Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano

Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano

Siwezi kula mbwa! Miminakula wanawake kama wewe tu. Hivyo siwezi kukuita mbwa hata siku moja. Vuta subra
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴
 
Barikiwa
 
Kiburi hutegemea ulianza nae vipi na mlienda vipi hadi kufikia hatua ya kuonyeshwa kiburi na mkeo.

Wanawake kama watoto huwa wana akili ya kujaribu. Mtoto humjaribu mzazi kuona kama akifanya mambo ya aina fulani ambayo watoto wengine hupigwa yeye atafanywa nini. Mzazi kadiri anavyomchekea au kukaa kimya ndivyo na mtoto atazidi kumjaribu na kuzidi kuvuka mipaka na hatimae kuwa sugu na kuanza kuwakosea adabu watu wazima wengine katika jamii. Usimporudi mapema utalipia gharama kubwa kama mzazi.

The same kwa mwanamke ambaye hajalelewa kwa misingi ya adabu na heshima. Hawa wanawake wengi wa miaka hii tunakutana nao wametokea mashuleni wakaunga vyuoni hawakuwahi pata muda wa kukaa na mashangazi na mabibi wakashape kimaadili kuwa wanawake wa kuishi na wanaume.

Wanaonekana na miili ya kiutu uzima ila trust me wengi wao bado ni mabinti wa miaka 12 ndio maana kuna muda wanafanya upumbavu wa kitoto hadi unajiuliza hivi hii takataka nilitoa jalala gani.

Cha kufahamu ni kitu kimoja, namna unavyoanza na mwanamke ndivyo itakupa picha mtaishi vipi. Vijana wengi tunaingia katika mahusiano kwa kuwabembeleza wanawake as if ukishamuoa kuna cheque ya mamilioni kutoka hazina itakuwa inatumwa kila mwezi kwa kuwa nao. Kosa huanzia hapa.

Mapenzi unabembeleza na pesa wewe ndie unaetoa kwenye kila kitu,kila unachotaka ni hadi ubembeleze,unapiga goti kuvisha pete, kuishi nae kwa masharti mara sijui unitoe out, uninunulie zawadi sijui unipe mauwa. Huyu mtu katika utafutaji na kipato hakuchangii hata 0.5% ya mapato ila yeye anatumia zaidi ya 50% ya mapato yako "Pekee yake" na 50% unayosalia nayo anaitataka kushare na wewe pia.

Huyu mtu namna unavyomtreat kama malaika ndivyo na yeye anajiovervalue juu yako kuwa yeye ni muhimu juu yako. Anajiweka juu yako na anajua anaweza kukufanya chochote. Make a statement the first time akileta upuuzi wowote ule ambao ni wa kuvuka mipaka. Mwambie kuwa thats the very first and last time utavumilia huo upuuzi. Na kama atajirudia hautaweza vumilia na utamuacha. Period. No discussion. Kama yeye ni mzuri na anajiona anaweza kuwa na mwanaume yoyote then aendelee na upuuzi wake piga chini aende huko kwa watakao muona malaika.

Usicheke na upuuzi wa mwanamke dharau anazokufanyia huwa anazidunduliza na kila mpaka anaovuka ukamchekea anaona ni go ahead ya kuendelea kukuvunjia heshima zaidi. Usimpige (kama hajaleta dharau kali kama kukutukana au kurusha mikono) kama kosa lake ni la kawaida,muonye na umkanye asirudie tena na umpe maelekezo kuwa ipo siku akija fanya huo ujinga tena ndio itakuwa hatima yenu. Wanawake wanaheshimu sana mwanaume anayelinda mipaka yake na kuitetea na wanadharau sana mwanaume ambaye hana mipaka wala hajitetei pale anapofanyiwa uvamizi wa mipaka.

Me nadhani ifike wakati vijana tuanze kuwa serious. Kama unaweza kuogopa maisha bila mwanamke anayekusumbua kichwa na kusambaratisha mapato yako bila huruma tena mtu huyu huyu ukifilisika guaranteed ataondoka na kukuacha solemba kwa kisingizio cha kuwa maisha hayawezekani pamoja, why usiogope kuwa na mtu anaye tafuna kipato chako kwa 50% ambacho ukikiweka akiba na baada ya miaka kadhaa hicho kipato kikaja kukubeba hata ukianguka kiuchumi.

Heshimu pesa yako bro. Rafiki yako ni mfumo wako wa pesa tu ufanye kuwa rafiki yako wa kwanza asitokee mtu yoyote akacheza nao. These women are not loyal to you, the are loyal to their feelings and emotions and they are only interested in your wallet and assets not you. So why sacrifice like a dumbazz?! Why let anyone touch your money.
 
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.

Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea

Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi anamuoneshea mwanaume live live lakini mwanaume kimya

Je tuambiane kitu gani kinamfanya mwanamke anajihamini kiasi hikii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Hapo ni kuwa TAYARI ANAKUWEZA
Waswahili wanakwambia KUKU WANGU MANATI YA NINI?
 
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.

Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea

Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi anamuoneshea mwanaume live live lakini mwanaume kimya

Je tuambiane kitu gani kinamfanya mwanamke anajihamini kiasi hikii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Itakuwa limbwata
Na mwanaume kuwa legelege
 
Unitag ukiupata

Hiyo hapo Antonnia
 
Hiyo hapo Antonnia
khakhakhaaaa! Chiziiiii weweee!!! Naona uzi umekugusaaaaaa😂😂
🍆 lako lilikua legelegeee umebustiwaa na dawa saiii wajifanya certified kitombii ! Mfyyyuuuu!
 
khakhakhaaaa! Chiziiiii weweee!!! Naona uzi umekugusaaaaaa😂😂
🍆 lako lilikua legelegeee umebustiwaa na dawa saiii wajifanya certified kitombii ! Mfyyyuuuu!
Ulinigusa maana tangu nizaliwe haijawahi kusimama! Siamini kuna dawa, kama unaifahamu njoo nayo
 
Sababu kubwa ni mwanaume kushindwa kuelewa the true animal nature in her, kila mwanamke ana kiburi ukishindwa kumtrigger anavyotaka. kuna wale wnawake anakuelewa cuz ana natural weakness kwa wanaume aina yako, so unashangaa mbona demu hapindui, it's because unamtrigger by default. Ndio maana naonaga mwanamke ili awe mtiifu ni muunganiko wa vyote, kwanza mwanamke awe ready kusubmit ila pia mwanaume kuonesha unastahili utiifu, i mean, you should earn it.
In other words UWE NA PESA. UWONGO??
Maana pesa ndo trigger kuu..
 
Back
Top Bottom