Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano


"These women are not loyal to you, the are loyal to their feelings and emotions and they are only interested in your wallet and assets not you. So why sacrifice like a dumbazz?! Why let anyone touch your money."

Chief pata 🍿🍿🍿 Kwanza hlf mangi atahusika na soda popote ulipo
 
Hapo kuna maono ya pande zote mbili;
.
Mwanamke yupo kwa ajili ya kumfanya mwanaume wake awe bora, hivyo anapohisi tu kuwa mwanaume wake anatetereka lazima aanze kuleta ujeuri, hasira, changamoto na mambo mengine ya ajabu ajabu (Mungu mwenyewe anajua) ili huyo mwanaume arudi kuwa bora zaidi.
Katika hizo jeuri mwanamke mara nyingi humaanisha "kuna sehemu umelega na hunipi changamoto, umekuwa sio kichwa tena hivyo fanya mpango ubadilike urudi kuwa kichwa", japo hawezi kukupa makavu hivyo bila chenga, ni wanawake wachache wanaweza kufanya hivyo. Na kwa kuwa huyo mwanaume hatambui huo ujumbe uliofichika hapo hubaki kulalamika tu mwanamke wake kawa jeuri, kiburi na mwenye hasira alafu hafanyi kitu kitu kinachomkera zaidi mwanamke wake na kuongeza jeuri, kiburi na hasira.
Kuna GF nilikua nae, katika kudate nikaanza kutetereka, namuachia maamuzi afanye yeye, tukitaka kwenda sehemu naacha achague yeye na kila kitu apange yeye, sijiamini amini nahofia wenye hela wakija watamchukua, kila kitu akiniomba nampa, mwishowe akanichoka kwa kuwa simpi changamoto akaanza kuleta kiburi na jeuri ili tu niweze kubadilika mambo yarudi kama zamani, lakini maskini ya Mungu kipindi iko sijui ata nini cha kufanya mpaka mwisho wa siku demu mwenyewe ndo akaniambia "ebu kua bhana, kuwa mwanaume". Tangu siku hiyo nipo makini kusoma ishara za mwanamke mapema.
.
Mwanaume anayekubali kufanyiwa hivo huwa ni dhaifu, na mwanamke yoyote akikutana na mwanaume dhaifu lazima ampande kichwani.
.
Mara nyingi inatokea pale mwanaume anapokua amesharidhika na hataki kufanya kazi sana kama alivokua anafanya kipindi anatongoza kulinda heshima yake na hajui amuachaje huyo mwanamke, basi anajipa moyo kwenye hayo mateso anayopitia kwamba akichoka ataondoka mwenyewe.
 
Huu msimamo umenisaidia sana kwa manzi wangu. Kuna kipindi alikuwa analeta pigo za kujiovervalue saivi kawa mpole
 
💯🤝 mwenye kusikia na asikie. Tuliotumia hizi mbinu tumejionea zikifanya kazi
 
kuoa mwanamke mwenye kijiajira huku ukijidanganya "kusaidiana maisha"
 
Umeongea ukweli mtupu kaka
 
Kuna wengine malezi na makuzi yao yamewafanya wawe hivyo.
Ukitakuwa na ndoa yenye tabu zote, basi oa mkoa jiran na tanga pale
 
Jamani humu hamna stationery tufanyie lamination hii comment?

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
1. Mwanamke ukishindwa kumkojoza lazima awe na kisirani na awe na mambo ya Kibabe, dharau na kejeli kwako. (Hii ni sababu kuu)

2. Mwanaume ukishindwa kutenda wajibu wako wa kumtatulia matatizo yake yanayomsibu iwe matatizo ya Kimwili, Kiakili, Kiroho na kimwili ikiwemo mambo ya kiuchumi ni rahisi kukudharau.

3. Mwanaume ukishindwa kusimama katika nafasi yako kama Mwanaume hasa katika kusimamia maamuzi na Misimamo ya kiume, akakuona ni MTU wa kupelekeshwa na kila MTU mara Mama yako, mara Dada zako, mara majirani, mara wafanyakazi wako wanakukosea heshima alafu unachekacheka kama Zuzu, akigundua na kuthibitisha Jambo hilo lazima naye akujaribu kupima upepo. Ukijaa umekwisha.
 
1.Umri
2.Hela
3.Nyadhifa

Ila mwanamke hua ana tabia ya kutest...!!akikujibu hovyo ukanyamaza...kesho yake antakulamba kkofi kidg...kesho kutwa utapewa ngumi...mtondogoo nd utaanz akupigwa na mwiko

Just kuwa na msimamo tu...ukinyanyua mkono kamwe usiushushe
 
1: Nguvu ya pesa hana mwanamke anakuona mchosho
2: Nguvu ya uume , kama Ni kamoja mpaka mwezi uandame inakuwa shida.
3: Asili na makuzi ya mwanamke. Wanasema ukitaka kuoa mwanamke angalia jinsi anavyomuheshimu baba yake na kumujali. Kuna familia zingine mama ndiyo Baba wa nyumba amri zote utoka kwa mke hapo usiguse atataka kukufanyia wewe Kama Mama yake anavyomufanyia baba yake.
4: Mwanamke kwenda nje ya ndoa inaleta kiburi ndani Tena sana anakuona choo muda wote.
5: Kama mwanamke ana uchumi mkubwa kwetu uku Africa inakuwa shida, mwanaume unakuwa treated Kama shamba boy wake.
6: Kama amekuzidi elimu umo ndani ya nyumba unaonekana kuli. Kama amekuzidi elimu basi ukwasi kwa upande wako uwe mzuri hapo ataweka kichwa chini kama Cha mbuni.
 

Attachments

  • IMG-20230126-WA0064.jpg
    45.3 KB · Views: 14
Huu msimamo umenisaidia sana kwa manzi wangu. Kuna kipindi alikuwa analeta pigo za kujiovervalue saivi kawa mpole
Why treat her like gold? Lazma uoneshe ulumendago. Thats how we keep them ladies straight. Unamkanya kwanza kuwa aache ujinga thats not funny.

Akizingua tena tia vibao viwili and show her that you mean business. Kama ana akili she will never try again to act stupid. Akizingua be ready to drop her out of the scene aone kuwa hata asipokuwepo hamna kitu kinachange.
 
Umemaliza kila kitu
 
Kiburi cha mwanamke ni zao la malezi tabia ya binti na mama hazipishani.
 

Ukikosea kuoa huwezi mbadilisha mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…