Nini chimbuko la Vita vya Uhujumu Uchumi - 1983-84?

Is there possibility kuwa Tanzania mpaka sasa haijajiandaa kujijenga kiuchumi na miundo mbinu kulingana na ongezeko la raia na kusambaa kwa watu kutanda nchi nzima?

Ikiwa motisha wa uhujumu ulikuwa ni kujipatia cha ziada, tukirudi kwenye theory zetu za supply na demand, na hata hoja ya kuwa viwanda viliishia au mwanzo wa mapungufu ya bidhaa na huduma, je zilikuwa ni sababu ya 1. Uhujumu, 2. uongozi mbaya, 3. kukosekana utaalamu na ufanisi, 4. ongezeko la watu, 5. ushindani wa kibiashara na bidhaa kutoka nje, 6. kushuka kwa thamani ya shilingi, 7. njaa na ukame uliotawala kanda ya Afrika mashariki, 8. vita vya kagera, 9. ubeberu wa IMF na nduguze?
 
kuna hiyo document hapo nyuma ya kina Wangwe, tetesi ni kuwa ukisoma sana utagundua kiasi kilichokuwepo... i.e tupu!

Huh!?!? Kama kulikuwa hakuna hela (i.e. tupu, zero) kwa nini inabidi mtu uisome "sana" hiyo ripoti ili kugundua kiasi kilichokuwepo? Si namba hazidanganyi, au?
 
Zakumi,
Hakuna sababu kubwa kama Mapaka shume..!..Utawala wa Ethipian Airways hawana Mapaka shume (Mafisadi wa ndani) kama sisi, yawezekan wakawa na Nguchilos (mafisadi wa nje)..Kisha Kumbuka mkuu wangu Ethipian Airways ilianza toka mwaka 1948 na Wamarekani nafikiri ilikuwa TWA kama sikosei kufungua tawi lao Afrika...
Na ktk miaka ya 80 wamechukua tuzo za DUNIA kama Airline bora mara tatu, Marubani bora mara mbili kwa hiyo huwezi kabisa kupima vitu hivi viwili...
Ktk swlaa la Kubinafsisha ATC hatukulazimishwa isipokuwa ktk kuchukua mikopo mkuu wangu ni lazima uweke rehani..Kama huna cha kuweka rehani mwenye kutoa mkopo anakuwa na masharti yake. Acha hizo benki za Dunia hata wewe ukitaka kunipa Mkopo mimi hapa Mkandara utataka kupata uhakika wa mkopo wako kurudi aidha niweke rehani shamba langu, gariu langu au hata mke wangu.. kama siwezi basi utaniwekea masharti ya fedha hizo kutoka...inawezekana ukasema ni lazima nishirikiane na mdogo wako ktk shughuli hiyo..
Hiki ndicho kinachoendelea siku zote ktk mikopo yetu, tunalia masharti magumu ni kwa sababu hatuna kitu benki.... hatuna kitu.. mwalimu alivuta ndege mbili mpya toka Boieng, leo ati tunadai tuna akiba tunaenda nunua ndege zilizokwisha simama zimewekwa uwanja wa kuuza parts!..Kama sio mapaka shume kitu gani mkuu nambie wewe..
Damn ni aibu mkuu wangu ni aibu kubwa kujaribu kufikiria unaweza kubadilisha maisha ya wakazi wa uwanja wa fisi kwa kutumia vitabu.. Hapana ni lazima uishi uwanja wa fisi (nchi maskini) upate kuelewa maisha yao, mazingira yao, tabia zao na taabu wanazopitia kisha ndo unapanga strategy na vipaumbele..Unaposema swala hili ni complex ni muhimu ujue kwamba hakuwezi kutegemea kitabu lingekuwa sio complex nakubali vitabu vinaweza kabisa kujibu..

Mkandara:

Nilikuuliza swali na Ethiopian Airline kuonyesha kuwa hata uwanja wa fisi unaweza kuendesha vitu kwa ufanisi. Na ufanisi unatokana na kitu ulichokisahau, kinaitwa management.

Wewe na Mwanakijiji mnafikiri kuwa unaweza kuvianzisha vitu na kuendelea kwa bahati nasibu.

Ethiopia Airline aiendeshwi kwa bahati nasibu ni kitabu kinatumika pale. Kuna statistics zinatumika. Hakuna excellence inayokuja bila kutumia elimu.

Nyerere kununua ndege mbili kutoka Boieng ni kitu kidogo sana. Kitu kikubwa kiko katika uendeshaji, mpaka sasa unashindwa kueleza kitu chochote Nyerere alichofanya kuendeleza hiyo ATC baada ya kununua hizo ndege.

Unaposema katika masuala complex kitabu hakiwezi kutumika sijuhi mwenzangu vitabu vya maarifa ulishika lini kwa mara ya mwisho. Maana kuna watanzania wengi baada ya kumaliza shule, basi kila kitu kinawekwa pembeni.

Kwa taarifa tu wapo watu waliobobea masuala ya vitu vilivyo complex. Failure ya projects nyingi za Tanzania zilishatokea katika nchi nyingi tena zilizoendelea.

Hivyo basi you are dead wrong unapolinganisha failures hizo na umasikini wa nchi zenyewe. Uwanja wa fisi haufanyi miradi ku-fail. Ni knowledge base ya uendeshaji wa biashara hiyo unayofanya biashara ku-fail.

Mpaka sasa maelezo yako mengi yame-base kwenye kuwepo kwa mashirika huduma na viwanda vya uzalishaji. Hivi vitu vilianzishwa tu
lakini vilikuwa na kasoro kubwa katika uendeshaji wake.
 
Is there possibility kuwa Tanzania mpaka sasa haijajiandaa kujijenga kiuchumi na miundo mbinu kulingana na ongezeko la raia na kusambaa kwa watu kutanda nchi nzima?

Ikiwa motisha wa uhujumu ulikuwa ni kujipatia cha ziada, tukirudi kwenye theory zetu za supply na demand, na hata hoja ya kuwa viwanda viliishia au mwanzo wa mapungufu ya bidhaa na huduma, je zilikuwa ni sababu ya 1. Uhujumu, 2. uongozi mbaya, 3. kukosekana utaalamu na ufanisi, 4. ongezeko la watu, 5. ushindani wa kibiashara na bidhaa kutoka nje, 6. kushuka kwa thamani ya shilingi, 7. njaa na ukame uliotawala kanda ya Afrika mashariki, 8. vita vya kagera, 9. ubeberu wa IMF na nduguze?

Katika hizo tisa zangu ni mbili tu. Yaliobaki ni siasa.
2. uongozi mbaya,
3. kukosekana utaalamu na ufanisi,
 
Huh!?!? Kama kulikuwa hakuna hela (i.e. tupu, zero) kwa nini inabidi mtu uisome "sana" hiyo ripoti ili kugundua kiasi kilichokuwepo? Si namba hazidanganyi, au?

icon10.gif

Hile paper haikupi namba moja kwa moja. Inabidi ufanye deduction. Ninaweza kutoa hints tu, jinsi ya kuitumia hiyo paper kupata number.

hizi ni hints:

-Mwaka 1984 sehemu kubwa la pato la taifa lilitegemea uuzaji wa mazao ya kilimo.

-Mwaka 1984 kilikuwa ni kipindi cha ukama. Hivyo mapato yalipungua kutokana na ukame.

-Mwaka 1984 (mpaka sasa) zaidi ya 50% ya bajeti ilitegemea wahisani. Wahisani wengi walijitoa kushinikiza mabadiliko.

-Mwaka 1984 bei ya mafuta ilikuwa sio nzuri kwa mtumiaji

-Mwaka 1984 Tanzania ilikuwa na uhusiano mbaya na vyombo vya fedha kama IMF.

Summary ya hizo hints ni kuwa hazina ilikuwa tupu.

Dogo watu wengi hawakwambii kuwa wapo broke, atakachosema ni kuwa hajapata paycheck yake au paycheck ya sasa anaitumia kulipa pango.

Matumizi yako ya maneno "hazina ilikuwa tupu" sio sahihi. Kuwa na bajeti tegemezi zaidi ya asilimia 50 haimaanishi utupu! Ungesema asilimia 100 ya bajeti yetu ni kutoka kwa wahisani ungeweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani.

Sehemu kubwa ya pato la taifa mwaka 1984 kutegemea mazao ya kilimo haimaanishi utupu. Kama sehemu kubwa ilitegemea mazao ya kilimo, sehemu ndogo ilitegemea nini?

Kupungua kwa pato kwa sababu ya ukame haina maana tulikuwa tupu. Kupungua sio kuisha. Kama hujui maana ya maneno hayo tafuta kamusi.

Kupanda ama kushuka kwa bei ya mafuta sijui kuna husiana vipi na hazina yetu, hata hivyo, haimaanishi tuliishiwa kabisa. Labnda unambie tulipata msukosuko na ikabidi tujifunge mikanda.

Uhusiano mbaya na mashirika ya fedha haimaanishi tuliishiwa tukabaki hatuna hata shilingi moja.

Sasa nikuulize wewe, maana ya kuwa tupu ni nini? Ni kuishiwa kabisa na kuwa huna hata senti moja au ni kupungukiwa, let's say, kutoka shilingi mia moja hadi shilingi arobaini na tano?

Na mtu akikwambia kuwa yuko broke, wewe unaelewa anamaanisha nini? Kuwa hana kitu kabisa au?
 
Zakumi.. you I really like your style. Katika maandishi yako hapa chini umefanya vitu viwili (ambavyo sikutegemea kama ungevifanya)

a. Umefuta matumizi ya maneno "hazina ilikuwa tupu" kwa kuonesha kuwa tulikuwa na vitu vyetu sisi wenyewe, na ya kuwa upungufu wa fedha za kigeni haina maana kuwa hazina ilikuwa tupu. Kwa maneno mengine, kwamba kiongozi kuchagua kati ya "kugomboa meli moja" na kuhakikisha wananchi wake wana chakula kiongozi mzuri haendi kugomboa meli!

b. Pili umefanya jambo nililolisema tangu mwanzo kuwa matatizo ya 1984 kuyaweka juu ya mtu mmoja siyo ukweli wa historia na ya kuwa matatizo ya kiuchumi ya wakati ule yalikuwa complex. Wewe mwenyewe umesema yafuatayo ambayo nakubaliana nawe 100%

Hapa unaelezea the complexity of our economic situations at the time. (yaani siyo suala la uzalishaji tu na uongozi au sera mbaya)

check!

-Mwaka 1984 kilikuwa ni kipindi cha ukame. Hivyo mapato yalipungua kutokana na ukame.

Check! Nyerere hakuwa na uwezo wa kuzuia ukame; ukikumbuka vizuri ukame huo haukuwa exclusive to Tanzania. Ni wakati huo huo njaa kubwa kabisa ya Ethiopia ilitokea! Lakini kwanini Tanzania maelfu ya watu hawakufa kwa njaa? (wakongwe tunakumbuka "Unga wa Yanga na mafuta "From USA".

-Mwaka 1984 (mpaka sasa) zaidi ya 50% ya bajeti ilitegemea wahisani. Wahisani wengi walijitoa kushinikiza mabadiliko.

check!

-Mwaka 1984 bei ya mafuta ilikuwa sio nzuri kwa mtumiaji

check!

-Mwaka 1984 Tanzania ilikuwa na uhusiano mbaya na vyombo vya fedha kama IMF.

check! neno "mbaya" halitafsiri hasa kilichotokea; tulikuwa na uhusiano wenye mashaka na miaka michache baadaye tunajua ni kweli tulikuwa sahihi!

Summary ya hizo hints ni kuwa hazina ilikuwa tupu.

Sijui kama una mwalimu wa Logic kwa sababu the conclusion doesn't follow the premises! not in a long shot! Nice try though.

Dogo watu wengi hawakwambii kuwa wapo broke, atakachosema ni kuwa hajapata paycheck yake au paycheck ya sasa anaitumia kulipa pango.

Mtu akisema yuko "broke" ana mana hana fedha taslimu' lakini haina maana hana kitu kingine. Na mtu anaweza kuwa broke kwa sababu ya a. kutokuwa na fedha inayoingia au b. fedha inayoingia kwenda moja kwa moja kwenye matumizi c. yuko katika subira ya kupata fedha.

Hata hivyo matumizi yenu (wewe na JokaKuu) kuwa hazina ilikuwa tupu, still yanabakia kuwa was purposeful misleading kwa watu ambao hawajui historia ya nchi yao. Kwa vile umeifuta hiyo, tusonge mbele.

BTW: Nyani, majibu yako yamenifanya niteremshie na mirinda!
 
Matumizi yako ya maneno "hazina ilikuwa tupu" sio sahihi. Kuwa na bajeti tegemezi zaidi ya asilimia 50 haimaanishi utupu! Ungesema asilimia 100 ya bajeti yetu ni kutoka kwa wahisani ungeweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani.

Sehemu kubwa ya pato la taifa mwaka 1984 kutegemea mazao ya kilimo haimaanishi utupu. Kama sehemu kubwa ilitegemea mazao ya kilimo, sehemu ndogo ilitegemea nini?

Kupungua kwa pato kwa sababu ya ukame haina maana tulikuwa tupu. Kupungua sio kuisha. Kama hujui maana ya maneno hayo tafuta kamusi.

Kupanda ama kushuka kwa bei ya mafuta sijui kuna husiana vipi na hazina yetu, hata hivyo, haimaanishi tuliishiwa kabisa. Labnda unambie tulipata msukosuko na ikabidi tujifunge mikanda.

Uhusiano mbaya na mashirika ya fedha haimaanishi tuliishiwa tukabaki hatuna hata shilingi moja.

Sasa nikuulize wewe, maana ya kuwa tupu ni nini? Ni kuishiwa kabisa na kuwa huna hata senti moja au ni kupungukiwa, let's say, kutoka shilingi mia moja hadi shilingi arobaini na tano?

Na mtu akikwambia kuwa yuko broke, wewe unaelewa anamaanisha nini? Kuwa hana kitu kabisa au?

Ni viongozi wa juu kabisa waliotumia msamiati huo. Na ndugu Warioba na Mwinyi.

Lakini kwa sababu inaonyesha kuwa utupu ni msamiati mwenye utata. Basi naomba msamaha wajemeni.

Katika sehemu zote nilizosema kuwa Hazina ilikuwa tupu naomba ieleweke kuwa kulikuwa na ukame Hazina.
 
Umesamehewa na tusonge mbele!
 
Zakumi.. you I really like your style. Katika maandishi yako hapa chini umefanya vitu viwili (ambavyo sikutegemea kama ungevifanya)

a. Umefuta matumizi ya maneno "hazina ilikuwa tupu" kwa kuonesha kuwa tulikuwa na vitu vyetu sisi wenyewe, na ya kuwa upungufu wa fedha za kigeni haina maana kuwa hazina ilikuwa tupu. Kwa maneno mengine, kwamba kiongozi kuchagua kati ya "kugomboa meli moja" na kuhakikisha wananchi wake wana chakula kiongozi mzuri haendi kugomboa meli!

b. Pili umefanya jambo nililolisema tangu mwanzo kuwa matatizo ya 1984 kuyaweka juu ya mtu mmoja siyo ukweli wa historia na ya kuwa matatizo ya kiuchumi ya wakati ule yalikuwa complex. Wewe mwenyewe umesema yafuatayo ambayo nakubaliana nawe 100%

Hapa unaelezea the complexity of our economic situations at the time. (yaani siyo suala la uzalishaji tu na uongozi au sera mbaya)

check!

Check! Nyerere hakuwa na uwezo wa kuzuia ukame; ukikumbuka vizuri ukame huo haukuwa exclusive to Tanzania. Ni wakati huo huo njaa kubwa kabisa ya Ethiopia ilitokea! Lakini kwanini Tanzania maelfu ya watu hawakufa kwa njaa? (wakongwe tunakumbuka "Unga wa Yanga na mafuta "From USA".

check!

check!

check! neno "mbaya" halitafsiri hasa kilichotokea; tulikuwa na uhusiano wenye mashaka na miaka michache baadaye tunajua ni kweli tulikuwa sahihi!

Sijui kama una mwalimu wa Logic kwa sababu the conclusion doesn't follow the premises! not in a long shot! Nice try though.

Mtu akisema yuko "broke" ana mana hana fedha taslimu' lakini haina maana hana kitu kingine. Na mtu anaweza kuwa broke kwa sababu ya a. kutokuwa na fedha inayoingia au b. fedha inayoingia kwenda moja kwa moja kwenye matumizi c. yuko katika subira ya kupata fedha.

Hata hivyo matumizi yenu (wewe na JokaKuu) kuwa hazina ilikuwa tupu, still yanabakia kuwa was purposeful misleading kwa watu ambao hawajui historia ya nchi yao. Kwa vile umeifuta hiyo, tusonge mbele.

BTW: Nyani, majibu yako yamenifanya niteremshie na mirinda!

Hehehehe...make sure that Mirinda doesn't go down the wrong way otherwise unaweza ukapata kwikwi ya masaa 24! Mwenzio almanusura niende emergency room kwa kubugia Heineken bila mpangilio. Mwulize cuzin yako atakwambia....
 
Last edited:
Mkandara,Mwanakijiji,Zakumi
Ndugu zangu lazima tukubali makosa yetu ili tuweze kujirekebisha na hilo ndio tatizo letu la kwanza hatukubali responsibility zetu hadi leo hii na waafrika tuna history ya kung'an'ania madaraka na hilo always limekuwa against sisi wenyewe then mawazo yetu always hayalengi future yetu hebu jamani nielekezeni nina serious broblem ya kuelewa misingi tulioachiwa na Mwalimu mbali na Amani,Amani,Amani.We need to think beyond that.serikali zetu honestly hazina dira na hatufiki kwa sababu hatujui tuendako na ni hatari kubwa sana kuparamia gari bila kujua uendako wanajamii we need to think beyond political parties they don't do good to us rather than divide us I guess because of our culture,I will say the same thing to Zanzibaris na what we call muafaka.Why stress ourself let's use just a little bit of common sense.We need kujua tuendako ili tufike hakuna uchawi utakaotufikisha believe me najua ninalozungumza,hakuna uchawi ni uongozi bora wanajamii.Let's think about our children and grands and forget about ourself because kina Mwalimu wametumaliza and we can not afford kusubiri kulaumiwa na wtoto na wajukuu zetu because you know what ? they will be smarter than us and they will never understand us.We have a lot to answer if we don't make the right decision for their future because ours is done.Karne ya ishirini hatuna hata identification card and let's not compare ourself to other african countries guys because they have the same problems,learn from successful people if you wanna be successful.Thanks
 
Joseph Warioba said:
Mwaka 1985 hatukuwa na akiba ya fedha za kigeni. Tulikuwa tunashindwa hata kulipia meli moja ya mafuta.....

Zakumi,MKJJ,Nyani-Ngabu,Mkandara,

..naona ktk kuielezea hali ya kifedha ilivyokuwa hazina 85 turejee kauli ya Joseph Sinde Warioba, ambaye wakati huo alikuwa Waziri Mkuu.

..Zakumi ametoa listi ya economic challenges za wakati ule. lakini kila uongozi hukutana na challenges za aina moja au nyingine.

..umahiri wa uongozi wowote ule hupimwa kutokana na challenges ilizokutana nazo, hatua zilizochukuliwa, na matokeo ya hatua hizo.

..hakuna ubishi kwamba matokeo ya hatua za kupambana na uchumi miaka ile yalikuwa mabaya. uchumi uliendelea kutitia, na ilipofika 85 ndipo yakatokea hayo ya "Hazina na meli ya mafuta." kwa msingi huo hatua zilizokuwa zinachukuliwa hazikuwa nzuri.

..ndugu zangu, ikifika mahali kwamba kama taifa tunakuwa na option ya aidha kukomboa meli moja ya mafuta, au kushughulika na mambo mengine, ujue uongozi umelikoroga kweli kweli.

..naomba tuzingatie kwamba wakati huo serikali ndiyo walikuwa waagizaji wakuu wa mafuta. je, hali hiyo ingeendelea mwezi mmoja, miezi sita, au mwaka mmoja, hali ingekuwaje ndani ya nchi?

..HALI YETU KIUCHUMI ILIKUWA MBAYA SANA. NI VIZURI TUKAJIFUNZA WAPI TULIKOSEA ILI TUSIJE KURUDIA MAKOSA YALE.

NB:

..Zakumi umetoa hoja kwamba bei ya mafuta ilipanda miaka ya 80. naomba kukumbusha kwamba hali hiyo ilitokea miaka ya 70 na uchumi wetu haukuyumba sana. kwa msingi huo miaka ya 80 tulitakiwa tuwe na uwezo na maandalizi ya kupambana na hali hiyo.

..pia kwa nchi inayotegemea misaada kwa zaidi ya 50% ya budget, siyo busara kuwa na mahusiano mabaya na wafadhili wetu na vyombo vya fedha vya kimataifa.
 
Hakuna mtu aliyebisha kuwa hali ya mwaka 85 ilikuwa mbaya. Kama kuna mtu anadhani sisi hali yetu ilikuwa mbaya kihivyo, basi aangalie picha na asome habari za nchi kama Ethiopia wakati huo....

Na when push comes to shove, mimi nitamchagua kiongozi atakayehakikisha watu wake hawafi njaa kuliko yule atakayeweka kipaumbele kugomboa meli.....
 
Zakumi.. you I really like your style. Katika maandishi yako hapa chini umefanya vitu viwili (ambavyo sikutegemea kama ungevifanya)

a. Umefuta matumizi ya maneno "hazina ilikuwa tupu" kwa kuonesha kuwa tulikuwa na vitu vyetu sisi wenyewe, na ya kuwa upungufu wa fedha za kigeni haina maana kuwa hazina ilikuwa tupu. Kwa maneno mengine, kwamba kiongozi kuchagua kati ya "kugomboa meli moja" na kuhakikisha wananchi wake wana chakula kiongozi mzuri haendi kugomboa meli!

b. Pili umefanya jambo nililolisema tangu mwanzo kuwa matatizo ya 1984 kuyaweka juu ya mtu mmoja siyo ukweli wa historia na ya kuwa matatizo ya kiuchumi ya wakati ule yalikuwa complex. Wewe mwenyewe umesema yafuatayo ambayo nakubaliana nawe 100%

Hapa unaelezea the complexity of our economic situations at the time. (yaani siyo suala la uzalishaji tu na uongozi au sera mbaya)

check!

Check! Nyerere hakuwa na uwezo wa kuzuia ukame; ukikumbuka vizuri ukame huo haukuwa exclusive to Tanzania. Ni wakati huo huo njaa kubwa kabisa ya Ethiopia ilitokea! Lakini kwanini Tanzania maelfu ya watu hawakufa kwa njaa? (wakongwe tunakumbuka "Unga wa Yanga na mafuta "From USA".

check!

check!

check! neno "mbaya" halitafsiri hasa kilichotokea; tulikuwa na uhusiano wenye mashaka na miaka michache baadaye tunajua ni kweli tulikuwa sahihi!

Sijui kama una mwalimu wa Logic kwa sababu the conclusion doesn't follow the premises! not in a long shot! Nice try though.

Mtu akisema yuko "broke" ana mana hana fedha taslimu' lakini haina maana hana kitu kingine. Na mtu anaweza kuwa broke kwa sababu ya a. kutokuwa na fedha inayoingia au b. fedha inayoingia kwenda moja kwa moja kwenye matumizi c. yuko katika subira ya kupata fedha.

Hata hivyo matumizi yenu (wewe na JokaKuu) kuwa hazina ilikuwa tupu, still yanabakia kuwa was purposeful misleading kwa watu ambao hawajui historia ya nchi yao. Kwa vile umeifuta hiyo, tusonge mbele.

BTW: Nyani, majibu yako yamenifanya niteremshie na mirinda!

Mwanakijiji:

Kwanza nataka uniondoe kwenye kundi moja. Kuna watu wanataka kupinga kuonyesha kuwa awamu fulani ilifanya vibaya kuliko nyingine. Na hayo ndio yamekuwa mabishano makali katika forums za watanzania.

Mijadala kama hiyo mimi simo. Serikali ya nchi huru ya Tanzania sio Utawala wa chifu Kimweli, Mkwawa, Mirambo, Mangi au Mangungu. Utawala wetu wa sasa ni complex system. Jambo dogo lolote katika system hii lineweza ku-triger matatizo mengi sana. Kwa mfano, kwa kiwango fulani nchi inategemea utalii. Lakini kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu kunaweza kusababisha watalii wasije na nchi kukosa mapato.

Kwa upande wangu yaliotokea 1984, yamekuza knowledge base yangu kama individual lakini sioni kama taifa limepata shule.

Hivyo ukiniuliza kuhusu uzalishaji wa chakula Tanzania. Kwa maoni yangu hiyo ni national security issue.

Nakumbuka kwenye mjadala mmoja ulisema kuwa 1962, 1974 na 1984 nchi ilikuwa na ukame. Na kwa kuongezea tu 1994 na 2005 nchi ilikuwa na upungufu wa chakula. Na ukiangalia kwa undani utaona kuwa kila baada ya miaka kumi nchi inakabiliwa na matatizo yale yale. Sasa tunashindwa nini kutengeneza tools za kukabiliana
na matatizo ya njaa? Mpaka leo tunatumia adhoc katika kupambana na matatizo ya wengi.

Ukielezea suala hili kwa undani, Mkandara atakuja na kusema kuwa unaleta vitabu katika uwanja wa fisi.

Nakubaliana na wewe kuwa masuala yalikuwa complex. Lakini maendeleo yanakuja kwa watu wanaokubali kukabiliana na vitu complex. Ukame hupo Marekani, hupo Ulaya. Lakini zipo tools zinazofanya ukame ukitokea, watu waendelee na shughuli zao bila kuelewa kuwa kuna Ukame.

Kitu kingine nilichojifunza ni kuwa nchi ni lazima ijitegemee. Hata kama kuna nchi zenye siasa zinazofanana na za kwako ni lazima uishi kwa ujanja wako mwenyewe.

Nchi za Nordic zilitubwetesha kwa sababu siasa zao zilifanana na za kwetu. Lakini interests zao zilipopunguwa, we were on our own. Hii ni sawa na Nguchiro na Paka shume wa Mkandara ambao umewazoesha kuwatumia vyakula vya bure, na siku bajeti yako imekwama unawaambie waende msituni kujitegemea.
 
Nyani Ngabu said:
Hakuna mtu aliyebisha kuwa hali ya mwaka 85 ilikuwa mbaya. Kama kuna mtu anadhani sisi hali yetu ilikuwa mbaya kihivyo, basi aangalie picha na asome habari za nchi kama Ethiopia wakati huo....

Nyani Ngabu,

..labda sijawaelewa vizuri MKJJ na Mkandara. lakini kila tukisema tulikuwa na hali mbaya in the 80s basi hawa wawili wanapandwa na hasira.

..off course, Ethiopia walikuwa na hali mbaya kuliko sisi. lakini pia zipo nchi kadhaa za kiafrika zilikuwa na hali nzuri kuliko yetu.

..ninachojaribu kusisitiza siku zote ni wa-Tanzania kujaribu kujifunza toka kwa wale waliofanikiwa zaidi yetu. pia tujifunze kuepuka makosa ya wale wanaofanya vibaya, kama Ethiopia etc etc.

..as long as kuna ya Kiafrika inayofanya vizuri, hata iwe ni moja, basi kuna kila sababu ya sisi pia kujitahidi kufanya vizuri.

Nyani Ngabu said:
Na when push comes to shove, mimi nitamchagua kiongozi atakayehakikisha watu wake hawafi njaa kuliko yule atakayeweka kipaumbele kugomboa meli.....

Nyani Ngabu,

..uchumi wetu ulikuwa unadhoofika mpaka 85 wakati Mwinyi na Warioba wanaingia ofisini ndiyo wanakuta hali kama hiyo. kwamba, hazina ina hali mbaya sana kiasi kwamba hawana hata uwezo wa kukomboa meli moja ya mafuta. hili halikuwa tukio la kushtukiza.

..ni hali ya hatari sana kwa nchi kama Tanzania kukosa mafuta. kuna shughuli nyingi sana za kiuchumi zingeweza kusimama.

..serikali inaweza kushindwa kutekeleza majukumu muhimu kama kuhakikisha wananchi hawafi njaa ikiwa kutakuwa hakuna mafuta. kwa mfano chakula kitasafirishwa vipi toka maeneo yenye surplus kupeleka kwenye maeneo yenye upungufu?

..ni kwasababu hizo hapo juu ndiyo maana wengine tunasema it was a critical moment, and we are thankful to the countries that came to our rescue.

Zakumi,

..nakubaliana na mwelekeo wa hoja zako. kama nilivyoeleza kila uongozi utakutana na challenges za aina fulani.

..suala hapa ni kuangalia njia ambazo tungetumia kukabiliana na challenges za miaka ile. vilevile tujiandae ili kuepukana na matatizo yaliyotokea in the 80s.

..umesema kweli kwamba hatuna tunachojifunza kama taifa. kwa mfano tunaelekea kurudia makosa ya mpango wa UPE ktk huu mpango mpya wa elimu.

..
 
Kweli, hali yetu kiuchumi haikuwa nzuri na mpaka sasa sijaona mtu yeyote hapa anayedai mambo yalikuwa hunky dory! Lakini pia si sahihi kusema kwamba hazina yetu ilikuwa tupu, hakiuwa hata na senti moja! Kwani kodi walizokuwa wanalipa watu zilikuwa zinaenda wapi? Sasa Jokakuu wewe huoni kusema kwamba hazina ilikuwa tupu kabisa ni upotoshaji?
 
Hakuna mtu aliyebisha kuwa hali ya mwaka 85 ilikuwa mbaya. Kama kuna mtu anadhani sisi hali yetu ilikuwa mbaya kihivyo, basi aangalie picha na asome habari za nchi kama Ethiopia wakati huo....

Na when push comes to shove, mimi nitamchagua kiongozi atakayehakikisha watu wake hawafi njaa kuliko yule atakayeweka kipaumbele kugomboa meli.....

...acha kujifananisha na Ethiopia ya wakati ule,walikuwa vitani kwa miaka mingi na Eritrea chini ya Dikteta Mengistu ambaye alikuwa haruhusu chochote kutoka nje na pesa,misaada na akiba yote ya chakula ilikuwa inaenda kwa wanajeshi,Ethiopia walikuwa na jeshi kubwa kuliko yote Africa wakati huo na budget yote ilikuwa inaenda jeshini,sasa TZ kulikuwa na nini zaidi ya uongozi mbovu tuu na siasa mbovu?
 
Kweli, hali yetu kiuchumi haikuwa nzuri na mpaka sasa sijaona mtu yeyote hapa anayedai mambo yalikuwa hunky dory! Lakini pia si sahihi kusema kwamba hazina yetu ilikuwa tupu, hakiuwa hata na senti moja! Kwani kodi walizokuwa wanalipa watu zilikuwa zinaenda wapi? Sasa Jokakuu wewe huoni kusema kwamba hazina ilikuwa tupu kabisa ni upotoshaji?

Hazina ilikuwa ukame kwa reference ya mapungufu ya pesa za kigeni ambazo zinafanya shughuli za kununua mafuta na vitu vingine vinavyohitaji matumizi ya fedha za kigeni.

Kwa sababu viwanda vya bia na sigara havikusimama basi pesa kiasi fulani zilikuwepo.

Pamoja na hayo juhudi zako za kukomalia kubadilishwa kwa msamiati wa maneno HAZINA TUPU, limenijia swali muhimu ambalo inawezekana linazikumba nchi nyingi.

Swali lenyewe: Je nchi inapokuwa na hazina tupu au ukame wa akiba za fedha ni njia gani zinatumika kupata pesa za haraka haraka.

-Je nchi inaweza kukopa mikopo ya muda mfupi yenye riba kubwa?
-Je Tanzania katika kipindi hicho, ilifikia maamuzi ya kujiingiza kwenye mikopo ya namna hiyo?
-Je mikopo kama hiyo si ina- exacerbate matatizo na sio kupunguza?
 
...acha kujifananisha na Ethiopia ya wakati ule,walikuwa vitani kwa miaka mingi na Eritrea chini ya Dikteta Mengistu ambaye alikuwa haruhusu chochote kutoka nje na pesa,misaada na akiba yote ya chakula ilikuwa inaenda kwa wanajeshi,Ethiopia walikuwa na jeshi kubwa kuliko yote Africa wakati huo na budget yote ilikuwa inaenda jeshini,sasa TZ kulikuwa na nini zaidi ya uongozi mbovu tuu na siasa mbovu?

Fanya hesabu na uone ilikuwa imepita miaka mingapi tokea Tanzania ilipokuwa kwenye vita. Hesabu kuanzia mwaka 85....
 
Wanabodi,
Sasa naona tunapoteza mwelekeo.. Kama alivyosema Nyani Ngabu hakuna mtu anayesema Tanzania mwaka 1984 ilikuwa katika hali nzuri kiuchumi kuliko leo hii ama Mwalimu hakuweza kukuza mfuko wetu.. laa hasha swala hapa ni mada yenyewe yenye kichwa - Nini chimbuko la vita ya Wahujumu Uchumi!... Na mimi nimeelezea vitu ambavyo vinaonyesha kwamba sisi wananchi na sio viongozi ndio sababu na kulikuwepo na kila haja ya vita vile pamoja na kwamba hatukuweza kufanikiwa hadi mwisho kutokana na Mwinyi kuachana na vita vile..
Sasa tatizo langu kubwa ktk mada hii ni swala la kulaumu na kunyoosha vidole kumsuta mwalimu na Sokoine kuwa ndio sababu na kwamba hapakuwepo na haja ya kufanya hivyo..
It's exactly lawama tunazowashusia wazungu wakoloni ktk kushindwa kwetu kujiendeleza kuwa mkoloni alitufanya hivi ama vile na itasikitisha zaidi ikiwa leo hii tupo huru tunashindwa bado kufanya kitu cha maana tunarudi nyuma kusema sababu ni mkoloni..
Nakumnbukwa mwalimu Nyerere alitumia Mkoloni kama kigezo cha kutuamsha sisi tufanye nini.. Umuhimu wa sisi kujitawala na akaweka mikakati ambayo inapambana na utawala dhalimu wa kikoloni... hivyo hakutumia kabisa mkoloni kuwa sababu ya Tanzania kushindwa kujiendeleza isipokuwa alitumia Mkoloni kuelezea Ugumu wa kasi ya maendeleo yetu..Kwa hiyo mwalimu alioanza kila kitu from the scratch, tuliunda mashirika karibu yote tokea kuweka msingi wake tofauti na nchi nyinginezo kwa sababu mwalimu alizingatia tofauti zilizopo kati yetu na nchi kama Kenya...Mwalimu alitujengea nyumba akaturithisha hata kama kulikuwa hakuna fedha benki lakinii Assets zilikuwepo, miundombinu ilikuwepo ya kulingana na mwanzo wa nchi kujitawala...hiyo pekee ni urithi mkubwa sana..
Yes, Mwalimu alishindwa na sababu inajulikana kwamba hakutaka kupangisha nyumba yetu..Na sote tunafahamu kwamba ni pamoja na Utaifishaji wa mashirika na biashara binafsi zilichangia kushuka kwa uchumi wetu kwa sababu kilichotakiwa tu kuwa mikononi mwa serikali ilikuwa commanding heights which includes all Miundombinu..
He failed economically because of UJAMAA as an economic gateaway! -

Leo hii Tanzania pamoja na maendeleo yote tunayojigamba nayo tumerudi nyuma ktk rank za dunia wakati nchi jirani zetu wote wamepanda.. Tanzania ya Nyerere was ranked nadhani 120 ktk nchi maskini leo hii tunashika mkia sijui wa 147 ikiwa na maana tunazidi kuporomoka wakati wenzetu wanaendelea..Na ajabu ni kwamba tunatumia makuzi ya kimwili kuonyesha maendeleo yetu.. Kila mji duniani una maghorofa siku hizi kila nchi ina vitu toka nje kila nchi ina magari kama yetu lakini hali ya wananchi wake ndio kielelezo safi cha maendeleo..Mtoto aliyezaliwa Tandale uwanja wa fisi mwaka 1961 inawezekana kabisa hakuwahi kuvaa nepi.. akila uji wa ulezi au kande na kadhalika lakini baada ya umri wake kukua iweje tutegemee mtu huyu ataendelea kutembea Uchi.... Kuvaa kwake suruali ya mtumba na T.shirt ya msaada ni moja ya mabadiliko ktk makuzi yake siwezi kuita kuwa ni maendeleo as such..atakula Ugali badala ya Uji na kadhalika ni mabadiliko ya makuzi haya sio maendeleo yake hata kidogo.
Kinachoninda mimi ni pale mnapochukua kuvaa kwa Tanzania suruali ya mtumba mnaita ni maendeleo kwa sababu tu tulipata Uhuru tulikuwa uchi hatukuvaa nguo.. na hakuna mtu kati yenu anayetazama hali ya mtu huyu na mazingira yake kama yamebadilika pia..Kwanza suruali ya mtumba ni Umaskini, T. shirt ya msaada ni Umaskini maisha yake bado ni yale yale ya kuomba msaada...
Binafsi naamini maendeleo ya mtoto huyo Tanzania yatapimwa ktk makuzi yake iwe elimu, afya, malazi yake, Pato (ajira) na ikiwa familia yake imetoka katika umaskini..Mwkaa 1961 mtu akiwa na pato la millioni moja kwa mwaka aliitwa tajiri dunia nzima - as A millionaire..hesabu hizo hazipo tena leo utaonekana mtu wa kawaida tu mwenye fedha ya Usalama..

Wakuu zangu, tutazunguka weee kuzungumzia mifano ya nchi nyinginezo bila hata aibu kwani wao ni watu na Mazingira tofauti..swala kubwa hapa ni Uhujumu Uchumi ambao tulishindwa kuupiga vita hadi mwisho miaka ile.. Leo hii ni tatizo tata na isijekuwa kuna watu hapa wanafikiri hata Kikwete anapoteza Muda kwa sababu wanataka kuona Ubepari at it's best!.
 
Back
Top Bottom