Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano

Suala la mwanaume kukaa kimya hapa ni ishu ya emotional intelligence, wapo watu hawaumii wengine upuuzwa na kutake easy, kumchukulia mwanamke SAwa na limbukeni tu.
KILA mmoja ana namna yake ya kuchukulia mambo
 
Ulivyomzoesha tu

Mwanamke anaangalia vitu kadhaa
1.akileta dharau una respond vip?msimamo

2.Una maisha kiasi na umejipanga kiasi gan kukabili uchumi wako

3.Una jeuri ya kuvunja mahusiano

Mwanaume usipokuwa na msimamo nini unataka nini hutaki, huwezi kuishi na mwanamke ni lazima tu atakudharau..

Mwanaume usipojua unaelekea wapi kwenye maisha na uchumi huna napo ni lazima tu mwanamke atajaribu kukudharau

Mwanaume usipokuwa na jeuri ya kuvunja mahusiano na ku move on na maisha Yako. Mwanamke ni kama nafsi.BibliA imesema apendaye nafsi yake basi ataipoteza and vice versa...

Mwanaume anaitwa mwanaume sababu ya maamuzi basiiiiiii vinginevyo nyongeza tu ndo mana unakuta mtu anampa mwanamke kila kitu na ni tajiri lakini mwanamke ana mdharau lakini mwingine ana maisha ya kawaida tu pengine maskini kabisa lakini anaongea kauli moja mwanamke anatii..Mmoja anakuwa kaweka msimamo wake mezani kwamba tunaishi wote ila siku utakayo anza dharau UNAONDOKA KWENU bora niishi mwenyewe kuliko kuishi na mwanamke anayenidharau na akizingua anarudi kweli anakaa mda anaotaka yeye hafuatwi wala kujuliwa hali,akirudi arudi na magoti hataki aende akaolewe huko anapotaka yeye na sisi tutaoa...

Uwezo na ujasiri wa kuoa inabidi uendane na uwezo na ujasiri wa kuacha...Ukiweza hayo utaishi na mwanamke yeyote yule tena utashangaa mnazeeka pamoja.

Mnaooa bila kuwa na uwezo wa kuacha ndo mnataka kupiga mtu mapanga kisa mmeshindwana.

Na hapo kwenye msimamo hupaswi kuwa na msimamo hadi kwenye vitu vdg vdg vya kijinga,mke karudi saa 3 usiku badala ya sa 2 wewe unataka kufukuza,Nope.

Simamia vitu vichache vya msingi mfano usaliti,dharau/kiburi na ushirikina sitaki hapa kwangu...Ishia hapo Sasa yeye mwache aruke aruke weee ila akisogelea hizo sehemu zako ni onyo au red card kulingana na kosa lenyewe..Kifupi asiwe km mfungwa ila ajue mipaka yake
 
💯🤝
 
Ngoja niscreenshot hii inaweza nisaidia baadae
 
Sina uzoefu sana ila kikubwa nahisi itakuwa ni ukosefu wa fedha tu.
 
Umeongea point kubwa sana
 
Hakuna anaeweza kujua nini wanawake wanataka na hayupo aliyefanikiwa kumridhisha mwanamke. Fanya mambo yako, akizingu mzingue, maisha yaendelee
Mi naona wewe kama umesema vyema maana hata wenye pesa wanakomolewa na wake bado. Yani ukiwa na pesa utasikia mara humridhishi, mara kibamia, ukiwa mwanaume mashine na unamridhisha na una pesa mara utasikia nilikupendea pesa zako tu... Yani basi mwanaume unakoma mpaka unataka kuimba mapenzi aleluya. Ila wao wanajua nini sisi tunataka na bado watatubania wakijisikia tu. Yan mpaka ukutane na mwanamke Mungu ameruhusu kweli awe wako maishani unaweza kuwa kama mwanaume umenusurika kufa katika safari ya mahusiano.
 
Big brain [emoji1307]
 
Bro
 
Aisee kama nimesoma uhalisia na ukweli mwingi sana. Asanhte kwa kuni coach 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…