Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Hapana nimeuliza wewe ni shoga ? Swali ni jepesi ambalo ukinigeuzia mimi halitakuwa na ugumu wa kulijibu
Mie sijataka kuulizwa swali, mie nilitaka kujibiwa nilicho kiuliza, swali kuwa jepesi au gumu, sio mahala pake.

Jibu kilichoulizwa, na sio wee kuuliza tena swali, au laah kwa kukusaidia, ungejibu kwani kilichoulizwa afu nawee ungeuliza hilo swali lako.
 
Kabisa , huwa navuta picha kizazi cha binadamu kingetoweka duniani , dunia ingekuaje🤔
Nafikiri Dunia ingekuwa mahala salama zaidi kwa viumbe watakao bakia ukiondoa wake tulio wa pumbaza na kuwa “domestic animals”

Salama kwa maana ya kwamba nature ingekuwa balanced for its self……. Wataalamu wanadai Binadamu na Virus ndio viumbe pekee ambao hawaendi kwa balance ya nature
 
Twende taratibu hapa usije tu ukakimbia.

Tuanze na hii, Ni kwanini wewe upo duniani ?
ujue hatukujileta duniani. Yupo aliyetuleta kwa kusudi maalumu. na Huyo aliyetuleta si mwingine bali ni Mungu Muumbaji, Aliyeumba vinavyoonekana na visivyoonekana,. Mungu Alituleta kwa kusudi lake, yaani tumtumikie Yeye, tuwe na ushirika naye na tuyafurahie maisha pamoja naye sasa na hata milele. Bila kupata huu ufunuo itakuwa ngumu kuji -connect na Mungu na hivyo utabaki kuwa kama mnyama wa kawaida, anayesubiri kuchinjwa krismas na habari iishie hapo.
 
Hizi ni fikra hatari sana kwa ustawi wa jamii duniani. Ikiwa kila mtu atakua mbinafsi haitaki kuhusika na kuendeleza kizazi kweli kutakuwa na mustakbali wa taifa ?
Hizi fikra sumu kiwanda Kiko nchi za magharibi na zimeanza kutandaa duniani.
Angalia nchi zao zinaanza kuathirika kwa kuwa na wazee wengi kuliko vijana na hili linaathiri uchumi Inabidi waingize vijana kutoka nchi nyingine. Hapo ndio mustakbali wa taifa uko hatarini.
 
Wee ndio umetoka nje ya mada kabisa, utaambiwa utoe uthibitisho wa uwepo wa Mungu? Aliye umba vinavyo onenaka na visivyo onekana km unavyo dai.

Binafsi nisanue kuhusu visivyo onekana ni vyepi hivyo? 😂😂😂😂😂
 
Vipi ukipata mtoto jambazi au shoga?
Furaha ya gari ni tofauti na mtoto kwa sababu ni kitu kinachokuwezesha kusafiri na kupata hadhi/heshima fulani katika jamii, pia unaweza kuuza gari, kulitupa au kuachana nalo ukiona halina faida tofauti na mtoto.
Kwanini unafikiria ujambazi ana ushoga usifikirie mtoto wako akawa Rais
 
ujue hatukujileta duniani. Yupo aliyetuleta kwa kusudi maalumu. na Huyo aliyetuleta si mwingine bali ni Mungu Muumbaji, Aliyeumba vinavyoonekana na visivyoonekana,. Mungu Alituleta kwa kusudi lake, yaani tumtumikie Yeye, tuwe na ushirika naye na tuyafurahie maisha pamoja naye sasa na hata milele. Bila kupata huu ufunuo itakuwa ngumu kuji -connect na Mungu na hivyo utabaki kuwa kama mnyama wa kawaida, anayesubiri kuchinjwa krismas na habari iishie hapo.
Hujajibu swali
 
Hizi ni fikra hatari sana kwa ustawi wa jamii duniani. Ikiwa kila mtu atakua mbinafsi haitaki kuhusika na kuendeleza kizazi kweli kutakuwa na mustakbali wa taifa ?
Hizi fikra sumu kiwanda Kiko nchi za magharibi na zimeanza kutandaa duniani.
Angalia nchi zao zinaanza kuathirika kwa kuwa na wazee wengi kuliko vijana na hili linaathiri uchumi Inabidi waingize vijana kutoka nchi nyingine. Hapo ndio mustakbali wa taifa uko hatarini.
Hatari gani ?
 
Babu mzaa babu mzaa babu wasingezaa sidhani kama dunia ingekuwaje leo...

ndani ya Hodeidah Yemen
 
Ila wote ndio mara ya kwanza kuishi dunia ,hatuna experience kabisa ...Watu wafuate vile wanaamini ila kama ukitumia akili ni kwamba kuzaani ni mfumo wa kitapeli.

Leo ukifika duniani unakuwa hujitambua ,baadaye unakua mkubwa mpaka unajua eti unatakiwa kupambana ili uishi vizuri ..Lakini ni ubatili kwa vile utakufa tu hata uwe na maisha ya aina gani 😂😂
 
Babu mzaa babu mzaa babu wasingezaa sidhani kama dunia ingekuwaje leo...

ndani ya Hodeidah Yemen
Ingeendelea ilivyo ni sawa na zilivyo sayari zingine ambazo hazina miguu ya watu
 
Back
Top Bottom