Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

Hizi combination zilizokaa kidini wangeziacha tuu,, Hazina Maana zitaleta udini.. Vyombo vya ulinzi na usalama angalieni Mambo Hayo Acheni Kuwa Ndio Mzee,, Tunaharibu Nchi. Acheni Hayo mtalaumiwa baadaye.
Tatizo kubwa la nchi hii ni kuwaachia Wana siasa ambao wengi wao ni zero kwenye mambo mengi ya maamuzi kuwa waamuzi , iwe la barabara, Elimu, Sheria pamoja na katiba, matibabu, Sera n.k , wakati hawana uwezo huo Sana Sana kukuletea shida na hasara.
 
Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Kuna baadhi ya taasisi hasa binafsi zinataka watu katika eneo hilo, mfano bank kuna vitendo vyenye ku operate bank opeaeations katika kisingi ya kiimani. Kwao bank ni kutanua wigo wa wateja ambao wasingewapata ikiwa watafanya normal bank operations. CRDB wapo na kitengo kama hicho kama sijajosea. Lin pia ongezeko bank zenye mtazamo wa kuhudumu kiimani mfano Amana Bank na ZPB.... Kwa kifupi serikali na nia nzuri ya kuwaanda vijana watqkaokuja kuhudumu katika maeneo kama hayo!!
 
Kuna watu wana masihara eti mtu anajibu ni kwasababu wafanya biashara wakubwa nchini na Africa ni Islamic
 
Watu wenye uwezo mzuri wa kutafakari hawawezi kufanya hichi kitu.
Shida yenu ni ujuaji mwingi sana. Biashara inahitaji sana muongozo wa dini kuliko mnavyofikiri. Hakuna dini ambayo imeelezea mambo ya biashara kwa upana kuzidi Uislamu.

Hapo imeonyesha wazi wewe ndio una uwezo mdogo sana wa kufikiri sababu ya ujinga.
 
Naona Watu wengi wamepata mashaka juu ya Uwepo wa Somo la Islamic Knowledge

Niwatoe tu wasiwasi Islamic Knowledge itawezesha Wanafunzi kuuelewa Utamaduni wa Kiislam na siyo Mafundisho ya Quran tukufu

Kwa mfano ile dhana ya kuhusisha Ugaidi na Uislam kupitia somo hili Wanafunzi watajua siyo kweli

Ramadan Mubarak 😄
 
Taliban, boko haram, islamic state, alshababu, alkaida, ADF
........
Hivyo ni vikundi vya marekani vya kigaidi vilianzishwa baada ya September eleven vilete taharuki kwenye mataifa yanayokua Sana kiuchumi ili kuipiku marekani!!

No sawa na Dola ya kikatoliki inayotawala Dunia Kwa mgongo was ukristo lakini sio ukristo halisi Bali ujasusi na utawala wa Mali za Dunia kupitia vituo vya mission na ardhi wanazo hodhi Kila sehem duniani!!

Dini zote sivyo unavyozitazama hazina uhusiano wowote na Mungu bali mbinu ya utawala na kuwagawa watu into blocks kifikra na kiakili plus kiutamaduni ili watawaliwe kirahisi!!
 
Haina ubaya wowote..

Hii inawahusu ndugu zetu waislamu ambao wamejikita kwenye somo la dini yao kisha wakaongezewa na Economics and Business Studies..

Ukiwa na elimu ya dini na ukawa na ufahamu au maarifa ya uchumi na biashara, kwa hakika uta - fly very high beyond the limit of the sky!

Watu wa dini wengi hususani viongozi wa madhehebu ya kidini (waislamu kwa wakristo) ukiachilia elimu ya kiroho waliyonayo, upande wa pili hawana ufahamu wala uelewa wa elimu wa kiuchumi na biashara...

Hii iko sawa kabisa. Wewe kama haikuhusu, unaachana nayo unachagua kile kinachokuhusu..
 
Haujaachwa mkuu! Hii ni dalili mbaya sana. Sijui wanataka kulipeleka wapi Taifa letu.
 
Mshauri mwanao au nduguyo asisome iwe Divinity au Islamic studies atajiingiza kwenye uchochoro huko mbeleni
Mwanangu alilazimishwa kuingia kuimba nyimbo zenu sasa knowledge na kulazimishwa kuimba ipi bora
 
Hizo ni story za vijiweni
 
Hizo degree za dini/ Islamic banking zinazofundishwa chuo kikuu vimeanza kusomeshwa lini? Na je vigezo vya Wanafunzi wanaochaguliwa kuingia huko ni vipi?
 
Kama ni issue ya kiimani zipo madrasa na misikiti inafanya hiyo kazi, ukishaingiza masuala ya Imani kwenye professional maana yake unatengeneza matabaka kitu ambacho ni hatari kwa Usalama wa nchi,
kwani hizo Islamic banking mbona zimeanza kitambo na watu wanapiga kazi huko kwahiyo walikuwa wanatumia vigezo gani kuwaajiri mpaka Leo hii serikali ione umuhimu wa kuanzisha hizo tahasusi?
 
Naunga Mkono Hoja..

Itafikia mahali waislamu tuu ndo wataajiriwa Bank.

Wakristo hawana tatizo na huduma zozote kwa mfanyabiashara yeyote.. ni sawa na sakata La Kuchinja..

Waislamu wamebuni namna nzuri ya biashara.

Mfano Halal Mark huu ni Ubaguzi na mbinu ya kukwapua hela kwa wafanyabiashara.
 
Ni mambo ya ajabu sn
 
Kwani divinity hujaiona ?

Mbona umeishia hapo nyingine umeziacha?
 

Attachments

  • Screenshot_20240321-200843.png
    131.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…