Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea!

Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume hayupo tiyari.

Na Je, mpka mtoto anazaliwa mwanamke hakumpanga mwanaume wake na kama mwanamke anafahamu mwanaume wake hana uwezo wa kulea mimba na mtoto kwanini wali sexy siku za hatari?

Hebu tuanzia hapaa

1619946556553.png
 
Vijana wa Sasa ,mnakimbia Majukumu yenu sanaaaa

Na kusingizia wanawake... Sasa nawanao wameona,kuliko kukosa kila kitu,bora wawe na watoto.

Vijana wa siku hizi ni OVYO SANA.
My man carlos. kachukue whiskey expensive sana. gharama zote on me
 
Hiyo inatokana na mambo mengi hasa kwa wanawake, Kwanza tamaa ya pesa,,au dhiki pia inachangia na kupelekea kutoa K ili maisha yaende.

Na pia kuna tabia ya baadhi ya wadada hutegeshea ili apate mimba akiamini ataolewa huku jamaa akiwa hana mpango huo.

Zaidi nawapa salaamu single mama wote popote mlipo
 
Kuna mmoja nipo nae utamu ukikolea utasikia baby nimwagie baby nimwagie yote wakati huo kakukaba kama anataka kukutoa roho sasa hata likitokea la kutokea nani mwenye makosa!?,wakati mimi nimefuata tu maelekezo!
 
Utasikia "nanihii nakojouwa.........jibu; kojolea tu humo humo ndani
 
Vigezo wanavyovitaka hawa dada zetu ndo sababu utasikia mimi nataka mwanaume
Mwenye hofu ya Mungu
Nataka mwenye kazi inayoeleweka
Mwenye usafiri
Anaejua kuvaa
Nataka awe mrefu
Akishazalishwa na kutelekezwa ndo hapo sasa hawanaga vigezo utasikia mwanaume ni mwanaume tu
 
Vijana wa Sasa ,mnakimbia Majukumu yenu sanaaaa

Na kusingizia wanawake... Sasa nawanao wameona, kuliko kukosa kila kitu, bora wawe na watoto.

Vijana wa siku hizi ni OVYO SANA.
Majukumu gani kwa mwanamke ambaye sio mkeo tatizo ni wanawake wenyew wamekuwa wadangaji siku hiz
 
Majukumu gani kwa mwanamke ambaye sio mkeo tatizo ni wanawake wenyew wamekuwa wadangaji siku hiz
Usipende kufanyiwa jambo fulani wakat wewe hupendi kumfanyia mwenzio hivo.

Sheria ni sheria.. Mjali kama mwanamke wako,nayeye akupe Mzigo.

Ukiona ngumu, nibora uende ununue ma Bar Maid .

Lkn kwa habari ya mahusiano kila mmoja laxima awe Muwajibikaji na muhusika wa matokeo ya mahusiano yenu.

Sio kupachika mimba na kukmbia.
 
Chanzo ni kukwepa majukumu kutokana na mimba zisizotarajiwa...hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo
 
Hiyo inatokana na mambo mengi hasa kwa wanawake, Kwanza tamaa ya pesa,,au dhiki pia inachangia na kupelekea kutoa K ili maisha yaende.

Na pia kuna tabia ya baadhi ya wadada hutegeshea ili apate mimba akiamini ataolewa huku jamaa akiwa hana mpango huo.

Zaidi nawapa salaamu single mama wote popote mlipo
Napendekeza ujengewe Sanamu k/koo.
 
kutotumia P2 vyema
as kumwaga ndani ni lazima kwa kila bao
 
Back
Top Bottom