Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?


Msukuma ni mtu wa kila siku kufanya madili na ndio maana ana kesi chungu nzima za kukopa benki kwa ujanja ujanja hataki kulipa huku akijifanya mfanyabiashara maarufu!! Musukuma ndio aliyemsagia kunguni yule mkurugenzi kwa Jiwe kuwa alikuwa amenunua gari bila kufuata utaratibu kumbe ni uongo!!
Kama ni suala la kupenda pesa hakuna tofauti kati yao; wawe wa mjini au wa shamba wote ni sawa; kitu kinachowaunganisha ni chama chao kinachowafuga hao chawa!!
 
Nimemsikikiza vizuri ngosha the don, msukuma ana point, wasilete bla bla wajibu maswali ya msukuma..

Tanzania nchi ya hovyo kabisa.
 
mpaka sasa hakuna ushahidi wowote kwamba Waziri ameshindwa kuisimamia Wizara, kilichopo tunachokiona ni majungu na kinyongo baada ya Waziri aliyetangulia kupigwa chini.


Hakuna ushahidi umeme unakatika kwenye karo la maji machafu?!😢😢😢 zero brains at work
 
Aombe awe mkolosai
 
Wanachofanya Makamba na Msukuma ni siasa
Wewe badala ya kujadili mada umeanza personal attack
Unajua maana ya personal attack? Personal attack ipo kwenye majibu ya huyo boss wako unayemtetea hapa.
 
Umeandika mawazo yangu kwa sehemu kubwa sana.!
 
Acha kujifagilia na upungu wako! Eti 'kisomi'! Msukuma ndio aliyeuliza swala kitaalam ila huyo waziri asiyejielewa ndio anaweka bra bra na baadae anakimbilia kujificha kwenye sketi ya mama! Aibu kabisaa!
 
Kwa hiyo makamba ni mwakilishi wa rais kwenye mambo ya kuwaumiza wananchi upande wa umeme?
1. Kutoka 27,000 ya kipindi cha Kalemami na Magu,mpaka laki 320,000 kipindi hiki cha mwakilishi makatani. Kuingiza umeme
2. Kutoka bure kipindi cha Kalemani na Mag mpaka unyang'anyi wa elfu 1 wa unapojaza umeme kipindi hiki cha mwakilishi makatani
3. Kutoka 0.01% kukatika katika umeme kipindi cha Kalemani na Magu mpaka 52% ukatikaji umeme kipindi hiki cha mwakilishi makatani
4. Nasikia wako mbioni sijui wameanza. (Wanafuta matumizi madogo. Mfano ukinunua umeme wa 9000 ilikuwa unapata unit 75 kwa sasa unaweza kupata hata unit 20 tu kwa pesa hiyo kipindi hiki cha makatani
Huo ndio utofauti uliopo utendaji wa makatani
 
Kwa kifupi kabisa huyu mtu anaitwa Musukuma ni mtu wa hovyo sana na mpenda fitina za kijinga. Ameumiza watu wengi kwa fitina zake za hovyo. Naamini watawala wameelewa uhuni wake. Niishie hapo, inatosha.
Mbona sasa Serikali huyafanyia kazi mambo mengi anayoyasema? Kosa ni lake au hiyo Serikali? Mfano, Rais Samia ameagiza DED wa Geita Vijijini achunguzwe baada ya kutuhumiwa na Dk. King Musukuma. Je, ikibainika ni kweli, akatenguliwa kosa ni nani?
 
Mbona sasa Serikali huyafanyia kazi mambo mengi anayoyasema? Kosa ni lake au hiyo Serikali? Mfano, Rais Samia ameagiza DED wa Geita Vijijini achunguzwe baada ya kutuhumiwa na Dk. King Musukuma. Je, ikibainika ni kweli, akatenguliwa kosa ni nani?
Kila siku yeye na ma DED tu, ana shida huyo
 
Makamba hovyo tu
 
Sukuma gang zamu yenu imeisha kubalini tu sasa wenye nchi yao wanayo na wanafanya mambo kisomi sio hadithi za kusadikika kuwa tunaweza kusaidia nchi za ulaya kwakuwa ss ni matajiri sana
 
Wewe unaonyesha kabisa katika uandishi wako ni kumtetea Makamba, kajibu vipi kisomi kwa kusema eti kama shida ni Uwaziri wangu useme, hayo ndo majibu ya kisomi au ndo ninyi wasomi wetu wa siku hizi hamko analytical unaona na hiyo ni pointi ya kisomi? Thinking Tanks wanamchora tu huyo mpigaji Makamba hajawahi kuwa muadilifu hata siku moja bali ni blaaa blaaa tu na kuwaibia CHADEMA kura kwenye Uchaguzi Mkuu. MAKAMBA SI MUADILIFU.
 
January ni mtoto wa mjini ifike pahali Msukuma atulie kwanza,watoto wa mjini wapo kwenye system acha wafanye ya kwao.
mama Samia ndo kamteua Makamba na anajua kinachotakiwa kifanyike kwenye swala la umeme.
Sasa Musukuma ni Mtoto wa Mjini kuliko huyo Makamba, kuitwa Musukuma siyo kigezo cha kutokuwa Mtoto wa Mjini, moja ya sifa yake ya Umtoto wa Mjini ni kutunukiwa PhD akiwa na sifa ya LY (Last Year/ Darasa la Saba), je Makamba anacho hicho kitu? Achana kabisa na Musukuma uliza tunaomfahamu tukueleze we ma mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…