🙇🙇🙇🙇! Ukifanikiwa niite mbwaaaaaaa tena mbwa mwituuuuu! 😉
Siwezi kula mbwa! Miminakula wanawake kama wewe tu. Hivyo siwezi kukuita mbwa hata siku moja. Vuta subra
 
Back
Top Bottom